grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Mkuu Ntuzu unaichambua soka mpaka nafurahi, sio kiunazi kama wengine. Japo mimi ni mdau wa Man U lakini kwa mwaka huu natabiri Barca na Bayern kufika mbali.Man City ni timu ya EPL Na FA tu huko kwenye UCL Bado ni wachanga sn! Arsenal uzoefu Wa UCL wanao wakiwa wamefika final Mwaka 2006 na Barc Lkn Bado hawana timu ya kuweza mikiki sn ya UCL! Barc Na Munich watafika mbali sn! Kwa England tuitegemee Chelsea na Man Utd ktk haya mashindano!
Lkn mpk sasa Hali ilivyo Man City na Arsenal zimeshatolew! Kwasababu ata km watakutana tena na city na arsenal wakashinda Lkn Barc na Munich Lazima watapata ata goli Moja! Hapo ndio ile sheria yetu ya Agregate ndo inafanya kz vibaya sn!
Poleni sn City na Guners!
Hao wameshatolewa warudi England kugombea makombe ya EPL na FA tu.