UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
Mkuu hata mimi nimeshangaa sana kuwasikia washabiki wa Arsenal wakifurahia kufungwa goli 2, kwa kweli nilipata shida kuwaelewa.

Lakini badaye nikapata jibu kuwa kama wameweza kukaa miaka 8 bila hata ngao ya hisani wakifurahia kulamba chenga timu pinzani, kwa kweli nimekumbuka ni watu wa aina gani hawa.

[h=1]MATCH STATS[/h]

  • [*=left]Arsenal
    [*=right]Bayern Munich
[TABLE="class: no-borders, width: 0"]
[TR]
[TD="class: first"]8(4)[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Shots (on goal)[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]26(5)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]8[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Fouls[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]16[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]2[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Corner kicks[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]3[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Offsides[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]21%[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Time of Possession[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]79%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]2[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Yellow Cards[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]1[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Red Cards[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]3[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Saves[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]4[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Je hakuna hujuma hapo? hizo adhabu zinatafsiri uwiano walau mliganisho japo kidogo na idadi ya kadi?????
 
MATCH STATS

Unaongelea fouls za kawaida kiwanjani au zile zenye kuhatarisha usalama wa mchezaji mwenzako kiwanjani?

Unataka kutuambia fouls ya kawaida kama kumsukuma mtu au kumpa mtu mwili ni sawa na ya kumpiga teke la makusudi mwenzako au kumnyanyulia guu la kichwa mwenzako?
 
Mkuu sijui wewe wa wapi...hivi hii si ilikuwa baada ya REDCARD ama? Hivi unajua kwanini Wojciech Szczęsny alikuwa man of the match kwenye game dhidi ya Man U?
Wa humu humu tena mzoefu wa kutosha.

Kwani huyo mtu uliyemtaja hapo juu siku hiyo alifunga magoli mangapi? Na kama yeye alikuwa Man of the match hao wengine 10 waliompa sapoti walikuwa Nyani?
 
Hivi kabla ya card zile dakika 20 za mwanzo unasema Buyern alicheza vizuri???????Oohh My LMFAO!!! Sijui ulikuwa uwanjani au ukiangalia tv za mchina...uwe fair bwana!!
Sasa kama mlicheza vizuri hiyo card nyekundu ilitokea wapi, mlichezewa nyinyi foul halafu refa akawapa card nyekundu nyinyi au siyo?
 
Unaongelea fouls za kawaida kiwanjani au zile zenye kuhatarisha usalama wa mchezaji mwenzako kiwanjani?

Unataka kutuambia fouls ya kawaida kama kumsukuma mtu au kumpa mtu mwili ni sawa na ya kumpiga teke la makusudi mwenzako au kumnyanyulia guu la kichwa mwenzako?

Je ukimshikilia kwanini unapewa kadi ilhali hujamuumiza? hebu eleza hapa.

Idadi ya madhambi hupunguza au kuharibu kabisa performance unalifaham hilo?

Je wajuwa kwanini ukisukuma ya kwanza filimbi, yapili filimbi, yatatu unaonywa kwanini?.......unapoteza malengo ya mchezo hivyo unapewa kadi.

Kinyume chake nikusukuma .... bila adhabu au udhibiti ni hujuma na mpizani wako atakushinda tu.
 
Wa humu humu tena mzoefu wa kutosha.

Kwani huyo mtu uliyemtaja hapo juu siku hiyo alifunga magoli mangapi? Na kama yeye alikuwa Man of the match hao wengine 10 waliompa sapoti walikuwa Nyani?
Huenda uelewa wako upo tofauti...kwaheri
 
Nadhani unaisahau CHELSEA ama una chuki nayo!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Huyo MUSSOLIN anachuki na Chelsea ya Mourinho !

Chelsea ndio kiboko ya Barc na Munich! Tangu juzi na Jana! Jose anaangalia namna ya kuzivunja kabisa hizo timu iwapo atakutana nazo!

Sasa Wewe MUSSOLIN Sijui unaandika huku ukiwa unasinzia?

Timu yenu Man Utd imekufa Hiyo na DM wenu uweza Mdogo sn!
 
Last edited by a moderator:
mnajipa moyo tu, barca ni timu bora kuliko man city na walicheza vizuri, bayern ni timu bora kuliko arsenal na hata kabla kipa hajatolewa bayern walikuwa wana attack mfululizo. Arsenal ingeshinda kwa bahati na si kucheza vizuri kuliko bayern na ukweli ni kuwa barca na bayern ndizo zilionekana zinacheza vizuri kabla hata ya red cards ,kwa hiyo man city na arsenal walihitaji bahati zaidi kuweza kushinda kuliko uwezo lakini stage hii imeonekana anayejua, aliyecheza vizuri ndiye aliyeshinda.
Huu uchambuzi ndiyo tunaoutaka siyo unazi tu wakati unajua timu yako haina viwango.
 
Nashukuru kwa kukubali kutokubaliana. Karibu tena siku nyingine.

Huyo Sizinga Sijui kabla gani! Maana ni mbishi sn! Au Sijui ameshakunywa Maji ya jezi ya Arsenal?

Pale ktk timu Yao Ozil ndio kikwazo pele! Yani Yule Sijui teja? Km Mimi ningekua kocha wake namweka bench Au nampeleka kwa mkopo QPR! Mechi ya Liverpool aliboronga na Jana tena! Alafu huku mitaani Akina Sizinga na Katavi na Balantanda etc wamekazana kutupigia kelele Ozil Ozil Ozil! Nawambia mchoke kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Je ukimshikilia kwanini unapewa kadi ilhali hujamuumiza? hebu eleza hapa.

Idadi ya madhambi hupunguza au kuharibu kabisa performance unalifaham hilo?

Je wajuwa kwanini ukisukuma ya kwanza filimbi, yapili filimbi, yatatu unaonywa kwanini?.......unapoteza malengo ya mchezo hivyo unapewa kadi.

Kinyume chake nikusukuma .... bila adhabu au udhibiti ni hujuma na mpizani wako atakushinda tu.
Hapo ndipo unapojijibu mwenyewe. Mkuu unapofanya foul ya kwanza ukaonywa, ukarudia tena na tena hii inaonesha kwamba mpira umekushinda umeelemewa na mpinzani wako kama Arsenal Jana na unakoelekea ni kuhatarisha usalama wa wenzako uwanjani. Lazima upewe kadi nyekundu.

Sasa unapoewa kadi nyekundu hujaonewa ni haki yako, ndiyo maana kuna baadhi ya timu zinazojua nini maana ya nidhamu mchezoni, mchezaji akisababisha kupewa kadi nyekundu kwa uzembe na kuigharimu timu yake shurti timu yake impe adhabu nyingine klabuni.

Lakini kwa hili la kipa wa Arsenal namtetea kwa sababu timu nzima ilishindwa kuwamudu Bayern Munchen na kusababisha yeye awe mtu wa mwisho (Last man standing), ulitaka afanye nini maana lilikuwa goli la wazi kama asingecheza foul ile. Na bahati nzuri kwa Arsenal penati ya Alaba ikagonga nguzo na kutoka nje, hivyo bado alikuwa ni shujaa wa mechi kwa mtazamo huo.
 
Arsenal wenger kutetemeka jicho na viganja vya mikono kuwasha baada ya kuchezea kichapo.Aendelee tu kukuza vipaji.TEAM KICHAPO
 
Huu uchambuzi ndiyo tunaoutaka siyo unazi tu wakati unajua timu yako haina viwango.

Man City ni timu ya EPL Na FA tu huko kwenye UCL Bado ni wachanga sn! Arsenal uzoefu Wa UCL wanao wakiwa wamefika final Mwaka 2006 na Barc Lkn Bado hawana timu ya kuweza mikiki sn ya UCL! Barc Na Munich watafika mbali sn! Kwa England tuitegemee Chelsea na Man Utd ktk haya mashindano!

Lkn mpk sasa Hali ilivyo Man City na Arsenal zimeshatolew! Kwasababu ata km watakutana tena na city na arsenal wakashinda Lkn Barc na Munich Lazima watapata ata goli Moja! Hapo ndio ile sheria yetu ya Agregate ndo inafanya kz vibaya sn!

Poleni sn City na Guners!
 
Huyo Sizinga Sijui kabla gani! Maana ni mbishi sn! Au Sijui ameshakunywa Maji ya jezi ya Arsenal?

Pale ktk timu Yao Ozil ndio kikwazo pele! Yani Yule Sijui teja? Km Mimi ningekua kocha wake namweka bench Au nampeleka kwa mkopo QPR! Mechi ya Liverpool aliboronga na Jana tena! Alafu huku mitaani Akina Sizinga na Katavi na Balantanda etc wamekazana kutupigia kelele Ozil Ozil Ozil! Nawambia mchoke kabisa!
Hata mimi nashangaa sana kwani huyu OZIL anatamba tu mechi ndogo ndogo akipangwa mechi za miamba wanaujua kusakata kabumbu anawekwa mfukoni kama kadi ya refarii. Haoni mastaa wenzake wanavyong'ara mechi zote.

Mkuu huyu Sizinga nimemsamehe kwa kuwa amegundua kosa lake. Hapa hatupapasi soka bali tunalichambua soka kwa ukweli wake sio unazi tu, kwani kila mtu ameona mtu alivyoteswa jana sasa yeye analeta suala la eti fulani ameonewa, haelewekii...
 
Hapo ndipo unapojijibu mwenyewe. Mkuu unapofanya foul ya kwanza ukaonywa, ukarudia tena na tena hii inaonesha kwamba mpira umekushinda umeelemewa na mpinzani wako kama Arsenal Jana na unakoelekea ni kuhatarisha usalama wa wenzako uwanjani. Lazima upewe kadi nyekundu.

kwa maelezo yako na kwa takwimu hizi hapa chini aliyerudia rudia kpliziwa kipenga bila kupewa kadi ninani
?

MATCH STATS

  • [*=left]Arsenal ...............
    Bayern Munich​
[TABLE="class: no-borders, width: 0"]
[TR]
[TD="class: first"]8(4)[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Shots (on goal)[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]26(5)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]8[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Fouls[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]16[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]2[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Corner kicks[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]3[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Offsides[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]21%[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Time of Possession[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]79%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]2[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Yellow Cards[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]1[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Red Cards[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]3[/TD]
[TD="class: center, align: center"]Saves[/TD]
[TD="class: right last, align: right"]4[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Je hakuna hujuma hapo? hizo adhabu zinatafsiri uwiano walau mliganisho japo kidogo na idadi ya kadi?????
 
Hapo ndipo unapojijibu mwenyewe. Mkuu unapofanya foul ya kwanza ukaonywa, ukarudia tena na tena hii inaonesha kwamba mpira umekushinda umeelemewa na mpinzani wako kama Arsenal Jana na unakoelekea ni kuhatarisha usalama wa wenzako uwanjani. Lazima upewe kadi nyekundu.

Sasa unapoewa kadi nyekundu hujaonewa ni haki yako, ndiyo maana kuna baadhi ya timu zinazojua nini maana ya nidhamu mchezoni, mchezaji akisababisha kupewa kadi nyekundu kwa uzembe na kuigharimu timu yake shurti timu yake impe adhabu nyingine klabuni.

Lakini kwa hili la kipa wa Arsenal namtetea kwa sababu timu nzima ilishindwa kuwamudu Bayern Munchen na kusababisha yeye awe mtu wa mwisho (Last man standing), ulitaka afanye nini maana lilikuwa goli la wazi kama asingecheza foul ile. Na bahati nzuri kwa Arsenal penati ya Alaba ikagonga nguzo na kutoka nje, hivyo bado alikuwa ni shujaa wa mechi kwa mtazamo huo.

Mimi mwenyew namtetea kipa! Alitakiwa apewe njano na Si red!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom