hahahaha,na je mwenye 9 je nbasi ngoja niishie hapahilo kombe umelibeba mara 4 tu kelele hivyo...
Je ungekuwa nalo mara 7 si ungeombwa tupigwe BAN humu...
hahahaha,na je mwenye 9 je nbasi ngoja niishie hapahilo kombe umelibeba mara 4 tu kelele hivyo...
Je ungekuwa nalo mara 7 si ungeombwa tupigwe BAN humu...
Wataliano naona tuna magroup mazuri tu so far
AC pamoja na Ajax na Bacelona
Juve pamoja na Madrid na Galatasaray
cc: Gang Chomba, juve2012, Viper
kuna uzuri gani hapo mkuu? Mbona mara nyingi wataliano hawatoki kwa waispania? Sema tu tutaenjoy
GROUP A MANCHESTER UNITED, Shakhtar Donetsk, Bayer Leverkusen,
Real Sociedad
GROUP B Real Madrid, Juventus, Galatasaray
GROUP C Benfica, Paris St Germain, Olympiacos, Anderlecht
GROUP D Bayern Munich, CSKA Moscow, MANCHESTER CITY
GROUP E CHELSEA, Schalke, Basel
GROUP F ARSENAL, Marseille, Borussia Dortmund, Napoli
GROUP G Porto, Atletico Madrid, Zenit St Petersburg
GROUP H Barcelona, Milan, Ajax, CELTI
Tulia basi uandike kitu kamili
Edited
Nadhani makundi A, F na H yatakuwa nna mechi zenye ushindani kuliko mengineyo...
Nadhani makundi A, F na H yatakuwa nna mechi zenye ushindani kuliko mengineyo...
Hata mie nimefurahi sana. Isingekuwa fair kuwapa wengine ilhali Ribery na timu yake ndo walichukua kombe.At least safari hii aliyepewa tuzo ya Uefa alistahili, hongera Franc Ribery