UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
BONGE LA MECHI: Ni UEFA 2013 semifinal kati ya Bayern Munich na Barcelona.
Champions League hii ya leo Apr 23, 2013, itakuwa kali sana.
Stay connected with JF Sports kupata Live Updates.
===
Uwezekano wa timu mbili kutoka Ujerumani au timu mbili kutoka Uhispania kukutana mwezi ujao katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Champions League bado uko hai, na majibu, dalili za nani zaidi zikaanza kuonekana baada ya matanage wa leo.

Ni baada ya timu za Uhispania na Ujerumani kutenganishwa katika droo iliyofanywa katika makao makuu ya shirikisho la soka ulaya UEFA ya nusu fainali.
Fainali itafanyika uwanja wa Wembley jijini London huenda ikawa pambano jingine la Ujerumani na Uhispania.
Bayern Munich ambao walishindwa katika fainali mwaka jana, na ambao tayari wamenyakua taji la Bundesliga, wanaangushana na viongozi wa La liga Uhispania.

Katika mchuwano mwingine, Borussia Dortmund watakabana koo na Real Madrid wakati wawakilishi wa miamba ya sasa ya soka barani Ulaya wakiumiza nyasi.

Mechi za mkondo wa kwanza utachezwa leo Aprili 23 na kesho 24, huku za mkondo wa pili ukichezwa Aprili 30 na Mei mosi.

Fainali itachezwa jijini London katika uga wa Wembley mnamo Mei 25.
===

Kukosemakana kwa AC Milan katika hatua hii imepelekea Mashindano kukosa Ladha...
 
Kukosemakana kwa AC Milan katika hatua hii imepelekea Mashindano kukosa Ladha...
Kagombanieni nafasi ya 3 kama Arsenal,Spurs,Chelsea ktk EPL,na nyie ktk Serie A ili mje upya tena ktk kombe la wanaume next season,sio staili yenu ya kupaki gari,refa kuwabeba na magoli ya mkono na kupeta penati za wazi.
 
Kwa kuwa natamani sana kombe liende Spain basi nalazimika kuiombea mema Barca kama Yanga walivyoishangilia Simba dhidi ya Azam. Japo ni nafuu kwa Marid kucheza fainali na Bayern kuliko Barca.

You wish, Madrid wanaweza kupata shida sana kwa Wajeruman lakini sio wacatalunya!
 
Kagombanieni nafasi ya 3 kama Arsenal,Spurs,Chelsea ktk EPL,na nyie ktk Serie A ili mje upya tena ktk kombe la wanaume next season,sio staili yenu ya kupaki gari,refa kuwabeba na magoli ya mkono na kupeta penati za wazi.

hilo kombe umelibeba mara 4 tu kelele hivyo...
Je ungekuwa nalo mara 7 si ungeombwa tupigwe BAN humu...
 
Kagombanieni nafasi ya 3 kama Arsenal,Spurs,Chelsea ktk EPL,na nyie ktk Serie A ili mje upya tena ktk kombe la wanaume next season,sio staili yenu ya kupaki gari,refa kuwabeba na magoli ya mkono na kupeta penati za wazi.

Team inayotakiwa kujipongeza kuwa hapo ni B.Dortmund peke yake, wako hapo kwa sababu wao ni team bora inayotokana na pure talents na dedication from players, hakuna mchezaji anayeshawishiwa na pesa hapo and they are the only UNBEATEN side left in the competition, wengine wame-buy their way to the semi finals.
 
hii game ni kati ya mtu mmoja (messi) vs eleven players (buyern). huyu jamaa awapo uwanjani ni tatizo kwa timu pinzan. wachambuzi wa soka wengi wanasema uwepo wake uwanjani hushusha morali kwa timu pinzania. rejea mechi yao na PSG ya marudiano baada ya huyu jamaa kuingia.
 
Basi leo jiandae na pampas kwa sababu mkoloni atamsababishia Nessi ahare uwanjani
 
Basi leo jiandae na pampas kwa sababu mkoloni atamsababishia Nessi ahare uwanjani

angalia vituo vyote vya luninga vitakavyo rusha game hii uone wachambuzi watakuwa wanamzungumzia nani. hapo ndo utajua nepi utashika wewe. hivi sasa nasikiliza dw radio kipindi cha michezo anazungumzwa megician
 
Unaangalia mpira kwa kutumia wachambuzi? Ndio maana unatoa makamasi kumbe, sasa endelea kukaririshwa na wachambwauzi wako pepa iko saa 9:45 usiku, maaaamake!
 
Bayern wanaingia wakiwa fresh,tangu wachukue ubingwa wachezaji wengi muhimu wanawekwa nje,sasa leo wanaanza uku messi na wenzake wakiwa hoi kwa game nyingi walizocheza.
 
hii game ni kati ya mtu mmoja (messi) vs eleven players (buyern). huyu jamaa awapo uwanjani ni tatizo kwa timu pinzan. wachambuzi wa soka wengi wanasema uwepo wake uwanjani hushusha morali kwa timu pinzania. rejea mechi yao na PSG ya marudiano baada ya huyu jamaa kuingia.

Ni kweli kabisa, sio PSG tu bali hata Ac Milan.
 
kazi ipo leo. tutegemee burudani. ningependa bayern washinde.
 
Line-ups!
Valdés, Alves, Piqué, Xavi, Iniesta,
Alexis, Messi, Bartra, Sergio,
Pedro, Jordi Alba

Bench. Pinto, Montoya, Fabregas, Thiago Alcantara, Song, Villa na Abidal.
 
Neuer
Lahm Boateng Dante Alaba
Javi Martinez Schweinsteiger
Robben Muller Ribery
Gomez
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom