UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
mkuu madrid anakaa chini.... Hilo halisumbui hata kidogo

Nakumbuka tu ule mshuti wa Nedved ile siku tulipowaadhibu na galacticos wao, safari hii wajiandae na mbengumbengu za Calitos na Pogba.

Forza Bianconeri!
 
Mshabiki wa Man Utd nini? Mie nadhani Makundi makali ni B, F na H Mkuu

Of course naipenda ManU kaka ila kwa jinsi group A lilivyo timu zote zina karibiana namna ya kucheza...game mind yao ni kama yafanana
 
Mmh!hivi dar kuna baridi?Chomba nahisi kale kahoma kangu ka baridi kamerudi hasa baada ya kusoma hii thread.dah,mourinho kazi tunayo,Madrid hii sio ile anayoota Viper.ila group A nunueni nunueni panadol,group F wale jamaa zangu wanunue cofta,unajua mtu akilia sana hushikwa na mafua.mkuu Chomba,umewahi kushikwa na tumbo la kuhara damu?tafuta flagil ziwe mfukoni!
 
Kaka juve2012, hii Madrid ina nini chamno? Umeioma ikicheza lakini? Umeona game zao mbili za ligi? Umeona defense yao ilivyo?

Unajua Madrid hii bado ni set up ya Mourinho na itastruggle sana ikikutana na team ambayo iko na ukuta mgumu kama wa Bianconeri? Halafu beki yao iko very loose toka yuko na Mourinho na sijaona mabadiliko sasa hivi, sanasana imezidi kuwa mbovu kwa sababu msisitizo wao uko kwenye mashambulizi.

Kikubwa tuombe uzima, lakini safari hii team ya La Liga itakayoshangaza wengi ni Athletico Madrid, wajerumani bado watatisha ila nasisi tunachance kubwa tu, Inshallah.

BTW hako kahoma kako kabaridi katakua kapepo hako, uende kule jukwaa la dini utakutana na Maimam na masheikh watakupatia dua kaka

Forza Bianconeri, Forza Milan
 
Last edited by a moderator:
Live uefa champions league/ europ league draw.

=====Updates=====

Uefa champions league 16 round

attachment.php
 
Attachments

  • draw.jpg
    draw.jpg
    40.5 KB · Views: 1,349
Tunasubili mrejesho,kila la Man city chama langu,mwaka huu tuchukue Ndoo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom