UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
Barcelona ni timu ambayo inakuwa overrated...! Kama Lionel hayupo kwenye "form" Barcelona FC ni "mdebwedo" tu
 
...loh! TANESCO WAMEKATA UMEME!
Tunaomba Wadau wa JF ambao wako connected na "Allianz Arena Stadium, Munich City" tunaomba mtujuze kinachoendelea tafadhari!
 
Messi Leo anacheza Middle ya kukaba mtu na Right Back! Wajerumani Pasi wanaweza mpira wa fujo wanaweza na mpira wa kunnyayua wanaweza Barca kazi wanayo labda wapate away goals ila 2-0 msifikiri itakuwa ya Milan kule Catalunya.
 
...loh! TANESCO WAMEKATA UMEME!
Tunaomba Wadau wa JF ambao wako connected na "Allianz Arena Stadium,
Munich City" tunaomba mtujuze kinachoendelea tafadhari!

hata huku umekatika. Leteni matokeo basi
 
Barcelona ni timu ambayo inakuwa overrated...! Kama Lionel hayupo kwenye "form" Barcelona FC ni "mdebwedo" tu
Bora useme wewe, tukisema sisi wengine tunaonekana hatujui soka. Ndivyo ilivyokuwa kwenye mechi yao iliyopita dhidi ya PSG. One Man team lazima wachezee kichapo leo
 
Kudadadadeki kama unatizana NBA utajuwa nini umekiona leo kama hujui nenda NBA.com goli la 3 ni basketball ila Barca Adios Amigos imetoka hiyo.
 
barca kushnei tatu bila mpaka sasa naona ya juve yanawakuta sasa..
 
kwenye transition ya kufungwa goli nessi alipigwa chenga na riberry mpaka akakaa chini
 
Bora useme wewe, tukisema sisi wengine tunaonekana hatujui soka. Ndivyo ilivyokuwa kwenye mechi yao iliyopita dhidi ya PSG. One Man team lazima wachezee kichapo leo

Munchen 3 - 0 Barcelona...!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom