Nduzu zangu 'washika bunduki za matoi' hebu fanyeni uamuzi wa busara, hamieni vilabu vingine!

Kweli kabisa ni bora muhamie Man U...GGMU!

aisee mtashabikiaje mashetani bwana mnakaribishwa city bwana we are blue...
Lol city ata kujaza uwanja wakati wa mechi za nyumbani ni kazi.

aisee mtashabikiaje mashetani bwana mnakaribishwa city bwana we are blue...
Mmmh! Hiyo kiboko. Capacity ya uwanja ikoje? Isijekuwa ni 140 000 so kujaa ni ishu!Lol city ata kujaza uwanja wakati wa mechi za nyumbani ni kazi.
Kama ishu ni vikombe, mbona wewe upo city! Au umehamia juzi baada ya FA Cup? Na utahama baada ya kukosa ngao juzi? Waacheni, subira yavuta heri.aisee mtashabikiaje mashetani bwana mnakaribishwa city bwana we are blue...
Mmmh! Hiyo kiboko. Capacity ya uwanja ikoje? Isijekuwa ni 140 000 so kujaa ni ishu!