The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
asernal oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
haya baba
asernal oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Sio huyo tu, kuna ndg zangu kina Mbu, AW, Blnt, Genaika, BB, etc etc.........sijui watasemaje leo, hahahaaa!, ndo raha ya kumaliza nafasi ya pili hiyo, nyambaaafu Goonaz, mwinalyoooo!namsubiri wacha1 kwa hamu
arsenoooooolssss mkazan tu na carling cup manake huku kwa wakubwa kumejaaaaa! Na kuna wenyewe!
sio huyo tu, kuna ndg zangu kina mbu, aw, blnt, genaika, bb, etc etc.........sijui watasemaje leo, hahahaaa!, ndo raha ya kumaliza nafasi ya pili hiyo, nyambaaafu goonaz, mwinalyoooo!
"Copenhagen vs chelsea"
am hapy to hear that,
those are the draws for the last 16 kazi kwenu
Roma v Shakhtar Donetsk
AC Milan v Tottenham Hotspur
Valencia v Schalke
Inter Milan v Bayern Munich
Lyon v Real Madrid
Arsenal v Barcelona
Marseille v Manchester United
FC Copenhagen v Chelsea
those are the draws for the last 16 kazi kwenu
Roma v Shakhtar Donetsk
AC Milan v Tottenham Hotspur
Valencia v Schalke
Inter Milan v Bayern Munich
Lyon v Real Madrid
Arsenal v Barcelona
Marseille v Manchester United
FC Copenhagen v Chelsea
Finest, ni kazi ngumu sana kurudia kufanya kwa usahihi kile ulichowahi kufanya,hii mechi ni ngumu kwa Arsenal na Barca pia,japo ninaipa Barca chance katika maana ya ukamilifu wa timu na historia kwa vile historia pia ina nafasi.lyabakwataa!!!!!!!!!!