Ambitious
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,143
- 878
Hakika AC MILAN na BARCELONA ni Mechi ya kiukweli sana...
Patachimbika hapa...
Hakika AC MILAN na BARCELONA ni Mechi ya kiukweli sana...
Kwa mbaaali! Naona ka Mourinho atachukua ubingwa wa ulaya mara ya 3
Kazi ipo hapo..
AC MILAN akimtoa barca basi madrid bingwa
Mkuu wangu Ambitious......
Chelsea watacheza na Benfica na si Sporting Lisbon....
Sporting Lisbon wapo Europa League na ndio wamemtoa Ndetichia jana....
Ni nzuri na ni ngumu sana kwa Chelsea na Barca.......Ha..ha..ha... Mkuu Balantanda uko makini sana makosa yangu yametonesha vidonda vya watu..
Nimesharekebisha kaka..
Ila unaonaje hii draw of the last eight???
Ni nzuri na ni ngumu sana kwa Chelsea na Barca.......
Madrid na Bayern wao naona kama mchekea vile....
I bet Chelsea in Final with Madrid.
fainali real madrid VS barca..