Semistocles
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,932
- 1,126
the worst thing ni kwamba, they have no any credible impact after three good years in the collage.Wanaosoma udsm,wengi wanatokea mikoan,kwahiyo tuwavumilie tu.
[emoji23] [emoji23]Tena izo ID zinawarahisishia wamachinga wakiwaona tu na ID zao wanajua hawa walugaluga wameshika laki tano za mkopo,
T-shirt ya buku 4 anauziwa buku 9.
Anauziwa kiatu timberland fake chinga kama ananawa vile [emoji23] [emoji23]
Tutazidi kuzivaa tu...Hususani mwaka wa kwanza ndo imekuwa kero kusoma UDSM sio sababu unasoma mbinguni ..
Haiwezekani mtu unaenda na kamba ya ID hadi Makumbusho, mwenge, Mbenzi, POSTA ,kariakooo useme umesahau..
Kinachokupa kiburi uivae muda wote ni kisa imeandikwa tu UDSM STUDENT.
Tuachani huu ujinga mbona UDSM chuo cha kawaida hata kama ndo cha kwanza TANZANIA ila isifanye tuonekane washamba. Mana hizo kamba za ID wafanyakazi wa mashirika yote wanazo ila huwez mkuta mtu nazo barabarani kama ni nje ya eneo la kazi.
Zilitolewa kwaajili ya ndani ya chuo si kwa mauzo yaaan mitandao yote ya jamiii imekuwa kero na hiyo kamba kisa imeandikwa tuu udsm student jamani.
Mtu anapiga picha na Kaushi ila amening'iniza kamba ya ID sasa wakati wavua shati unataka sema ulisahau kamba ya ID au masifa jamani...
Imekuwa kama ng'ombe sasa na kengele.
Sawa,Kwani uongo kama udsm ni think tank ya tz?
Jpm karibu anamaliza maprof wote wa udsm......
Udsm hoyeee
Uko chuo gani?Hahaha,,,,,,, mtajuaje kua wanasoma ud !!!!!
Ila degree n ileile,,, hats wa udism,, aspo komaa atakua chenga kama vyenga vingine,,,,,
ukinisoma between lines utajua nimemaanisha nini!Na wewe unashangilia? Au UDSM haihitaji hao maprofesa? Akiendelea hivyo baada ya miaka mitano tutajuliana hali.
kweli hata wewe nadhani mda si mrefu utakuwa na degree ila haitofanana na za wengine kwa uandishi huu.Hahaha,,,,,,, mtajuaje kua wanasoma ud !!!!!
Ila degree n ileile,,, hats wa udism,, aspo komaa atakua chenga kama vyenga vingine,,,,,
Laia=[raia]Ukivaa itakutambulisha ka we n mwanafynz wa ud asa kama wewe unataka kila unakopita watu wajue amepita jamaa wa ud basi vaa tuuu............ Usipovaa unaonekana laia wa kawaida
mh...so ulikuiwa nao wanafunzi wote wa UD hapo au? ina maana wao vyuo vingine kila kitu wanajua? huwezi ukageneralize kwa kuangalia mtu mmoja au watu wachache.nyinyi nazani masifa ni moja ya somo mnalofundishwa,,niliwai hudhulia interview sehem fulani nikiwa km interviewer,basi jamaa ikafika zamu ya jamaa wa ud tn fresh from school,,akaulizwa tofauti kati ya direct v indirect tax na utoe mfano wa kila 1,,jamaa akaeleza ila vice versa,,sasa ubishi ukaanza kwenye kumrekebisha,,aisee wnafunzi wa ud wabishi hata kwa wasivyojua
Collage=collegethe worst thing ni kwamba, they have no any credible impact after three good years in the collage.
kwa mfano, bachelor in Kiswahili π π
its impact is actually likely to deem up to -0.0%.
utamkuta huyo kagangamara kama kisiki, udsm! udsm! udsm!
π π
Utapata faida gani?Ngoja me wa Amazon collage nkaazime Id Ya Udsm na mm niitembelee
alafu ukikutana nao hapa darajani walivyoongozana, unaweza kusema panya road, kumbe masikin hata nauli ya kupanda shato kuelekea mabibo hana...Basi mi nikajua ni sheria mpya huko chuoni kwenu maana nakutana nao Mara kwa Mara hapa Ubungo darajani
ona huyu zumbukuku wa udsm.Collage=college