Mwe! Prof. Kithuku hapa umeua kweli kweli.Kama wanastahili kutimuliwa, timua kabisa wala usione aibu wala huruma! Usitulelee mijitu itakayokuja kuendeleza ufisadi na ubabe.
Hatutaki mijitu isiyokuwa na nidhamu wala ustaarabu.
Mwe! Prof. Kithuku hapa umeua kweli kweli.
Dah, ukweli unauma... Labda kuna mwenye kuwa na madai yao kwa mapana yanayoonyesha kuonewa waziwazi.
UDSM Students: JF na wanachama wake hawataweza kuingizwa mkenge bila kujua madai yenu yakoje. Come out clean with your allegations and people will lead you into the right place.
Invisible
Jamani eeh this is too much. Wanafunzi wameenda diamond lakini walioenda hawazidi 1000 na chuo kizima kina watu zaidi ya 10000. Na kwa taarifa na nina uhakikia kila mtu anafahamu kuwa Mukandara amewekwa pale na JK kwa manufaa ya chama kwa sababu wameshaona kuwa UDSM hawapati sapoti wanayoihitaji. Sasa wapo hao wachache ambao hawana tofauti na wote ambao wapo hata JF ambao ni Makada wa CCM. Ila wapo ambao lengo sio tu kuongezea posho bali kuhakikisha Huyo Mukandara anaondoka hapo alipo. Na kwa taarifa tu ni kwamba Mukandara hajawahi kuwa hata head wa department Leo ni VC.
Na hapo ndio tunahitaji msaada. Mahakamani it wont work.
Mwaka jana tulijaribu kusimamisha uchaguzi lakini kesi ikapangwa kuanza kusikilizwa wiki 2 baada ya uchaguzi. Tunajua hawa jamaa wapo everywhere ndio maana tunataka msaada kwa ambao wanauzoefu nao katika kupambana nao.
SHY !
Naomba ufute kauli yako hapo juu ambayo ina lengo la kupotosha wana JF hapa.
Hakuna mwanafunzi aliyegoma mpaka muda huu naandika post hii na hakuna mwanafunzi aliyefungiwa kwenye chumba cha computer chochote kile (COMPUTER LABS) zote zipo wazi na watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida sasa we unasema upo chumbani chumba kipi?? Post comments zenye uhakika na si kubahatisha tu nenda sasa hivi zunguka labsa zote kuanzia za falcuties ambazo wanafunzi husika wa kitivi wanatumia free na mpaka computer labs za kulipia kama utakuta kuna lab yeyote imefunga.
BACK TO THE THREAD.
Huyu kitu mtui jamani mimi namfahamu vizuri sana ni mtu mwenye kupenda vurugu ni kijana ambaye anapenda sana kuona machafuko ndani ya chuo na aliuwepo pia kwenye vurugu za kudai maji juzi juzi tu hapa sasa sijui hata kipi kinachomfurahisha.
SIKUBALIANI NA HOJA YAKE YA KUJA KUOMBA MSAADA HAPA JF HATA KIDOGO, ZAIDI ZAIDI NINACHOWASHAURI WAKAE CHINI WAFIKIRIE KILICHOWAPELEKA CHUONI NA SI KUTANGA TANGA NA MIGOMO KILA KUKICHA KAMA KWELI WANASOMA ILI WAWE WATETEZI WA TAIFA HILI WAANZE KUJITETEA KWA HOJA ZINAZOENDANA NA USOMI WAO SI KWA KUANDAA VURUGU NA MIGOMO KILA KUKICHA.
NOTE:-
MIGOMO ALWAYS INAKUWA KIPINDI MITIHANI INAPOKARIBIA SASA HAPA MUST BE THERE IS SOMETHING
NI KWELI KBS TENA HUWA VIONGOZI HUPEWA HELA KIDOGO NA HUPOKEA JE WANASOMA NINI? ELIMU YAO INAWASAIDIA NINI TOFAUTI NA MTU AMBAYE HAJASOMA? VIPI NA HAO WALIOKAMATWA WAKIVUTA BANGI TUWATE TEE VIPI? MNATIA AIBU FAMILIA ZENU KAMA MLIVYOKRI NI ZA KIMASIKINI NA NI WATOTO WA WAKULIMA JE WAZAZI WENU NDO WANAOWAPA HIZO BANGI? KWA NINI MSISOME NILISIKITIKA SANA KUPATA HIZI HABARI ULEVI NA UASHERATI PIA MMEZIDISHA TUMIENI BUSARA KU-SOLVE MATATIZO YENU. USHAURI ZUNGUMZENI NA DARUSO WATAWASAIDI KUANDIKA BARUA KWA MUKANDARA WENZENU WARUDI KUSOMA NJIA MLIOTUMIA NI SAWA NA YA WATU AMBAO WAMEIISHIA DARASA LA SABA.Ila Wanafunzi majority wa Chuo kikuu wanudhi sana, leo wanalia wanaonewa kesho Makamba akiitisha mkutano Diamond Jubilee hawa jamaa watavalishwa Tshirt za Kijani Wakiwa wamepandishwa kwenye Mabasi wakiimba nyimbo za Kumsifu Makamba, ni lazima kwanza wabadilike hawa Watoto,
Mtu mwenyewe anakaa madarakani Mwaka 1 tu.Mbona hutaki mahakama ?? mtu anaweza chaguliwa na kesi inaendelea mkishinda kesi si anafutwa?? wabunge wangapi wamenyanganywa ubunge na mahakama??
Ama mnajisitukia??
Mimi nina interest na hizo allegation za MaProfessor wa chuo kikuu kuhonga waandishi wa habari ili habari zao zisiandikwe kwa usahihi.
Je tunaweza kupata ushahidi wa hili? Kama ukipatikana ushahidi hapa patakuwa pazuri pa kuanzia kuwa discredit hawa ma professor.
Mtu mwenyewe anakaa madarakani Mwaka 1 tu.
Kesi ikihairishwa mara 2 mwaka umeisha
SHY at work once again . Huyu mtoto ana kichwa kibovu.Tumetoka kumkataa Brazamen na uongo leo anakuja na hadithi zile zile ? Hawa ndiyo wanao tumiwa kuandia ujinga ama kuacha kuandika habari za wananfunzi hawa .
Nawashauri sasa wana UDSM tafute nondo likisheni hapa .Kuanzia na Mgaya hadi Mukandara aweza kuzomewa nje na atakufa kwa pressure .JF spread the message .