UDSM ndio chanzo cha mfubao wa Elimu Tz

Acha kuchekesha watu wewe inferiority niipate kutoka udsm?? Mie siwezi kupata na inferioty na chuo chochote duniani ila uwezo wa mtu binafsi mbona hutaki wewe kuelewa??
Jibu hoja hizo hapo juu ,udsm ndio wadidimizaji wa elimu tz

Ok Mr. Misifa. That's crap and there is no way you will convincea ny reasable person to believeon that. UDSM will remain an outstanding institution regardless of your false allegations.
 
Quality guys!

Nafikiri UDSM are worried about mushrooming of tens of Universities in Tz without adequate equipment and staff!

Well sidhani kama ni wivu!

Way foward- MU, SUA, Dodoma, OUT, DIT wao wapublish na kuwa innovative na competitive kushinda hata UD- na kwa hiyo wapunguze kulia lia kama makinda ya ndege! Walishakuwa wakubwa tayari!

Mzalendo,
Pointi yako ni muhimu sana hasa ukizingatia takwimu zilizoonyeshwa na Bi mkubwa hapo katika tovuti ya wizara ya sayansi na teknolojia. Suala la kuvipa hadhi ya juu vyuo ambavyo havina madaktari wa falsafa wa kutosha na kuwa vyuo vikuu sidhani kama ni muafaka sana hata kama tuna upungufu wa vyuo. Pili, unakuta chuo kinapandishwa hadhi lakini bado rasilimali zake ni zile zile, nikimaanisha majengo yaleyale, maabara moja ile ile nk, namna hiyo tutakuwa hatuendi. Suala sio kuongeza wingi wa vyuo, liwe ubora wa elimu itolewayo.

UDSM Ndio Chanzo Cha Mfubao Wa Elimu Tz

.......hii ni provocative statement and at the same time dude ame-conclude!!!........ili kuji-satisfy..............very funny indeed

Chukulia tu suala la admission katika Vyuo vyetu.....then utatambua nani anafubaza elimu TZ......vyuo lazima viwe na standards and stick to them.................sio watu kuingia na chuoni kwa vimemo......halafu kufundishwa na Walimu walio tayari ku-compromise status ya PhDs.........ni mangapi watakuwa wana-compromise??...katika ufundishaji wao.........thats hell!!.......sasa nani anafubaza elimu hapo

Pointi murua kabisa! iko wazi.
Ubora ni suala muhimu sana, wala siyo idadi ya vyuo. Tusiwe vipofu wa hili suala. hivi Mkamap anataka tuamini kwamba wazungu ni mambumbumbu kiasi gani hadi wasikilize hoja za mtu fulani kama Masua na kukataa kukitambua chuo fulani hata kama kina ubora mwafaka? Ninavyojua mimi, msimamizi wa vyuo vyote hapa duniani ni UNESCO. Hawa ndio hufuatilia kwa ukaribu utoaji hadhi wa vyuo hivi na ndio wenye mamlaka ya kukataa ama kukikubali chuo husika kulingana na vigezo walivyojiwekea. Kwa taarifa zaidi pitia tovuti ya UNESCO na uone vigezo hivi. Tusiwe wepesi wa kulaumu.
 
Ok Mr. Misifa. That's crap and there is no way you will convincea ny reasable person to believeon that. UDSM will remain an outstanding institution regardless of your false allegations.

Kwa vilaza waliowahi kukamatwa wana machungu sana na UDSM, hawana hamu nayo. Digrii za chupi hata huku kwenye maboksi zipo, tuache kudanganyana. Na kukamatana kupo pia.
 
With high respect to UDSM mkamap says truth, tatizo la elimu yetu ni kuwa tumechanganya na siasa,whats happening in UDSM si kitu kipya wala siri kwa tulio wengi, by the we must respect the inst. for what is delivering now na sio what has been delivering those days,UDSM ni mfano tuu wa jinsi elimu yetu tulivyo i mix up na siasa!!!
 
Mkamap,

I am worried that you could be an individual who is emotionally charged to bring forth such accusations. None of your comments have any grounding whatsoever and seem more as a result of your disgust of a few individuals who want to seem superior to those studying in other institutions.

I am a graduate of UDSM and graduated more than 10 years ago and never had such sentiments circulating on campus. I have taught at UDSM for more than 5 years and I have never had such sentiments.

Now, I can understand your point of view from what is happening right now and I could say that I believe your emotionally charged comments and I can only associate your sentiments as a result of this recent proliferation of universities and affiliated colleges.

If I were you and anyone put in a compromising position as being inferior, I would work hard to prove these claims as wrong. Right now it is quite early for new universities and colleges to compete with an old university that is highly ranked among other African universities but time, commitment, diligence and integrity will prove that other new universities are forces to deal with.

My advice, Hang in there, get a good degree - and when I say a good degree I mean 1st or upper 2nd class degree.

Please forgive me if I may sound patronizing but it is not my intention.

Good day.

wakuu hebu tujaribu kuwa na katabia kakukubali ukweli ili tujifunze na rekebisha kuliko kuzuia ukweli kwa hasira

mimi binafsi nimesoma oale na hili jambo si la uongo nimeliona kwa miaka minne niliokuwepo pale

WE DARE TO TALK OPENLY HAPA JAMANI SI NDIO MAKUBALIANO YETU. kama unadhani ukweli unauma basi kuna blog nyingi tu
 
sasa kama uUNESCO HIPO KWA NINI UDSM inajifanya police wa tanzania. pili uwa ninachoshwa sana na hawa wabishi.
 
Ok Mr. Misifa. That's crap and there is no way you will convincea ny reasable person to believeon that. UDSM will remain an outstanding institution regardless of your false allegations.

watu kama hawa hua ni wakuwahurumia na kuachana nao.

kama sikueleweka ungeomba niandike nieleweke mie nimekuambia udsm kamwe haiwezi niwewesesha narudia tena pia nikaongeza siwezi weweseka na chuo chochote duniani kwani unapoajiriwa hakiajiriwi chuo ila mtu binafsi ,ndio nikakwambia naweweseka na mtu mwenye uwezo binafsi FULL STOP. Hayo yako ya misifa ni ya kwako na yanathibitisha kiwango bora cha udsm si mnaowana wajameni.

Pambana na hoja zinazoletwa hapo na si mtoa hoja.

Hiyo hoja ya Masua ilikua mkakati wa UDSM mbona mnakwepa hoja??

Harafu humu watu wanaongea utafikiri hata hapo udsm hawakupita
angalia hii hesabu
ma DR udsm 450
wanafunzi kukadilia 30,000.
Dr per student =450/30,000=0.015=1.5%

DIT
ma DR 13
wanafunzi 200
Dr per student =13/200=0.065=6.5%

Hivi hapo ni chuo kipi kilicho na ma DR wengi ??? ni wanafunzi wepi kati ya vyuo hivyo watakua na kontakt nzuri na wanafunzi??
Mue mnaongea kama mmepita hapo udsm na si wapambe tu .
 
Kwa vilaza waliowahi kukamatwa wana machungu sana na UDSM, hawana hamu nayo. Digrii za chupi hata huku kwenye maboksi zipo, tuache kudanganyana. Na kukamatana kupo pia.

hawa ndio wasomi wa udsm kuita wenzao vilaza.
Aliyekupa akiri wewe ndiye aliyemnyima kilaza.Hivyo wa kumlaumu sio kilaza ila aliyemfanya yeye kua kilaza na wewe kua kupanga.

Na hata hivyo bado nashawishika kua hawa watu kama kweli wamemaliza udsm na wana watuhumu wenzao kua vilaza kuna viashilia vya kila namna kua tuhuma hizi ni ukweli mutupu.

Mimi bado naamini kwa mtu aliyefika chuo kikuu ktk mazingira ya tz sio mtu wa kumbeza ila ku DISCO kunaweza sababishwa na vitu vingi mfano mazingira hali halisi anakotoka ama ubabe wa uongozi wa wasomi wa udsm kulazimisha watu kusoma fani ama kozi wasizokua na hobby nazo.
Sasa basi kama msomi kutoka udsm anamwita mwezake kilaza eti tu kwa vile ali disco kuna kila ushaidi wa mazingira kwa tuhuma zinazoelekezwa hapo kua udsm ndio chanzo cha kudumaza elimu tz. una ukweli hawa watu nima consecutives mno.
 
Mkamap,

tumekusikia kwa hoja zako za nguvu. naomba ujibu haya maswali na utueleweshe kwa hizo hoja zako. Tupate kuelewa arguement zako

1. Who is Masua? In what capacity did Masua contribute to the problems of DIT? Is Masua representative of the population of UDSM? Was he sent by UDSM to DIT and under what terms of reference? Do you have a report that delineates all this information? That would really help since unadai data unazo. This report must have been documented somewhere. I would like to read it. Nimejaribu kuangalia archives za newspapers sijaona hili tukio.

2. In the past three academic years UDSM has had an average of 15 academic staff members granted PhDs from all over the world coming back into the workforce, therefore your mathematics do not reflect reality. First, you have used purported figures for your findings. Secondly, you have chosen to ignore other academic members whose task is to teach just as those who are professors to come down to your analysis. Third, you have worked with unequivocal estimations i.e. you have used figures from different time periods. Those are the weaknesses of your statistical representation. i would kindly advise you to recalculate and come back to us. If you could also provide some projections it would be great since you are of the opinion that UDSM is nothing so we want to see that curve and if you could provide some tangible measures that would be a great idea.

3. the data that i have indicates the figures for DIT enrollment at 1059. You have used 200 students. Did enrollment go down? Are these 200 students the only ones required to be taught by Drs? Did you selectively choose 200 to emphasise your point?
http://www.msthe.go.tz/statistics/Table17-19.pdf

I would highly appreciate you educating us on question 1 more than question 2.
 
Masua ni ofisa mwandamizi UDSM by the time alikua pia mjumbe wa DIT concil,wakati DIT imepitishwa na bunge kutoa digrii yake kati ya mwaka 97/98 ilipata vikwazo vingi kutoka udsm watu walikua wanajiuliza kwanini DIT haitekelezi mpango wake kumbe kulikua na mkono wa udsm kuthibiti hilo.

Masua akiwa ametumwa na udsm kuja ktk moja ya kongamano kwa wadau ulaya wakiwemo hao UNESCO ndipo alipoulizwa kuhusu DIT yeye na mawakala wa udsm wakasema DIT ni chuo kisichofaa na wala hakifai kutoa digrii.
Hapo DIT ndio wakang'amua ahaa kumbe tuna nyoka iliyochomekwa ktk council yetu ,basi siku ikatimia huyu masua akaenda macho juu DIT ililazimika polisi wafanye kazi ya ziadaa kuokoa uhai wake wakati akipoteza gari lake pale DIT.

Udsm ukweli ndicho chuo serikali imekua ikikiamini kwa ushauri wake na maafisa wa adamizi wa udsm ndio wamejaa ktk kila idara nyeti za serikali BIMKUBWA na unajua kabisa ili chuo kikamirishe mambo kadhaa kinahitaji fund nzuri kutoka serikalini ,lakini badala ya kufanya hivyo kwa wasomi wetu wao wamekua najitihada za kuvibana vyuo hivi visipate fund yenye kukidhi na mwisho vitoe wahitimu wasiokidhi haja ili udsm wabaki na proud zao the only one university in tz ni udsm huku si kudumaza elimu???

Kuhusu eti ma PHD kutoka nje, kila chuo kinao then hiyo factor let it to be constant chukua variables za ma phd ambao ni permanent.

Na hata hivyo hiyo hesabu bado nimekufanyia fair angalia hao waliojiunga kufanya Bachala tu tena wenda ni pungufu ya namba niliyokupa hapo DIT.
hiyo namba uliyotoa inajumuisha hadi wanaofanya vyeti na diploma sasa ukijumuisha na hao itakua tragedy zaidi kwa udsm.
Maana itabidi pale udsm uwajumuishe wanaofanya computer courses ,certificate in jounalism yani itakua catastrophy to udsm.

Kuhusu memba wengine wa stuff bado tragedy inaelekea udsm ndio maana vyuo vingine ndivyo vina namba nzuri ya wafanyakazi wa namna hiyo.

Madarasa udsm ndio chuo tz pekee ambacho wanafunzi wake wakati wa lectures wanachungulia dirishani ili kupata nini prof anafundisha wengine hadi wana kaa chini utafikiri enzi zile shule za msingi.
wanafunzi wa udsm wanagombea asubuhi kuingia ktk daladala pia wanagombania nafasi ya kukaa darasani.

Hostels ni chuo pekee tz kinacholaza watu mzungu wa nne ktkt hostels huduma mbovu kupindukia.

Udsm ndio chuo kinachoongoza kwa ukahaba na umalaya
mpaka vyombo vya habari vimekua vikiwandama na kuwakebehi hawa wasomi jamii ilitegemea kujifunza toka kwao lakini wao ndio wakwanza kupotosha jamii.

UDSM ndio chanzo cha mfubao wa elimu tz.
 
hawa ndio wasomi wa udsm kuita wenzao vilaza.
Aliyekupa akiri wewe ndiye aliyemnyima kilaza.Hivyo wa kumlaumu sio kilaza ila aliyemfanya yeye kua kilaza na wewe kua kupanga.

Na hata hivyo bado nashawishika kua hawa watu kama kweli wamemaliza udsm na wana watuhumu wenzao kua vilaza kuna viashilia vya kila namna kua tuhuma hizi ni ukweli mutupu.

Mimi bado naamini kwa mtu aliyefika chuo kikuu ktk mazingira ya tz sio mtu wa kumbeza ila ku DISCO kunaweza sababishwa na vitu vingi mfano mazingira hali halisi anakotoka ama ubabe wa uongozi wa wasomi wa udsm kulazimisha watu kusoma fani ama kozi wasizokua na hobby nazo.Sasa basi kama msomi kutoka udsm anamwita mwezake kilaza eti tu kwa vile ali disco kuna kila ushaidi wa mazingira kwa tuhuma zinazoelekezwa hapo kua udsm ndio chanzo cha kudumaza elimu tz. una ukweli hawa watu nima consecutives mno.

Nitakubaliana na wewe kwamba kufeli kunachangiwa na masuala mengi sana ikiwemo mazingira ya mtu anakotoka (familia), mapenzi, ugonjwa wa muda mrefu, ila nashindwa kuelewa pointi yako unaposema kwamba watu wanalazimishwa kusoma kozi wasizozitaka! Nashangaa! Inakuwaje mtu ulazimishwe kusoma B.com kwa mfano, ikiwa ulisoma HKL sekondari? Iweje ulazimishwe usome Bsc in Geology ikiwa ulisoma ECA sekondari? Nani anakulazimisha?
Unganisha pointi hizo tuendelee na mjadala. Inaonekana mambo mengi unawasingizia UDSM.
 
Mkamap, Idimi, Bimkubwa, na Watz wengine,

Heshima mbele- naomba tujadili mambo mengine yanayochangia kufubaza elimu ya vyuo vikuu Tz!

Huu mjadala kati ya UD na DIT sioni manufaa yake- na mtu akiangalia kwa anaweza asituelewe kama Watz -yaani huu mjadala unalenga kutufikisha wapi na kwa manufaa ya nani!

At 40 Million- we have so few students enrolled and graduating at higher learning in Tz!

A challenge how can we increase in numbers while at the same time maintaining high quality of higher education?

One rescuing strategy cold be may be hiring lecturers from abroad who have PhDs- maana pia nimeangalia Dodoma has plans to have 40,000 students, where will the lecturers come from?

Yet private Universities are mushrooming kama uyoga! Je hakuna required standard of say to be registered as University- there must be 10 parmanent staff with PhDs!

I am afraid with such kind of shortage we have have now- kufubaa kwa elimu -in future years will be even alarming!

Heshma mbele- naona hii debate ya UD versus DIT haitatusaidia kuchanganua na sababu of current predicaments ktk kufubaa huku!​
 
Ndugu yangu elimu ni pana mno
tuchukulie mtu wa pcm mfano mtu huyu anakipaji na electrons zinavyofolow hivyo anataka electronics wao wanambumbakizia civil engineer kumbuka ni physics ile ile lakini ni vitu viwili tofauti. unakuta mtu anataka civil engineer wao wanambambikizia chemical engineeering wapi na wapi?

Mtu kajipanga tangu mwanzo moshi technical civil kasoma, arusha technical civil kasoma akija kuomba udsm wanambabikizia Chemical engineering .Amini usiamini haya mambo ndio yapo hapo
 
Heshima mkuu
Sie hapa hatupo kwa ajili ya udsm Vs DIT tupo kwa ajili ya mustakbali wa elimu yetu.
Kwa vile udsm ni chuo kongwe na chenye kupewa kipaumbele na serikali kilipashwa kitoe ushauri jinsi ipi na namna ipi vyuo chipukizi vifanye ili kufikia madhumuni lengwa.

Udsm ilipashwa kuishauri serikali bajeti iongeze ktk vyuo hivyo ili kama tatizo ni upungufu wa wahadhili basi kwa ongezeko la bajeti vitapata kuajili hata kutoka nje ya nchi.

UDSM kujifanya wao ndio polisi wa kukatanza vyuo visitoe hiyo digri eti kwa kisingizio cha upungufu wa ma DR unaona kabisa ni mpango wa kudidimiza elimu nchini.Na nisababu isiyopenyeza kwa ktk masikio ya muelewa (musomi)

wenda udsm wanachoogopa ni hiyo bajeti kubwa waliyokua wanapata kugawiwa ktk vyuo vingine .
Mimi binafsi sipo kupiganisha vyuo ila kupinga jinsi udsm inavyojikita kudidimiza elimu yetu kwa hoja lejaleja na hiyo mentality mfuu iliyokaa miongoni mwa wahusika.

udsm ndio chanzo cha mfubao wa elimu tz.
 
Ina semekana mfubao wa elimu nchi unasababishwa na wanaojiita wasomi wa UDSM kuwa na chuki za kipumbavu na mentality mfuu iliyojengeka vichwani mwao.

Mfano wasomi wa UDSM wamekuwa na tabia ya kuzibia vyuo vingi vilivyo nasababu pia nia ya kua vyuo vikuu mfano DIT, kutokana na kuwa na ma egineer wachache ilikuwa na nia siku nyingi ya kutoa digrii lakini ilipambana na mkono wa uzibe kutoka UDSM isipate wasaha huo mfano wa wazi ni pale kiongozi mwandamizi wa UDSM DR Masua alipoamua kusafiri mpaka ulaya ili kukisiriba chuo hicho kwa wadau ili kisipate hadhi hiyo.

Bado kuna mfano wa Mzumbe kikiandamwa na propaganda za wakuu wa adimizi wa UDSM.
SWALI LA KUJIULIZA!!! kwanini? UDSM ni wahasimu wakubwa wa vyuo vinavyotoa kozi zinazofanana na zile zinazotolewa UDSM.

Na juhudi zao zinapokwama hufanya kila mbinu ili chuo husika kiwe chuo kishiriki chao,habari zinapasha.

Na cha kusikitisha zaidi hawa wahadhiri wamekua mstari wa mbele kukebehi vyuo vingine mfano utasikia ukipata C udsm hii ni A mzumbe, na sivyo hivyo tu wamekua wakienda mbali kulaghai wanafunzi wao na kuwaaminisha vitu vya ajabu ajabu mfano hii digrii ya UDSM ni masters ya ulaya.

Cha ajabu wanafunzi hao nao wamekua wakiamini hayo bila kuhoji mbona hawa ma tutor wetu wengi wamezichukua hizo master ulaya? baada ya ya kuchukua digrii hapa kwanini hawakwenda moja kwa moja DR huko ulaya.habari zilizidi kupasha na kuongeza,

DESA za UDSM ndizo zimeua kabisa elimu ya Tanzania maana zimekuwa zikitoa wanafunzi mabigwa wa desa wasio na skills, chanzo kilipasha.

Na kama mfumo mzima wa elimu Tz kuangaliwa inabidi waanze na UDSM maana inasemekana ni chuo kiliojaa kinyongo, chuki ku-disco watu wenye uwezo kwa sababu za ma-prof binafsi, kupitisha wanafunzi wasio na uwezo kwa uwezo wao wa kuvua chupi.

Mkamap:

Points ulizoweka ni za muhimu lakini zina emotion ndani yake kwa waliosoma UDSM na Wanaosoma vyuo vingine vya Tanzania. Sitaki kutaja majina kwa sababu nitaanzisha mjadala mwingine wa kisiasa. Lakini wanasiasa walioweka misingi ya UDSM walitaka chuo kiwe nje ya jiji kama vile University of Oxford na kitoe majemedari. Na kazi ya vyuo vingine ni kutoa wataalamu wa kati ambao watachukua amri kutoka kwa majemedari na kuwapelekea wananchi. Na hiyo ndio mentality inayotawala mpaka sasa.

Kwa mfano DIT ilikuwa ndio taasisi ya kwanza ya elimu ya juu ya ufundi na mfumo wake ulikuwa sawa na London Polytechnic au Leeds Polytech.

Katika kipindi cha miaka zaidi iliyopita nchi nyingi zimebadilisha mifumo yao ya elimu. Universities sio mahali pa kufundisha watawala au majemedari tena ni sehemu za kutoa wafanyakazi wenye skills kubwa. Na vyuo vilivyokuwa vya kati sasa hivi vinatoa digrii. 1975 uingereza ilikuwa inasomesha kati ya 5% to 10%. Sasa hivi ni zaidi ya 40%. Vyuo vyote vya uingereza vilivyokuwa katika kundi moja na DIT sasa hivi ni University kamili.

Ukija kwenye makoloni ya mwingireza mabadiliko ni machache sana na vipingamizi utakavyosikia katika mjadala huu ni vicious cycle za ukoloni.
 
Mkamap, Idimi, Bimkubwa, na Watz wengine,

Heshima mbele- naomba tujadili mambo mengine yanayochangia kufubaza elimu ya vyuo vikuu Tz!

Huu mjadala kati ya UD na DIT sioni manufaa yake- na mtu akiangalia kwa anaweza asituelewe kama Watz -yaani huu mjadala unalenga kutufikisha wapi na kwa manufaa ya nani!

At 40 Million- we have so few students enrolled and graduating at higher learning in Tz!

A challenge how can we increase in numbers while at the same time maintaining high quality of higher education?

One rescuing strategy cold be may be hiring lecturers from abroad who have PhDs- maana pia nimeangalia Dodoma has plans to have 40,000 students, where will the lecturers come from?

Yet private Universities are mushrooming kama uyoga! Je hakuna required standard of say to be registered as University- there must be 10 parmanent staff with PhDs!

I am afraid with such kind of shortage we have have now- kufubaa kwa elimu -in future years will be even alarming!

Heshma mbele- naona hii debate ya UD versus DIT haitatusaidia kuchanganua na sababu of current predicaments ktk kufubaa huku!​

MzalendoHalisi:

Tatizo linalokuja katika jamii za watu weusi ni kupenda hierarchy zisizo na umuhimu. Chuo cha maji, chuo cha usafirishaji, DIT na Facuties zote zinazotoa enginering zilitakiwa kuwa moja na kutoa digrii.

DSA, CBE, IFM na Bcom zingeunganishwa pamoja na kutoa digrii kwa watanzania. Na ubishi wa ubora wa vyuo ungekwisha.

Kuna mji unaitwa Atlanta kuna vyuo sita vya watu weusi vilivyo katika eneo moja. Na kila chuo kina president na wakuu wa idara na matokeo ni kuwa na vyuo vyenye matatizo ya kipesa. Na ukiwaambia kwanini wasiunganishe vyuo, wanang'ang'ania historia ya vyuo hivyo.
 
................Harafu humu watu wanaongea utafikiri hata hapo udsm hawakupita
angalia hii hesabu
ma DR udsm 450
wanafunzi kukadilia 30,000.
Dr per student =450/30,000=0.015=1.5%

DIT
ma DR 13
wanafunzi 200
Dr per student =13/200=0.065=6.5%

Hivi hapo ni chuo kipi kilicho na ma DR wengi ??? ni wanafunzi wepi kati ya vyuo hivyo watakua na kontakt nzuri na wanafunzi??
Mue mnaongea kama mmepita hapo udsm na si wapambe tu .

...........dduuuhhh jamani pleeeaase...........hizi mathematics msizivamie tu jamani........mimi sikusoma UDSM............lakini hizo hesabu....mmmmmhhh......im afraid somebody got to do his/her homework properly............halafu dude again ana-conclude!!!

Bi Mkubwa
halafu waweza kuta huyu mtu ana nafasi kubwa serikalini kwetu.....ya kutoa maamuzi makubwa!!!!!!!.................somebody needs to go back to statistics CLASS!!
 
Mkamap, Idimi, Bimkubwa, na Watz wengine,

Heshima mbele- naomba tujadili mambo mengine yanayochangia kufubaza elimu ya vyuo vikuu Tz!

Huu mjadala kati ya UD na DIT sioni manufaa yake- na mtu akiangalia kwa anaweza asituelewe kama Watz -yaani huu mjadala unalenga kutufikisha wapi na kwa manufaa ya nani!

At 40 Million- we have so few students enrolled and graduating at higher learning in Tz!

A challenge how can we increase in numbers while at the same time maintaining high quality of higher education?

One rescuing strategy cold be may be hiring lecturers from abroad who have PhDs- maana pia nimeangalia Dodoma has plans to have 40,000 students, where will the lecturers come from?

Yet private Universities are mushrooming kama uyoga! Je hakuna required standard of say to be registered as University- there must be 10 parmanent staff with PhDs!

I am afraid with such kind of shortage we have have now- kufubaa kwa elimu -in future years will be even alarming!

Heshma mbele- naona hii debate ya UD versus DIT haitatusaidia kuchanganua na sababu of current predicaments ktk kufubaa huku!​

Mhe Mzalendo,
Naheshimu maoni yako pamoja na Mkamap, Bi Mkubwa na wachangiaji wengine wa hoja hii. Suala la kwenda nje ya mada ya uboreshaji wa elimu UDSM linatokana na mleta hoja mwenyewe, kwamba kuboresha elimu halikuwa lengo la mada hii. Yaliyoletwa hapa ni malalamiko. Amewasilisha hoja kwa hasira sana (soma posti ya mwanzo kabisa)na inaonyesha wazi alikuja hapa kumwaga hasira zake dhidi ya UDSM ndio maana ikabidi tuingilie kati na kuweka mambo sawa. Angekuwa ameleta hoja ya "Namna Gani Tunyanyue Elimu UDSM ama DIT ama Tanzania"? hapo tungekuwa na hoja tofauti kabisa. Kwa ufafanuzi huo basi, nitapenda kuchangia hoja ya kuboresha elimu UDSM na mahali pengine Tanzania, kwani tuna vyuo vingi sana.

MzalendoHalisi:

Tatizo linalokuja katika jamii za watu weusi ni kupenda hierarchy zisizo na umuhimu. Chuo cha maji, chuo cha usafirishaji, DIT na Faculties zote zinazotoa enginering zilitakiwa kuwa moja na kutoa digrii.

DSA, CBE, IFM na Bcom zingeunganishwa pamoja na kutoa digrii kwa watanzania. Na ubishi wa ubora wa vyuo ungekwisha.

Kuna mji unaitwa Atlanta kuna vyuo sita vya watu weusi vilivyo katika eneo moja. Na kila chuo kina president na wakuu wa idara na matokeo ni kuwa na vyuo vyenye matatizo ya kipesa. Na ukiwaambia kwanini wasiunganishe vyuo, wanang'ang'ania historia ya vyuo hivyo.

Mkuu Bin Maryam,
Nitaanzisha mada maalum pale jukwaa la elimu, naomba tuungane hapo katika kujadili namna ya kuboresha elimu yetu ya juu. Naomba ulete maoni yako pale.
Nawasilisha
Idimi
 
Ndugu yangu elimu ni pana mno
tuchukulie mtu wa pcm mfano mtu huyu anakipaji na electrons zinavyofolow hivyo anataka electronics wao wanambumbakizia civil engineer kumbuka ni physics ile ile lakini ni vitu viwili tofauti. unakuta mtu anataka civil engineer wao wanambambikizia chemical engineeering wapi na wapi?

Mtu kajipanga tangu mwanzo moshi technical civil kasoma, arusha technical civil kasoma akija kuomba udsm wanambabikizia Chemical engineering .Amini usiamini haya mambo ndio yapo hapo

Nimekupata ndugu yangu.
Sasa basi tuingie katika mjadala wa uboreshaji wa elimu yetu ya juu, tafadhali ingia katika Jukwaa la Elimu na tuendeleze mada. Mchango wako unahitajika sana.
 
...........dduuuhhh jamani pleeeaase...........hizi mathematics msizivamie tu jamani........mimi sikusoma UDSM............lakini hizo hesabu....mmmmmhhh......im afraid somebody got to do his/her homework properly............halafu dude again ana-conclude!!!

Bi Mkubwa
halafu waweza kuta huyu mtu ana nafasi kubwa serikalini kwetu.....ya kutoa maamuzi makubwa!!!!!!!.................somebody needs to go back to statistics CLASS!!

Hawa watu hawa
yani pamoja nakupita hapo udsm bado hujaelewa mantiki ya hesabu hiyo???
Mie haswa nilitaka kukuambia hiyo namba kubwa ya ma phd hapo udsm mliokua mnaipambamba kwa bwebwe si kawaida ya msomi kuangalia namba kubwa na kushabikia ,hayo ya kuangalia namba yanafanywa na watu ambao hata darasa la tano hawakufika maana ndipo hesabu za sehemu na asilimia zinapoonza.

Nilitaka kukuonyesha jinsi ya kupata chuo chenye ma phd wengi ni kwa njia ya uwiano kati ya ma phd na wanafunzi.

Ama ulitaka niweke kila kitu ktk DESA ili wewe uje umeze tu?? Vingine ni mifupa ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom