Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,519
Hiki chuo bana....halafu eti wanajitambia festi klasi za hapo!
mwaka huu watatufukuza weng,we subr! Watacngzia chadema.
nimepangwa udsm pia nina mkopo lakini hatutowatosa maskini wenzetu waliokosa mikopo
hiki chuo bana....halafu eti wanajitambia festi klasi za hapo!
kweli? Kama ni hivyo nimefurah sana kwa kuwa mimi ni mwanaharakati.

Sasa ataadmit vipi watu wasio na mkopo?Maboko yupo sahihi

Mhh, mungu nisaidie, maana wamenipanga huko!

me nasema hakuna mgomo utakaotokea
Maboko ni mzoefu na mambo ya UDSM. Kwa kawaida Daruso hawawezi kukubali kuwa na wanafunzi wanaojisomesha kwani inasababisha mgawanyiko miongoni mwa wanafunzi. Kinachofanyika Mwanafunzi yeyote akiingia UDSM lazima atapata mkopo kwa migomo ya wanafunzi na hicho ndicho anachohofia Maboko. So kwangu mimi naona wazo la Mamboko ni kama shinikizo kwa serikali na Bodi ili wanafunzi hao 1600 wapate mikopo.hujamwelewa mleta mada, maboko ndiye anayechochea mgomo kwa kuwanyima watoto wa maskini nafasi ya kusoma mpaka walipe ada. Maboko anasahau kuwa udsm ni chuo cha umma, na umma wa watanzania ni maskini.
wow, thats great. Tutakuwa pamoja.ni kweli nDugu, kumbuka hata hizi means testing zilianza ni kwa 7bu ya harakati za udsm. Mwanzoni wote tulioanza 2006/2007 tulipewa daraja moja. Govt.60% wakati mzazi 40%. Katika harakati zetu, tuligundua watoto wa matajiri na viongozi wakiwa nao wanalipiwa sawa na mtoto wa maskani tena ambaye elimu yake kapata kwa shida, na mpaka anafika chuo hana vyeti vyake, anatumia result sleep kwa kuwa anadaiwa 40,000/= adada za sekondari.

Tuliwasha moto na kusema huo ni uonevu, na madai yetu tulitaka wote tuendelee kupewa 100% ndipo viongozi wa wkt huo, akina bushi, mtatiro na mwanaharakati toka uganda aliitwa odong odwaa walisimama tukafanya mgomo uliopelekea chuo kufungwa takribani mwezi mmoja.

Tuliporejeshwa chuo, tukakuta means testing. Tulijaza fomu hizo, matokeo yake mtoto wa waziri mmoja akakutwa analipiwa 100% wakati watoto wa wakulima tuliepewa kujigaramikia hadi 80%. Tulifanya mgomo mwingine mkubwa tukafukuzwa miezi miwili na tuliporejeshwa, tukakuta madaraja yetu kwa kiasi kikubwa yamerekebishwa.

Mwaka wa tatu 2008/2009 hatukufanya mgomo kwa kuwa madaraja yalirekebishwa kwa kiasi kikubwa.

Vyuo vingine hasa vile vya private kikiwemo na mzumbe, hawakugoma, walikuwa ni kati ya watu waliotuita udsm tumeshindwa kusoma. Lakini harakati zetu na taabu za kufukuzwa ndizo zilizopelekea hata wanafunzi wa private insistution kupewa mikopo wakati mwanzoni waligomewa. Sisi udsm tukasema, nao ni watanzania japokuwa wao hawakuwahi kugoma hata siku moja.

ninayo... Ila haitoki hivihivi(kirahisi rahisi) mimi ni kama mchaga..eboo!Je, una tembo card ... .. ?

Mwenyewe haipiti dakika lazima nisome Jf tena Jukwaa la Elimu kujua yalojiri maana nina hasira huu ni mwaka wa tatu sasa napata vyuo ila nakosa mkopo kisha nakaa nyumbani kwa wazazi kukosa fedha za kuniwezesha kujiunga na masomo ya chuo, mwaka huu sikubaliani nao hadi kieleweke sibaki nyumbani ng'oo yaani hata iweje ikiwezekana hata mimi mwenyewe nitafanya maandamano hadi wanipe mkopo. Ni lazima hiyo ni Haki yangu.