UDSM-Law First Classes

UDSM-Law First Classes

Katika orodha hiyo kuna mtu naamini umemsahau. Huyu bwana alikuwa mwaka mmoja na Prof Majamba na alipata First Class. Nakumbuka kwa mbali jina lake ni Steve Mosha kama sijakosea. Ila baada ya kumaliza nasikia alikwenda nje. Hebu cheki ukweli huu.
mkuu mbona kamtaja apo juu kwenye hao wanne..pitia vizuri uzi
 
The gap between practice and GPA is very big like heaven and hell!
Sure Mkuu....
Hao wanaojiita ma-HR wamebase sana kuangalia ukubwa wa GPA.....wangekua wanatoa interview kwa wahitimu wote regardless of GPA afu mtu apimwe kwa performance ya kazi....

Kuna boya mmoja anasemekana alikua vizuri class ila kwenye practice inabidi mtu uwe una-question legitimacy ya iyo first class yake.....
 
Mkuu,mahakamani ndiyo nyumbani kwangu
Mkuu naonaga sana wewe ndo unaonekana eti ndo wakili humu JF....mi nataka uniambie any landmark case ambayo umeshashinda so far iwe ya High Court ama Court of Appeal...nikachek iyo judgment yake nione ulivokua unargue afu ndo nione kweli iyo upper second yako na wewe mahakamani kua ndo nyumbani kama kunaendana na ufanisi wako kama advocate.....

Maana tunawaonaga mahakamani mlivo watupu....japo wengine mna majina makubwa kama Pita Kibatala
 
Lengo lako hasa ni nini? Halafu iweje? Acha mambo yasiyo na maana Mkuu
 
Wewe ndiwe uliyepanic. Jihusishe na mambo ya maana. Kama unataka kuwa Mwanasheria, pambana na utakuwa. Usijipe tabu kufuatilia watu wasiokuhusu.
Acha kupanic bhana hapa JF watu ndo wanakuona kama eti ndo mwanasheria ila bhana sisi tunawaonaga sana nyie vilaza mahakamani bhana lazima tuongee ukweli...
Mnambwera mbwera sana ....ndo mana nashangaa na wewe competency yako mana sijawai kukuelewa....ujanja ujanja mwingi tuu kaaaambie na wenzio
 
Hata hajapaniki.
Unahitaji case alizoshinda ili umpe kazi au!!?
Hapana nilikua naona ikitokea ishu ya sheria hapa JF...jamaa anaitwa atoe eti "ushauri wa kisheria" sasa ndo nikasema naomba aniambie case alizoshinda ili nizifuatilie nione kama sio bush lawyer kama wenzake.....
Maana ni kama yule kibatala ana jina kubwa...juzi kwenye case ya yule msanii anashindwa hata kuweka foundation ya documentary evidence.......
 
Sasa unaumizwa na nini Mkuu? Acha mambo ya hovyo
 
Ukiwa hauna exposure unaweza ukafikiri hicho chuo ndiyo kinachobeba watu wenye akili, pamoja nakuwa nimesoma hapo, ila hii ni ranking ya university za Afrika kwa mwaka 2017. (Top 15 na hakipo).

Rank Institution Country
1 University of Cape Town South Africa
2 University of the Witwatersrand South Africa
3 Stellenbosch University South Africa
4 Makerere University Uganda
5 University of KwaZulu-Natal South Africa
6 University of Pretoria South Africa
7 University of Ghana Ghana
8 University of Nairobi Kenya
9 Suez Canal University Egypt
10 Alexandria University Egypt
11 Cairo University Egypt
12 University of Marrakech Cadi Ayyad Morocco
13 University of South Africa South Africa
14 University of Ibadan Nigeria
15 Mohammed V University of Rabat Morocco

jipange brother.
 
Leo nimekumbuka historia hii kama kumbukumbu:
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam almaarufu kama UDSM kilianzishwa mwaka 1961 kikiwa na kitivo kimoja tu cha Sheria. Kilianzia Lumumba na sasa Mwalimu Julius Nyerere Mlimani Campus kikiwa na Koleji na Shule Kuu mbalimbali.

Tangu kuanzishwa kwake,Kitivo cha Sheria kimetoa wahitimu wanne tu waliokuwa na ufaulu wa Daraja la Kwanza(yaani First Class-GPA ya 4.4 hadi 5.0).

Hao ni Dr.Ringo William Tenga,Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, Dr.Asha-Rose Mtengeti Migiro na Prof. Hamudi Ismail Majamba. Hawa wanastahili sifa.Wanastahili kuitwa 'the Big Four'.Tangu mwaka 1992,hakukuwa na Daraja la kwanza lingine.

Wengine tulijaribu lakini tukashindwa.Tukaishia na Daraja la Pili la Juu (Upper Second Class). Ikumbukwe kuwa,Kitivo cha Sheria ndicho kinachochukua wanafunzi wanaofaulu zaidi,'the Cream of the Nation' kwa masomo ya sanaa(lakini kwasasa TCU wanaleta hata daraja la pili).

Juhudi ziongezwe kwa wengine kupata Daraja la Kwanza kitivoni hapo.Wapo watakaoweza. Wajiunge na wastahili hao. Mazingira ya kujisomea UDSM yanaboreshwa kila kukicha. Inawezekana hata kwa wengine.
Siyo kweli kamili. Fanya utafiti zaidi. 1st class zilianza kupatikana mwaka 1973/74
 
Sasa unaumizwa na nini Mkuu? Acha mambo ya hovyo
Huoni kama inaumiza?? Mteja anaenda kufungwa kwa uvilaza wenu afu unasema naumia na nn?? Yani unachukua hela ya mtu afu unakua kilaza afu unasema naumia nn ??

Afu ndo unasema una gpa ya uper second??? Sasa kama logic ndogo kama iyo inakushinda iyo upper second imekusaidiaje ktk maisha yako????
 
Leo nimekumbuka historia hii kama kumbukumbu:
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam almaarufu kama UDSM kilianzishwa mwaka 1961 kikiwa na kitivo kimoja tu cha Sheria. Kilianzia Lumumba na sasa Mwalimu Julius Nyerere Mlimani Campus kikiwa na Koleji na Shule Kuu mbalimbali.

Tangu kuanzishwa kwake,Kitivo cha Sheria kimetoa wahitimu wanne tu waliokuwa na ufaulu wa Daraja la Kwanza(yaani First Class-GPA ya 4.4 hadi 5.0).

Hao ni Dr.Ringo William Tenga,Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, Dr.Asha-Rose Mtengeti Migiro na Prof. Hamudi Ismail Majamba. Hawa wanastahili sifa.Wanastahili kuitwa 'the Big Four'.Tangu mwaka 1992,hakukuwa na Daraja la kwanza lingine.

Wengine tulijaribu lakini tukashindwa.Tukaishia na Daraja la Pili la Juu (Upper Second Class). Ikumbukwe kuwa,Kitivo cha Sheria ndicho kinachochukua wanafunzi wanaofaulu zaidi,'the Cream of the Nation' kwa masomo ya sanaa(lakini kwasasa TCU wanaleta hata daraja la pili).

Juhudi ziongezwe kwa wengine kupata Daraja la Kwanza kitivoni hapo.Wapo watakaoweza. Wajiunge na wastahili hao. Mazingira ya kujisomea UDSM yanaboreshwa kila kukicha. Inawezekana hata kwa wengine.

Nilidhani Lissu naye ana first class!!!
 
Huoni kama inaumiza?? Mteja anaenda kufungwa kwa uvilaza wenu afu unasema naumia na nn?? Yani unachukua hela ya mtu afu unakua kilaza afu unasema naumia nn ??

Afu ndo unasema una gpa ya uper second??? Sasa kama logic ndogo kama iyo inakushinda iyo upper second imekusaidiaje ktk maisha yako????
Haya Mkuu, kunywa maji upumzike. Maana unaelekea kurukwa kwa mambo yasiyo na maana kwenye maisha yako. Ukiwa na jinai ndiyo utajua kama Mawakili ni vilaza au la. Siku njema!
 
Back
Top Bottom