Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
- Thread starter
- #121
YesDr. Ringo Tenga ni huyu mwenye kesi na kabudi ni huyu huyu waziri wa sheria?
Sent using Jamii Forums mobile app
YesDr. Ringo Tenga ni huyu mwenye kesi na kabudi ni huyu huyu waziri wa sheria?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo grade ni number tu, ila kwenye tasnia ya sheria tanzania hakuna na itachukua muda mrefu kuwapata kama wafuatao, James Mwalusanya (RIP), Kawa Lugakingira (RIP), Buxton Chipeta, Dan Mapigano, wote 4 walikuwa majaji. Prof. Maina Chris Peter, Twaha Ulimwengu (General Ulimwengu) Tundu Lissu, na Halima Mdee, hao uliowataja na first class zao ni sawa na Sofia Simba na masters yake ya Law japo hawezi kuongea sentence 2 za kiingereza
Hongera wa kwetu FCM.Mimi UDSM nimesoma BCom ambako kila mwaka lazima First Class zitoke. Sheria tatizo ni watu kutokukubali historia zao kufutwa! I don't believe that Kabudi is the best lawyer this country has ever had! Yes is good but is not the best.
Wanafunzi wa UDSM hawa wanaotoka na Pass, Lower Second wanaonekana ni wazuri kuliko First Class wa vyuo vingi tu. Kwa heshima naomba nisitaje vyuo hivyo!
Mbali na Kitivo changu (FCM) na sasa UDBS ( Uni.of DSM Business School) kutokuwa na ukilitimba, UDSM kwa ujumla bado kuna walimu wapuuzi na wenye chuki. Nilishangaa nikiwa mwaka wa kwanza mwalimu wa IT anatuambia eti semester hii nataka A zisizidi 4. How can you say that before setting and marking an exam?
Nashukuru Mungu nilipata hivyo 1st Class kwa shughuli kweli kweli, na baadae nikachukua Masters UK tena kwenye chuo bora by far kuliko UDSM. Huko walimu lengo ni mwanafunzi afaulu. Wanafanya kila njia ufaulu na si kukukamata ili mradi uwezo unao! Kwanza chuo kinachukua wanafunzi bora, sasa ukifeli maana yake ni kwamba chuo hakijui kufundisha. Kuna wanafunzi rafiki yangu aliwahi kuniuliza, hivi si itakuwa vichekesho wanafunzi wote wa Cambridge kukosa First Class?
Sasa, mimi wakati nasoma UDSM, wanafunzi waliokuwa wanachaguliwa ni Div I & II. Hii ilikuwa ni kigezo cha wewe kupata msaada wa kusomeshwa na serikali. Sasa ndani ya hii cream eti mtu anafeli kabisa (discontinued)!
Kuweka ugumu wa shule haina maana ya ubora wa elimu. UDSM sasa ndio kwanza inazidi kupolomoka katika medani za taaluma duniani. Matokeo mapya ya mwaka 2012 yanaonyesha UDSM imepitwa hata na chuo cha juzi juzi ilichokizaa yenyewe, MUHAS (link URAP - University Ranking by Academic Performance )
Mkuu naonaga sana wewe ndo unaonekana eti ndo wakili humu JF....mi nataka uniambie any landmark case ambayo umeshashinda so far iwe ya High Court ama Court of Appeal...nikachek iyo judgment yake nione ulivokua unargue afu ndo nione kweli iyo upper second yako na wewe mahakamani kua ndo nyumbani kama kunaendana na ufanisi wako kama advocate.....
Maana tunawaonaga mahakamani mlivo watupu....japo wengine mna majina makubwa kama Pita Kibatala
Wakati naenda kunywa maji na wewe GO MEMORIZE mnatia aibu aisee ....katika zunguka zunguka yangu yote mahakama za mjini hapa ni wakili mmoja tu niliona yupo fiti ni Aisha Bade nadhani alikua mwenyekiti wa TAWLA....wengine wengi japo sio wotr ni waganga njaa aisee ...typical bush lawyers
mm nilisoma PS&PA chuo kikuu mlimani. mzee utadhani ilikuwa medicine miaka mitatu A Hupati walimu wenyewe ndo hawa kina Bashiru chuo cha kijinga sana. nilienda kusoma kwingine shule ikawa rahisi sanaSijui kwakweli.LAKINI NADHANI MFUMO WA KUFUNDISHA KOZI KWA MWAKA MZIMA UNACHANGIA
jf imevamiwa kwakweliWawe na first class ya maisha na tuwaone nazo huku uraiani
Kwa hiyo ulidisco?mm nilisoma PS&PA chuo kikuu mlimani. mzee utadhani ilikuwa medicine miaka mitatu A Hupati walimu wenyewe ndo hawa kina Bashiru chuo cha kijinga sana. nilienda kusoma kwingine shule ikawa rahisi sana
sijawahi sio tu kudisco hata ku suppKwa hiyo ulidisco?
Watu mlikuwa na masikhara sana 😂Huyu Afande Tibaigana (RTRD) vipi nae niliwahi kusikia ni First Class au maneno ya kashata na Gahwa?
Duuh kabudiiiiLeo nimekumbuka historia hii kama kumbukumbu:
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam almaarufu kama UDSM kilianzishwa mwaka 1961 kikiwa na kitivo kimoja tu cha Sheria. Kilianzia Lumumba na sasa Mwalimu Julius Nyerere Mlimani Campus kikiwa na Koleji na Shule Kuu mbalimbali.
Tangu kuanzishwa kwake,Kitivo cha Sheria kimetoa wahitimu wanne tu waliokuwa na ufaulu wa Daraja la Kwanza(yaani First Class-GPA ya 4.4 hadi 5.0).
Hao ni Dr.Ringo William Tenga,Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, Dr.Asha-Rose Mtengeti Migiro na Prof. Hamudi Ismail Majamba. Hawa wanastahili sifa.Wanastahili kuitwa 'the Big Four'.Tangu mwaka 1992,hakukuwa na Daraja la kwanza lingine.
Wengine tulijaribu lakini tukashindwa.Tukaishia na Daraja la Pili la Juu (Upper Second Class). Ikumbukwe kuwa,Kitivo cha Sheria ndicho kinachochukua wanafunzi wanaofaulu zaidi,'the Cream of the Nation' kwa masomo ya sanaa(lakini kwasasa TCU wanaleta hata daraja la pili).
Juhudi ziongezwe kwa wengine kupata Daraja la Kwanza kitivoni hapo.Wapo watakaoweza. Wajiunge na wastahili hao. Mazingira ya kujisomea UDSM yanaboreshwa kila kukicha. Inawezekana hata kwa wengine.