UDSM-Law First Classes

UDSM-Law First Classes

Katika orodha hiyo kuna mtu naamini umemsahau. Huyu bwana alikuwa mwaka mmoja na Prof Majamba na alipata First Class. Nakumbuka kwa mbali jina lake ni Steve Mosha kama sijakosea. Ila baada ya kumaliza nasikia alikwenda nje. Hebu cheki ukweli huu.
 
Aisee hata huyu international lawyer profesa issa gullamuhussein shivji hakuwa na first class acheni utani,je profesa kanywanywi? Profesa mgongo fimbo? Au mmekosea/mmesahau
 
Leo nimekumbuka historia hii kama kumbukumbu:
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam almaarufu kama UDSM kilianzishwa mwaka 1961 kikiwa na kitivo kimoja tu cha Sheria. Kilianzia Lumumba na sasa Mwalimu Julius Nyerere Mlimani Campus kikiwa na Koleji na Shule Kuu mbalimbali.

Tangu kuanzishwa kwake,Kitivo cha Sheria kimetoa wahitimu wanne tu waliokuwa na ufaulu wa Daraja la Kwanza(yaani First Class-GPA ya 4.4 hadi 5.0).

Hao ni Dr.Ringo William Tenga,Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, Dr.Asha-Rose Mtengeti Migiro na Prof. Hamudi Ismail Majamba. Hawa wanastahili sifa.Wanastahili kuitwa 'the Big Four'.Tangu mwaka 1992,hakukuwa na Daraja la kwanza lingine.

Wengine tulijaribu lakini tukashindwa.Tukaishia na Daraja la Pili la Juu (Upper Second Class). Ikumbukwe kuwa,Kitivo cha Sheria ndicho kinachochukua wanafunzi wanaofaulu zaidi,'the Cream of the Nation' kwa masomo ya sanaa(lakini kwasasa TCU wanaleta hata daraja la pili).

Juhudi ziongezwe kwa wengine kupata Daraja la Kwanza kitivoni hapo.Wapo watakaoweza. Wajiunge na wastahili hao. Mazingira ya kujisomea UDSM yanaboreshwa kila kukicha. Inawezekana hata kwa wengine.

Kuwa kama msomi!! siyo kila kinachokujia kichwani lazima ukilete jf.
 
Yaani ninyi watu nashindwa kuwaelewa: tueleze baada ya kusoma umelifanyia nini Taifa lako sio kusema ulipata A sasa sisi tufanye nn na A yako? Kumbuka hata mawakili wengi wa serikali hii wamesoma UDSM na kila siku MCH Mtikila anawagalagaza mahakamani. Kama unakichwa kibovu hata usome Oxford au Havard your nothing.
 
Yaani wabongo kwa kuhusudisha achievements za kwenye makaratasi, hatujambo!

Ndo hao failures walioenda kuwa glorified secretaries kina Migiro.

"The Class That The Stars Fell On" has more five star generals than Tanzania has "first classes".

And we applaud that?

Something is wrong with this picture.
 
Kuna sababu nyingi za kufaulu hasa sekondary. Zile za kata kupata one mtu anakuwa na extraordinary ability. Kuna shule za private wanakaririsha wanafunzi ili wafaulu mitihani, wanapata one. Wakijiunga vyuo vikuu wanatafuta walimu wa tuition badala ya kujisomea.
 
Leo nimekumbuka historia hii kama kumbukumbu:
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam almaarufu kama UDSM kilianzishwa mwaka 1961 kikiwa na kitivo kimoja tu cha Sheria. Kilianzia Lumumba na sasa Mwalimu Julius Nyerere Mlimani Campus kikiwa na Koleji na Shule Kuu mbalimbali.

Tangu kuanzishwa kwake,Kitivo cha Sheria kimetoa wahitimu wanne tu waliokuwa na ufaulu wa Daraja la Kwanza(yaani First Class-GPA ya 4.4 hadi 5.0).

Hao ni Dr.Ringo William Tenga,Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, Dr.Asha-Rose Mtengeti Migiro na Prof. Hamudi Ismail Majamba. Hawa wanastahili sifa.Wanastahili kuitwa 'the Big Four'.Tangu mwaka 1992,hakukuwa na Daraja la kwanza lingine.

Wengine tulijaribu lakini tukashindwa.Tukaishia na Daraja la Pili la Juu (Upper Second Class). Ikumbukwe kuwa,Kitivo cha Sheria ndicho kinachochukua wanafunzi wanaofaulu zaidi,'the Cream of the Nation' kwa masomo ya sanaa(lakini kwasasa TCU wanaleta hata daraja la pili).

Juhudi ziongezwe kwa wengine kupata Daraja la Kwanza kitivoni hapo.Wapo watakaoweza. Wajiunge na wastahili hao. Mazingira ya kujisomea UDSM yanaboreshwa kila kukicha. Inawezekana hata kwa wengine.

Sio wa 4 ndugu yangu! Weng kama 15 ivi,nakumbuka wote waliitwa mbele pale nkhuruma cku ya kilele cha 50th Anivsry ya kitivo! Prof.Majamba H.I ndo 1st clas ya mwsho mwaka 1992
 
This is a travesty insulting our intelligence as a nation, an outrageous medieval burgh bent on sado-masochistic protectionism at the disadvantage of the public good, an abomination stunting the growth of the nation, a calcified plague entrenched in the spine of our educational system.

Part of the reason so many of us are poor as citizens of an immensely rich nation.

Wakati wenzetu mpaka mandondocha wanafundishwa na kuelewa kiasi chao sie wanaohitimu kiwango cha juu tangu uhuru wanahesabika kwa vidole?

Wa mwisho kahitimu enzi za kuanzishwa kwa vyama vingi?

Hawa watu wana mbongo gani ziwe tofauti hivyo? Napendekeza watakapofariki wa donate mbongo zao kwenye research institutions maana pengine si bure. Inawezekana si binadamu wa kawaida hawa.

Na kama si binadamu wa kawaida kwa nini mtihani utake mtu asiye binadamu wa kawaida kufaulu na first class?

Tushakubali kufelisha watu ndiyo elimu?

Wanaofeli hapo ni wanafunzi au mfumo wa elimu?
 
very true Kiranga..many Of UDSM graduates,wamegraduate kwa very low g.p.a's..inanyima sana chances za kupata scholarshps abroad...and its nat that w2 hawasomi,people reads a lot..bt ts ol abt ubabe..imagyne a Prof. anakuja clas anasema "dnt wry abt ur g.p.a's watoto wangu,C ya family law udsm ni sawa na A ya mzumbe"imagyne..Prof uyo,na ye ndo aloeka rekod kitivo pale enz izo kwa kupata g.p.a ya 4.8(Kabudi)..yan ubabe,ubabe 2..somo lake hatoi A..
 
Ni ushenzi tu.

Kwa sababu nchi nzima vyuo vya kuhesabu.Profesa anaogopa akiwapasisha watu wakienda kusoma Ulaya wakirudi watachukua kazi yake.

Kumbe hajui anarudisha nyuma maendeleo ya nchi nzima.
 
Hivi hiyo sheria ina ugumu kiasi gani hadi watu wasifaulu na first class honors hapo UDSM?

...noma...yan ata dipatment nyngne wanaelewa mtiti wa pale..hata admisn za mastaz..mwanafunz wa udsm amepewa exemptn g.p.a ya 2.7/3.0..and above wakat wa vyuo vngne hupiG mastaz pale bila g.p.a ya 3.5/3.8..so u kan compare..af ujue..
 
Sijui kwakweli.LAKINI NADHANI MFUMO WA KUFUNDISHA KOZI KWA MWAKA MZIMA UNACHANGIA

umenifurahisha kwakweli, yaani hujui kwanin hakuna 1st class za law ud!! kama ww uliyepata 2nd class upper na hujui kwanin hakuna 1st class, basi hatuna wasomi nchini cause hata wewe mfano ukipewa nafasi ya kuwa muhadhiri pale chuoni itakuwa ovyoivyoivyo,
 
Ni ushenzi tu.

Kwa sababu nchi nzima vyuo vya kuhesabu.Profesa anaogopa akiwapasisha watu wakienda kusoma Ulaya wakirudi watachukua kazi yake.

Kumbe hajui anarudisha nyuma maendeleo ya nchi nzima.

Exactly Kiranga..
 
Petro Mselewa..ha ha kweli io imechangia,wakat wenz2 walikua wanafanya 60% u.e,40%kozwek(mzumbe,saut),tumaini 50%,50%..udsm ni ngoma 80%u.e na 20% kozwek...annual exams..na co semista exams..noumer! Duh..shule iliisha vema
 
umenifurahisha kwakweli, yaani hujui kwanin hakuna 1st class za law ud!! kama ww uliyepata 2nd class upper na hujui kwanin hakuna 1st class, basi hatuna wasomi nchini cause hata wewe mfano ukipewa nafasi ya kuwa muhadhiri pale chuoni itakuwa ovyoivyoivyo,
Mkuu,ungesoma vyema mantiki ya jibu langu ungeelewa.Ni hivi,tangu zamani wanafunzi wa Sheria wamekuwa wakijisomea kwa juhudi na maarifa...kwelikweli. Sheria na Uhandisi ni kozi zenye wasongo wa kutosha. Lakini,perfomance ya wanafunzi huwa tofauti.Hapo ndipo hata mimi nisipoelewa. Wanafunzi wanahudhuria mihadhara na kujisomea kwa bidii,kwanini ufaulu usumbue?
 
Back
Top Bottom