Pendo Julliet
JF-Expert Member
- Sep 15, 2017
- 243
- 324
Hizo first class zao zimesaidia nini jamii?
Kweli mkuuHizo grade ni number tu, ila kwenye tasnia ya sheria tanzania hakuna na itachukua muda mrefu kuwapata kama wafuatao, James Mwalusanya (RIP), Kawa Lugakingira (RIP), Buxton Chipeta, Dan Mapigano, wote 4 walikuwa majaji. Prof. Maina Chris Peter, Twaha Ulimwengu (General Ulimwengu) Tundu Lissu, na Halima Mdee, hao uliowataja na first class zao ni sawa na Sofia Simba na masters yake ya Law japo hawezi kuongea sentence 2 za kiingereza
Mkuu umesoma icho kitivo cha sheria udsm...Poleni sana.Sasa wenzenu tulikuwa tunasoma Law of Contract ya units 6...mwaka mzima
Ndivyo walivyo Mkuu,Kuwa kama msomi!! siyo kila kinachokujia kichwani lazima ukilete jf.
Mkuu nakubaliana na wewe aisee...Hizo grade ni number tu, ila kwenye tasnia ya sheria tanzania hakuna na itachukua muda mrefu kuwapata kama wafuatao, James Mwalusanya (RIP), Kawa Lugakingira (RIP), Buxton Chipeta, Dan Mapigano, wote 4 walikuwa majaji. Prof. Maina Chris Peter, Twaha Ulimwengu (General Ulimwengu) Tundu Lissu, na Halima Mdee, hao uliowataja na first class zao ni sawa na Sofia Simba na masters yake ya Law japo hawezi kuongea sentence 2 za kiingereza
Ulikuwa SAHIHI Leo ya Lissu vs kabudi yanaonekana dhahiriHizo grade ni number tu, ila kwenye tasnia ya sheria tanzania hakuna na itachukua muda mrefu kuwapata kama wafuatao, James Mwalusanya (RIP), Kawa Lugakingira (RIP), Buxton Chipeta, Dan Mapigano, wote 4 walikuwa majaji. Prof. Maina Chris Peter, Twaha Ulimwengu (General Ulimwengu) Tundu Lissu, na Halima Mdee, hao uliowataja na first class zao ni sawa na Sofia Simba na masters yake ya Law japo hawezi kuongea sentence 2 za kiingereza
ULIKUWA SAHIHI SANAAMimi UDSM nimesoma BCom ambako kila mwaka lazima First Class zitoke. Sheria tatizo ni watu kutokukubali historia zao kufutwa! I don't believe that Kabudi is the best lawyer this country has ever had! Yes is good but is not the best.
Wanafunzi wa UDSM hawa wanaotoka na Pass, Lower Second wanaonekana ni wazuri kuliko First Class wa vyuo vingi tu. Kwa heshima naomba nisitaje vyuo hivyo!
Mbali na Kitivo changu (FCM) na sasa UDBS ( Uni.of DSM Business School) kutokuwa na ukilitimba, UDSM kwa ujumla bado kuna walimu wapuuzi na wenye chuki. Nilishangaa nikiwa mwaka wa kwanza mwalimu wa IT anatuambia eti semester hii nataka A zisizidi 4. How can you say that before setting and marking an exam?
Nashukuru Mungu nilipata hivyo 1st Class kwa shughuli kweli kweli, na baadae nikachukua Masters UK tena kwenye chuo bora by far kuliko UDSM. Huko walimu lengo ni mwanafunzi afaulu. Wanafanya kila njia ufaulu na si kukukamata ili mradi uwezo unao! Kwanza chuo kinachukua wanafunzi bora, sasa ukifeli maana yake ni kwamba chuo hakijui kufundisha. Kuna wanafunzi rafiki yangu aliwahi kuniuliza, hivi si itakuwa vichekesho wanafunzi wote wa Cambridge kukosa First Class?
Sasa, mimi wakati nasoma UDSM, wanafunzi waliokuwa wanachaguliwa ni Div I & II. Hii ilikuwa ni kigezo cha wewe kupata msaada wa kusomeshwa na serikali. Sasa ndani ya hii cream eti mtu anafeli kabisa (discontinued)!
Kuweka ugumu wa shule haina maana ya ubora wa elimu. UDSM sasa ndio kwanza inazidi kupolomoka katika medani za taaluma duniani. Matokeo mapya ya mwaka 2012 yanaonyesha UDSM imepitwa hata na chuo cha juzi juzi ilichokizaa yenyewe, MUHAS (link URAP - University Ranking by Academic Performance )
Upo sahihi Leo yamejidhihirishavery true Kiranga..many Of UDSM graduates,wamegraduate kwa very low g.p.a's..inanyima sana chances za kupata scholarshps abroad...and its nat that w2 hawasomi,people reads a lot..bt ts ol abt ubabe..imagyne a Prof. anakuja clas anasema "dnt wry abt ur g.p.a's watoto wangu,C ya family law udsm ni sawa na A ya mzumbe"imagyne..Prof uyo,na ye ndo aloeka rekod kitivo pale enz izo kwa kupata g.p.a ya 4.8(Kabudi)..yan ubabe,ubabe 2..somo lake hatoi A..
Yaani wabongo kwa kuhusudisha achievements za kwenye makaratasi, hatujambo!
Haukuwa wrong kumpa TL nafasinaipenda sana sheria na ndo maana naisoma japo ktk chuo cha kata tumaini...but ma role modals ni tundu lisu,prof jwani mwaikusa(rip),general ulimwengu,prof palamagamba kabudi
Zimesaidia kwenye 50/50Hizo first class zao zimesaidia nini jamii?
Sema Mkuu nataka natamani sana nikuone mahakamani ukipractice nione kweli iyo upper second yako kama inakufanya uwe wakili mzuri ama bush lawyer....Mkuu,ungesoma vyema mantiki ya jibu langu ungeelewa.Ni hivi,tangu zamani wanafunzi wa Sheria wamekuwa wakijisomea kwa juhudi na maarifa...kwelikweli. Sheria na Uhandisi ni kozi zenye wasongo wa kutosha. Lakini,perfomance ya wanafunzi huwa tofauti.Hapo ndipo hata mimi nisipoelewa. Wanafunzi wanahudhuria mihadhara na kujisomea kwa bidii,kwanini ufaulu usumbue?
Mkuu,mahakamani ndiyo nyumbani kwanguSema Mkuu nataka natamani sana nikuone mahakamani ukipractice nione kweli iyo upper second yako kama inakufanya uwe wakili mzuri ama bush lawyer....
Mana wengi mahakamani mnambwera mbwera sana yanii ni aibu aibu....
Yanii evidence rules zinawapiga chenga sana sijui mlikua mnakariri hadi mkapata izo GPA kubwa kubwa...
Any landmark case you won so far? I understand win some, lose some!Mkuu,mahakamani ndiyo nyumbani kwangu
Usije kua unapata sifa kama za Pita Kibatala kwenye media wakati hata kuweka 'foundation' ili documentary evidence iwe admitted anashindwa....like seriously.Mkuu,mahakamani ndiyo nyumbani kwangu
Lakini pale msamiati wa disco ulikuwa haufahamiki! Walikuwa wanaanza wote na kumaliza wote! Hizo ni taarifa nikiwa pale mlimani 1983-1986, nikifurahia Chemistry chini ya Prof. Ndalio (ameshatangulia mbele ya haki). Disco nyingi zilikuwa CONAS wakati huo kilikuwa ni kitivo na si college kama Leo. Na idara kinara cha disco ilikuwa ni chemistry! Tulikuwa tukizungumzia disco wale wa sheria hawakuwa wanaelewa! Pale ni free output! as simple as saying good morning! Nasikia pale mlimani Conas bado ni kinara wa disco! Lakini haishangazi! Natural science is difficult compared to applied sciences kama vile medicine, agriculture and the like!Wale jamaa hata hawafai japo nilipata A kozi mbili nilisoma kule.
The gap between practice and GPA is very big like heaven and hell!Sema Mkuu nataka natamani sana nikuone mahakamani ukipractice nione kweli iyo upper second yako kama inakufanya uwe wakili mzuri ama bush lawyer....
Mana wengi mahakamani mnambwera mbwera sana yanii ni aibu aibu....
Yanii evidence rules zinawapiga chenga sana sijui mlikua mnakariri hadi mkapata izo GPA kubwa kubwa...