UDSM kwa sasa ni cha kata, imebaki historia tu

Nawe toa tafiti hizo 3 kutoka vyuo vyako ulivovitaja amabazo zitalisaidia Taifa,
Unahemkwa kwa kukosa nafas ya kusoma UD, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Amabazo" maana yake nini?, haya ndiyo matatizo yenu niliyoyasema. Kwanza kuendelea kukujibu binti kama wewe ambaye unaonekana ni "slay queen" ni matumizi mabaya ya akili yangu niliyojaliwa na mwenyezi Mungu.
 
Hakuna kitu kibaya Kama inferiority complex.

UDSM kinatoa elimu ya kawaida tuu Kama vilivyo vyuo vingine Duniani.

Ishu kubwa kwenye Jambo lolote ni Brand.

Ukishajenga Brand umejenga kila kitu.

Hiyo IPO hata kwenye biashara,

Au kazi.

Kwa mfano wanajeshi wame-brandiwa kuwa wanauwezo mkubwa wamapigano Hali inayofanya jamii kuwaheshimu na kuwaogopa.
Lakini haimaanishi kuwa ndani ya jamii hakuna watu wasiowanajeshi wanaoshindwa kuwapiga hao wanajeshi.

Ishu hapo ni Brand.

Udsm imeshajitengenezea jina na hiyo ni sifa mojawapo ya kuwa kinajielewa.
Ndiyo maana mwisho kabisa nimesema udsm kutokana na ukongwe wao na brand yao ni wa kushindana na Nairobi, Makerere n.k siyo hivi vyuo vilivyochipukia juzi.
 
Umenikumbusha mhitimu wa UD ualimu Physics & Chemistry aliletwa shuleni kwetu hajui hata kuandaa prac za Chemistry olevel. Alikuwa anamwita teacher wetu wa Dip anamuandalia fresh.
Hawawezi, ukitaka kuamini mtafute muhitimu wa mwaka huu udsm kwenye hiyo fani then mpe vifaa mwambie akuandalie,ndiyo utaamini ninapo sema ubora wa elimu ya udsm umeshuka ni ukweli mtupu. Mihundombinu ya kufundishia imechakaa inahitaji marekebisho makubwa, ndaki ya CoET mpaka sasa karne 21 bado wanatumia machine na vifaa vya enzi za mkoloni. Kwa hali kama hii kuendelea kumantains kuzalisha products ambazo ni bright ni ngumu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] three ya 13 akapata nafas UD coet? Jaman hamuoni hata aibu kudanganya wazi wazi lol.

Sasa ni kudanganye ili iweje? Hao nime maliza nao Advance mwaka mmoja na shule moja,so najua ninacho kizungumza.
 
Elimu inayotolewa vyuoni inaweza kuwa ni ile ile tu kwa vyuo vingi maana hata waalimu wa vyuo vingine wengi wanatokea udsm.

Ishu kubwa katika hivi vyuo ni uzito wa jina la chuo, baaasi??

Mtu anaweza kuwa na gpa ya 4.3 kutoka vyuo vingine lakini mtu wa Udsm mwenye gpa ya 2.9 akapewa uzito kwasababu tu kasoma udsm.

Ukiangalia vizuri unakuja kugundua vyeo vingi sana vya serikalini vya juu juu wengi ni wahitimu wa udsm, ni kama vile wanabebana kifamilia.

Kupata nafasi tu ya kusoma udsm ni heshima kubwa sana, mtu anaweza kawa kapata divisioni 3 form 4, division 3 form 6 lakini akiinga tu udsm ana uwanja mpana sana kuliko kipanga aliepiga division 1 kali form 4 na 6 ila akaishia kusomea vyuo vingine.

Kwa lugha nyepesi, UDSM NI BABA LAO!!
Duuh ila akili hizi aisee.
Kuna fani na fani ambazo hao udsm inasemekana wako vizuri ila kuna nyingine ni chenga kabisa.

Na kingine mkuu usijejidanganya kua utabebwa na ukubwa wa chuo ulichosoma huku ukiwa na gpa ndgo na interview umeboronga, shauri yako.
 
Graduate wa UDOM huyo anakwambia ame ‘hit the target’ yaani uandishi wake tuu unaonesha kabisa ana ‘frustration’ na ‘chuki’ binafsi kwa kukosa qualification za kujiunga na chama kubwa la UDSM
Yaani kwa akili zake ndogo ana lazimisha ligi ambayo kimsingi haipo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana. Kwamba ukiwa na 5M mfuko wa shati unatunukiwa PhD kiroho saaaafi [emoji23][emoji23][emoji23]
Aende nayo atuletee mrejesho. Tunataka kuitwa ma dr na sisis😂😂😂😂😂😂
 
Elimu inayotolewa vyuoni inaweza kuwa ni ile ile tu kwa vyuo vingi maana hata waalimu wa vyuo vingine wengi wanatokea udsm.

Ishu kubwa katika hivi vyuo ni uzito wa jina la chuo, baaasi??

Mtu anaweza kuwa na gpa ya 4.3 kutoka vyuo vingine lakini mtu wa Udsm mwenye gpa ya 2.9 akapewa uzito kwasababu tu kasoma udsm.

Ukiangalia vizuri unakuja kugundua vyeo vingi sana vya serikalini vya juu juu wengi ni wahitimu wa udsm, ni kama vile wanabebana kifamilia.

Kupata nafasi tu ya kusoma udsm ni heshima kubwa sana, mtu anaweza kawa kapata divisioni 3 form 4, division 3 form 6 lakini akiinga tu udsm ana uwanja mpana sana kuliko kipanga aliepiga division 1 kali form 4 na 6 ila akaishia kusomea vyuo vingine.

Kwa lugha nyepesi, UDSM NI BABA LAO!!
Hizi ni promo tu
 
Wahitimu wa Udsm wanajidanganya sana eti wanapewa kipaumbele zaidi kwenye soko la ajira. Nani kawaambia ?
Huku sokoni wanaangalia competence wazee. Kama unajua unajua tu hata kama umesomea SAUT au Ruaha University
 
Elimu inayotolewa vyuoni inaweza kuwa ni ile ile tu kwa vyuo vingi maana hata waalimu wa vyuo vingine wengi wanatokea udsm.

Ishu kubwa katika hivi vyuo ni uzito wa jina la chuo, baaasi??

Mtu anaweza kuwa na gpa ya 4.3 kutoka vyuo vingine lakini mtu wa Udsm mwenye gpa ya 2.9 akapewa uzito kwasababu tu kasoma udsm.

Ukiangalia vizuri unakuja kugundua vyeo vingi sana vya serikalini vya juu juu wengi ni wahitimu wa udsm, ni kama vile wanabebana kifamilia.

Kupata nafasi tu ya kusoma udsm ni heshima kubwa sana, mtu anaweza kawa kapata divisioni 3 form 4, division 3 form 6 lakini akiinga tu udsm ana uwanja mpana sana kuliko kipanga aliepiga division 1 kali form 4 na 6 ila akaishia kusomea vyuo vingine.

Kwa lugha nyepesi, UDSM NI BABA LAO!!
Jadili kwa hoja, mbona unakuwa kama sio msomi.[emoji23] kabila gani wewe?
 
UDSM babalao. Baba wa vyuo vyote vya kata hapa nchini. Long live UDSM.
 
Back
Top Bottom