UDSM: CHADEMA yaibuka kidedea uchaguzi wa DARUSO

UDSM: CHADEMA yaibuka kidedea uchaguzi wa DARUSO

Tatizo wanatumia hizo nafasi kujijenga wakishakuwa maarufu wanahamia ccm kwenda kuwa wakuu wa wilaya

Mtatiro Julius ni mwadilifu sanaaa
Ha ha ha! J. Sonzi, Petrobes Kitambo, et. al.
 
Safi sana, wenye akili na wanaojitambua wameshinda dhidi ya ule upande mwingine, Brovo.
 
Mgombea wa Urais wa Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alias DARUSO aliyekuwa akiungwa mkono na CHADEMA Ndugu Haroun Nhonya ameibuka kidedea katika uchaguzi huo kwa kuwashinda Makomredi wetu wa CCM Ndugu Isack Frank na Evarist Matulanya.

Utaratibu wa kumuapisha Rais mteule Nhonya unaendelea. Makomredi, pamoja na kusaidiwa na chama, wamepigwa kumbo na Nhonya. Hongereni CHADEMA. Tunajipanga kichama na tutakuja kivingine katika chaguzi nyinginezo hapo UDSM na kwingineko.

Bunge ni la kupewa taarifa au kujadili na kuipitisha bajeti!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Lupunga, Pwani)
 
JPM alishawakataza kufanya siasa vyuoni.....nyie endeleeni mtajikuta mnajiteka kama NONDO
 
Huyo aliyemtangaza Nhonya kuwa mshindi analipwa mshahara na nani?
 
Back
Top Bottom