Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,821
- 50,482
Alimuokoa kwa kuwa waliomshambulia kwa zaidi ya risasi 38 walikuwa wamekusudia kumuua!!Hivi Mungu alimuokoa ali alimuadhibu?
Alimuokoa kwa kuwa waliomshambulia kwa zaidi ya risasi 38 walikuwa wamekusudia kumuua!!Hivi Mungu alimuokoa ali alimuadhibu?
Alimuokoa kwa kuwa waliomshambulia kwa zaidi ya risasi 38 walikuwa wamekusudia kumuua!!
Zungumzia uchaguzi wa DARUSO, hata hivyo povu ruksaHivi Mungu alimuokoa ali alimuadhibu?
Kama Mungu hakuzuia maelfu ya watu waliouliwa enzi za Hitler na Iddi Amin huoni kuzuia kufa kwa Lissu alikuwa na kusudi maalum kwa Tanzania.Kwa nini Mungu alishindwa kuwazuia? Kwani walikuwa na nguvu klk Mungu?
Kama Mungu hakuzuia maelfu ya watu waliouliwa enzi za Hitler na Iddi Amin huoni kuzuia kufa kwa Lissu alikuwa na kusudi maalum kwa Tanzania.
Kweli kabisa, labda!!OK, labda!
poleni mkuu...Mgombea wa Urais wa Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alias DARUSO aliyekuwa akiungwa mkono na CHADEMA Ndugu Haroun Nhonya ameibuka kidedea katika uchaguzi huo kwa kuwashinda Makomredi wetu wa CCM Ndugu Isack Frank na Evarist Matulanya.
Utaratibu wa kumuapisha Rais mteule Nhonya unaendelea. Makomredi, pamoja na kusaidiwa na chama, wamepigwa kumbo na Nhonya. Hongereni CHADEMA. Tunajipanga kichama na tutakuja kivingine katika chaguzi nyinginezo hapo UDSM na kwingineko.
Bunge ni la kupewa taarifa au kujadili na kuipitisha bajeti!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Lupunga, Pwani)
Mungu ana makusudi yake lbd alitaka wauaji wajifunze kitu.Kwa nini Mungu alishindwa kuwazuia? Kwani walikuwa na nguvu klk Mungu?
kiki zote za mkulu pamoja na manunuzi bado watu hawashoboki, hakika 2020 bila mbeleko ya NEC na polisi wanalumumba hatutoboiMgombea wa Urais wa Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alias DARUSO aliyekuwa akiungwa mkono na CHADEMA Ndugu Haroun Nhonya ameibuka kidedea katika uchaguzi huo kwa kuwashinda Makomredi wetu wa CCM Ndugu Isack Frank na Evarist Matulanya.
Utaratibu wa kumuapisha Rais mteule Nhonya unaendelea. Makomredi, pamoja na kusaidiwa na chama, wamepigwa kumbo na Nhonya. Hongereni CHADEMA. Tunajipanga kichama na tutakuja kivingine katika chaguzi nyinginezo hapo UDSM na kwingineko.
Bunge ni la kupewa taarifa au kujadili na kuipitisha bajeti!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Lupunga, Pwani)
Wanafunzi hawana shukrani hawa, yaani wamejengewa hostel halafu ndio wanaleta nini sasa?OK, labda!
mbona mungu hakuzuia kuuwawa kwa mwanae mpendwa Yesu Kristo???Kwa nini Mungu alishindwa kuwazuia? Kwani walikuwa na nguvu klk Mungu?
mzee tupa itisheni mkutano yenu ya cc na NEC mjipange, upepo wa kisiasa umegeuka ghafla. bungeni moto, bandarini moto. na sasa udsm moto.Mgombea wa Urais wa Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alias DARUSO aliyekuwa akiungwa mkono na CHADEMA Ndugu Haroun Nhonya ameibuka kidedea katika uchaguzi huo kwa kuwashinda Makomredi wetu wa CCM Ndugu Isack Frank na Evarist Matulanya.
Utaratibu wa kumuapisha Rais mteule Nhonya unaendelea. Makomredi, pamoja na kusaidiwa na chama, wamepigwa kumbo na Nhonya. Hongereni CHADEMA. Tunajipanga kichama na tutakuja kivingine katika chaguzi nyinginezo hapo UDSM na kwingineko.
Bunge ni la kupewa taarifa au kujadili na kuipitisha bajeti!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Lupunga, Pwani)
Mkuu mi nakufuatiliaga tuu kujua Kwasasa upo wapi....Mgombea wa Urais wa Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alias DARUSO aliyekuwa akiungwa mkono na CHADEMA Ndugu Haroun Nhonya ameibuka kidedea katika uchaguzi huo kwa kuwashinda Makomredi wetu wa CCM Ndugu Isack Frank na Evarist Matulanya.
Utaratibu wa kumuapisha Rais mteule Nhonya unaendelea. Makomredi, pamoja na kusaidiwa na chama, wamepigwa kumbo na Nhonya. Hongereni CHADEMA. Tunajipanga kichama na tutakuja kivingine katika chaguzi nyinginezo hapo UDSM na kwingineko.
Bunge ni la kupewa taarifa au kujadili na kuipitisha bajeti!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Lupunga, Pwani)
Ni wapi mzee Tupatupa ambako kulikuwa na uchaguzi huru na haki CCM ikashinda? Nakuapizia kabisa CCM hauwezi kushinda hata tukishindanisha mataahira ya Lumumba na mataahira ya upinzani kama yapo, ccm utaangukia pua tu!Mkuu, mjumbe hauwawi
Mzee Tupatupa
haujui lolote wewe, ivi kipara kipindi kile alikuwa ccm/chadema na akina ally hapi?. ah aha a aa wote hao ni ccm waliojivika uukawa. hakuna chadema hata moja hapo wote wana kadi za lumumba. hata nhonya ni wale wale.Mgombea wa Urais wa Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alias DARUSO aliyekuwa akiungwa mkono na CHADEMA Ndugu Haroun Nhonya ameibuka kidedea katika uchaguzi huo kwa kuwashinda Makomredi wetu wa CCM Ndugu Isack Frank na Evarist Matulanya.