UDSM: CHADEMA yaibuka kidedea uchaguzi wa DARUSO

UDSM: CHADEMA yaibuka kidedea uchaguzi wa DARUSO

Hii habari mbona haiji na takwimu za kura wala picha za wagombea? Si uwongo huu jamani?
 
Kweli bana picha na idadi ya kura muhimu otherwise Uzi utakosa usito
 
Ila roho inakuuma? CCM bila polisi na Tume ya uchaguzi ni wepesi kama karatasi...kwanza lichama halipendwi linatumia ubabe kupendwa!
Unaziweza harakati?
Unajua gharama ya harakati?
Dr Slaa yuko wapi leo hii?
 
moja Kati ya chaguzi za kusisimua katika chuo cha daressalaam umeisha kwa makada watiifu Frank isack na matalunya evarist kupigwa chini licha ya kutamba lazima washinde hata kwa goli la mkono.

haruna Stanley kutoka kitivo cha Cohu ameibuka kidedea akiungwa mkono na wana CHASO

[HASHTAG]#Solidarity[/HASHTAG] forever
Uzembe mkubwa hivi Polisi walijisahau au hawakujua kuna uchaguzi ili wawasaidie mafisiem kushinda?
 
Wanafunzi hawana shukrani hawa, yaani wamejengewa hostel halafu ndio wanaleta nini sasa?
Ni haki yao kujengewa makazi! we unafikiri wale wana akili mbovu kama sijui jingalao, rutashoborwa, lizaboni na ndezi wengine wa Lumumba?
 
Ndiyo maana hakuna profffesional graduates this era in Tanzania.
Very stupid....Yaani mzazi anasomesha mtoto awe mwana taaluma au kuwa mshabiki wa mlengo flani.
Hakika hamstahili hata mikopo ya Serikali kwakuwa hamjui mnachofanya.

Ficha ujuha wako. Chuoni hakuna watoto kuna watu wazima wanaojiamulia mambo yao wenyewe.
 
Back
Top Bottom