UDSM: CHADEMA yaibuka kidedea uchaguzi wa DARUSO

UDSM: CHADEMA yaibuka kidedea uchaguzi wa DARUSO

Mgombea wa Urais wa Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alias DARUSO aliyekuwa akiungwa mkono na CHADEMA Ndugu Haroun Nhonya ameibuka kidedea katika uchaguzi huo kwa kuwashinda Makomredi wetu wa CCM Ndugu Isack Frank na Evarist Matulanya.

Utaratibu wa kumuapisha Rais mteule Nhonya unaendelea. Makomredi, pamoja na kusaidiwa na chama, wamepigwa kumbo na Nhonya. Hongereni CHADEMA. Tunajipanga kichama na tutakuja kivingine katika chaguzi nyinginezo hapo UDSM na kwingineko.

Bunge ni la kupewa taarifa au kujadili na kuipitisha bajeti!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Lupunga, Pwani)
Hongereni, naona marais wanaongezeka tu. Alikuwa rais wa TLS sasa wa DARUSO.
 
Mzee TupaTupa na wana CCM wenzio mmezubaa vipi hadi CHADEMA wakachukua? anyway, poleni.
 
Apa nimebakia dilema....matulanya classment wangu nilitaka ashinde ila kwa upande wa chama daah.....[emoji23][emoji23]
 
Tatizo wanatumia hizo nafasi kujijenga wakishakuwa maarufu wanahamia ccm kwenda kuwa wakuu wa wilaya

Mtatiro Julius ni mwadilifu sanaaa

Mchezaji ukiwa mzuri na dau lako la usajiri linapanda kaka.
 
haujui lolote wewe, ivi kipara kipindi kile alikuwa ccm/chadema na akina ally hapi?. ah aha a aa wote hao ni ccm waliojivika uukawa. hakuna chadema hata moja hapo wote wana kadi za lumumba. hata nhonya ni wale wale.

Acha kudanganya watu na kujipa moyo.
 
Ndiyo maana hakuna profffesional graduates this era in Tanzania.
Very stupid....Yaani mzazi anasomesha mtoto awe mwana taaluma au kuwa mshabiki wa mlengo flani.
Hakika hamstahili hata mikopo ya Serikali kwakuwa hamjui mnachofanya.
 
moja Kati ya chaguzi za kusisimua katika chuo cha daressalaam umeisha kwa makada watiifu Frank isack na matalunya evarist kupigwa chini licha ya kutamba lazima washinde hata kwa goli la mkono.

haruna Stanley kutoka kitivo cha Cohu ameibuka kidedea akiungwa mkono na wana CHASO
 

Attachments

Back
Top Bottom