UDSM: CHADEMA yaibuka kidedea uchaguzi wa DARUSO

Hahahaaaa pythagoras bana, ukweli huo utakuweka kubaya kama kina lisu na saanane..... Haya majitu hayataki kusikia ukweli ila ukweli husimama na hautetereki unabakia kuwa ukweli.CCM BILA POLICCM NA TISSCCM hawana lao.na 2020 wallah watashaaa, wao wanadhani hela na mapoliccm na ma tissccm wakati wote yako upande wao, unaweza kununua wa tanzania wachache(wajinga) kwa wakati mmoja ila si watanzania wote(wajinga na werevu) wakati wote.OVER.
Wala siyo Policcm bali ni tume. Tume wanajitangazia matokeo kwa maelekezo toka juu!! Ni too obvious.....!!
 
Ccm ni chama chepesi sana, mno. Ni dola inawabeba tu. Na hiki chama kilishakufa siku nyingi sana. Ni mbeleko ya dola inawabeba. Ndiio unaona wanafanya lolote bila kujali wakijua dola ipo figisu zitafanyika km leave mfano ni uchaguz tutashinda tu.hata wanaccm wenyewe hawaipendi ccm
 
Back
Top Bottom