UDSM waagizwa kufuta matokeo Uchaguzi wa Rais mpya DARUSO

Jan 16, 2015
21
19
Taarifa zilizopo kwa watumishi mbalimbali wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na wanafunzi wa chuo hicho ni kuwa limetolewa "agizo kutoka juu" kuwa matokeo ya uchaguzi wa rais wa serikali ya wanafunzi yafutwe kwasababu mgombea aliyeshinda "ni mtu hatari"

Katika kutekeleza jambo hilo, tayari zoezi la kumuapisha Nhonya Haroun Stanley limesitishwa, kwa maelekezo ya Dean of students.

Taarifa kutoka kwa mmoja wa watumishi wa chuo hicho zinadai kuwa, uchaguzi huo umeagizwa ufutwe na viongozi waandamizi wa chama tawala Mara baada ya wagombea Frank Isack na Matulanya Evarist waliokuwa wakiungwa mkono na Haroun Stanley aliyetajwa kuungwa mkono na wanafunzi wapenda mabadiliko.

Mmoja kati ya wagombea hao wawili wanaodaiwa kuwa walikuwa wakiungwa mkono na CCM amedaiwa kusambaza taarifa kwa marafiki zake kuwa waliagizwa na viongozi wa chama chao kuwa waandike "barua ya kukata rufaa na kuielekeza kwa DVC administration kupinga matokeo ya uchaguzi, ili uongozi wa chuo utoe kisingizio kuwa umepokea malalamiko na kufuta uchaguzi."

Tayari pia mchakato wa uchaguzi wa Spika na naibu Spika umesitishwa na uongozi wa UDSM.
======

UPDATE MAY 31, 2018:

Taarifa rasmi kutoka kwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

daruao.jpg
 
kwa hiyo Chadema Hawatumiagi Nguvu, wanapendwa tu
 
Udsm ya leo haina tofauti na shule ya kata!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom