UDSM cha 32 kwa ubora Afrika na cha 2021 duniani

UDSM cha 32 kwa ubora Afrika na cha 2021 duniani

Jukwaa la elimu...mada ya elimu.majibu ya kisiasa.ccm imefikaje huku..kiingereza cha raisi kimefikaje huku..
 
Udsm chuo changu kilikua poa sana enzi hizo nasoma. Kuwa namba 2,3,4,5,6 Afrika ilikua ni swala la kawaida. Cku chuo kimepoa utafikir ni TEKU.
 
Hii habari nzuri sana kwa wadau Wa Udom. Ni sawa na mashabiki Wa Real Madrid wanaposikia Messi amepata injury na hataweza kirudi uwanjani kwa miezi sita
 
Teofili Kisanji cha 7 duniani na cha 3 Africa,usiulize how wenye takwimu washasema
 

ranking
World Rank University Det. Country Presence Rank* Impact Rank* Openness Rank* Excellence Rank*

1 290 University of Cape Town
za.png
500 413 234 265
2 455 University of the Witwatersrand
za.png
1163 745 422 394
3 480 Stellenbosch University
za.png
657 693 557 466
4 516 University of Pretoria
za.png
179 715 495 543
5 641 University of Kwazulu Natal
za.png
986 1301 584 496

Hivyo ndiyo focus yangu ivyo vingine mnajua wenyewe mlienda kusoma au kukaa darasani
University of Witwatersrand hiki chuo nakikubali sana.
 
Umeambiwa walikuwa wanapanga kwa wingi wa mvi kwenye chuo,? Moto wa udom wanaujua waajiri au wachache waliowahi kuwa kwenye interview na hizi product,wewe pigs domo without evidence,keep it up udom

UDOM kimejaza Div 4 na 0 tu
 
Sijui kumetokea nini! Hiki chuo kilikuwa miongoni mwa vyuo bora kabisa Afrika. Kama kumbukumbu zangu ni sahihi, kuna wakati kiliwahi kuwa cha tatu Afrika nyuma ya University of Capetown na kile cha Misri.

Sisi kila kitu tunakwenda kwa kurudi nyuma.

Kuna wakati tulikuwa juu katika demokrasia, viwanda, uwekezaji, n.k. Sasa ni hohe hahe. Kila kitu tunarudi nyuma.

Failure of the institution is failure of the management. Failure of a nation is failure of leadership.

Tatizo lenu ndo hilo. Mnafikiria kuwa wewe hahusiki. Kila Siku kelele. Fujo. Afu mnasubiri Maendeleo. Unadhani hao maprofessor na walimu hawako Chadema. Fanya sehemu yako. Mwambie na Mbowe aongeze na Elimu yake. Na uchaguzi mfanye Bwana Demokrasia tuione.
 
Kwakweli hamna chuo hapo angalia ata phd zao eg ya mkulu
 
Mkisha angalia hivyo, je kuna impact gani inapatika kwa jamii na kwa mtu mmoja mmoja?
 
Naona muda unavyokwenda mbele kinazidi kudidimia....
Best siyo chuo kikuuu tu juzi nilikuwa naangalia vitabu vya hawa walioanzishiwa mtaala mpya nikachanganyikiwa mtoto aliniuliza swali nikamwambia soma hiyo topic kwenye kitabu utapata majibu.,akaniambia nimesoma hamna nikachukua kitabu ni grade four yaani kitabu hakina kitu kabisaaaa.Kwanza hamna mtiririko topic zimeondolewa vitu vingi hamna kwenye kitabu.Nikatafuta vya ndugu yake vya grade four 2015 ndo nikaona mwanga na kumfundisha sasa nikapata mwelekeo.Halafu ndo hawa tunaambiwa wataishia la sita sijui watatoka na nini hapo jamani Elimu inazidi kushuka kila kukicha.
 
hizi ligi za kindezi kweli.. nisiongee zaidi may be ningekuwa UD ningeshabikia haya masuala.
 
Back
Top Bottom