UDSM cha 32 kwa ubora Afrika na cha 2021 duniani

UDSM cha 32 kwa ubora Afrika na cha 2021 duniani

Kwa kweli UDSM hakuna cha kujisifia, kimebaki jina tu... In terms of learning environment, quality research output etc bado sana. Hata kwa East Africa ukilinganisha na vyuo vya the same size eg University of Nairobi, Makerere University etc, still hakiwezi kika-compete nao.

Nakumbuka a few years back kilishindwa na MUHAS, interms of science research output. MUHAS ndo kikawa kinaongoza kwa Tz. Yaani chuo ambacho wamekizaa wao wenyewe kimewashinda. Kwa hiyo wajipange...
Kwa takwimu zilizotoka jana,national ranking,top five,UDSM inaongoza,UDOM inafuata kutoka nafas ya tano mwaka Jana,SUA kinafuata kutoka ya pili,Mzumbe no4 kutoka ya 3 MUHAS no 5 kutoka no 4 mwaka Jana..Hizi n salamu tu kwa vyuo vikongwe kutoka kwa UDOM ambayo inasherekea mahafali ya 7 tu sasa.....haikuwa hata kwenye mia bora nyuma,leo hii ya 65 africa
 
Kama maprofesa wenywe mi kina Kabudi, mkumbo, lipumba unagemea nn
 
Hivi, kwa akili ya kawaida kabisa, aliyemaliza hapo 1971 ANA UHUSIANO WOWOTE na hiyo nafasi? AU unazungumzia aliyesoma mwaka gani? UDOM ya ngapi?
Hata hao waliomaliza miaka hiyo nao pia inawahusu, kwani wana lipi la kujivunia? Sindo hao wanaongoza nchi? Wanalipi la kuitwa wasomi na kukipa hadhi hicho chuo?
 
Kwa vigezo vp mkuu???
Kwani academic matters za vyuo zinapatikana kirahisi hivo ili kucompare na wengine??
Au wanaangalia ubora wa mandhari na majengo??
Nisaidie mkuu japo a engine wanaweza kuniona juba kwa kuuliza hivi.
 
Naiona UDOM ikija juu kwa kasi sana. Wanafunzi wake wanakipaisha sana hiki chuo kwani wengi wana ari ya kujifunza, sio wajuaji na wana nidham sana hata wanapokuja kufanya field. Kama UDOM itaendelea na moto huu, trust me itakuja kuwa one of the best universities!
 
Umeambiwa walikuwa wanapanga kwa wingi wa mvi kwenye chuo,? Moto wa udom wanaujua waajiri au wachache waliowahi kuwa kwenye interview na hizi product,wewe pigs domo without evidence,keep it up udom
Bado ni ' Vichanga ' sana ukilinganisha na Mzumbe University japo naviheshimu kwa ' Taaluma ' wanayoitoa.
 
Katika chuo kikuu hovyo Tanzania na Afrika ni hiki UDSM. Ukitaka kujua hilo angalia waliosoma hapo mfano Magu, Madelu, Kabudi, Ndalichako, Chakubanga, Mpango yaani ni watu wahovyo hovyo tuu.

Mi Nilihamaga hapo nikiwa mwaka wa pili muhula wa kwanza maana niliona sioni mwanga na future yangu iliyotukuka.
Hiki chuo kimeshuka sana maana 2015 kilikuwa cha 10 https://answersafrica.com/top-50-universities-in-africa-latest-rankings.html

Hili swala la wahandisi kuchukuliwa au kuteuliwa limeharibu kabisa chuo kikuu cha Dar Es Salaam maaana miaka miwili tu chuo kinaporomoka kama hamna walimu chuoni kutoka nafasi ya 10 mpaka nafasi ya 32 sasa miaka miwili inamaana kitakuwa nkimeporomoka zaidi.Vijana mliosoma nendeni pale mkasaidie chuo chetu na vijana wetu kwa maendeleo ya Taifa letu
 
Nakiona chuo kinachoitwa cha kata (Udom) kinavyokuja kwa kasi.
Maana kwenye interviews mpaka kwenye fields wanafunzi wa udom wanaonekana kuwa juu kuliko kwa wale wa chuo cha taifa.

I predict after several years tutakiona chuo kikuu cha Dodoma kikiwa juu.
Not several years,its just few years kama administratiin itaendelea kukaza kama ninavyowajua
 
Sijui kumetokea nini! Hiki chuo kilikuwa miongoni mwa vyuo bora kabisa Afrika. Kama kumbukumbu zangu ni sahihi, kuna wakati kiliwahi kuwa cha tatu Afrika nyuma ya University of Capetown na kile cha Misri.

Sisi kila kitu tunakwenda kwa kurudi nyuma.

Kuna wakati tulikuwa juu katika demokrasia, viwanda, uwekezaji, n.k. Sasa ni hohe hahe. Kila kitu tunarudi nyuma.

Failure of the institution is failure of the management. Failure of a nation is failure of leadership.
Siasa, siasa,siasa.......
 
When you luk at the products you can have no doubt....
 
Mnashangaa nini wakati wasomi watu ndio wanaotoa matamko ya hovyo kila kukicha utadhani walienda kutembea mjini...haiwezekani Eng huyo huyo anaidhinisha ujenzi baada ya miaka mitatu yeye mwenyewe anasimamia kubomoa kuna Elimu hapo mifano ya Elimu mbovu ni mingi tuachie hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mgomvi sana ujue
 
Back
Top Bottom