UDSM cha 32 kwa ubora Afrika na cha 2021 duniani

UDSM cha 32 kwa ubora Afrika na cha 2021 duniani

Nyie mmesoma vyuo gani? Utashangaa Vyuo vyenu viko nafasi ya 134 Africa. Sijui kwanini mnapenda hizi ligi za vyuo? Sisi ambao hatujafika Vyuo vikuu tusemeje sasa?

nyie mlokuwa hamjafika vyuo vikuu hamna tafauti yeyote na hao walofika, nchi hii hamna mwenye akili timamu hata mmoja, walosoma na walala hoi ni kitu sawa sawa
 

ranking
World Rank University Det. Country Presence Rank* Impact Rank* Openness Rank* Excellence Rank*

1 290 University of Cape Town
za.png
500 413 234 265
2 455 University of the Witwatersrand
za.png
1163 745 422 394
3 480 Stellenbosch University
za.png
657 693 557 466
4 516 University of Pretoria
za.png
179 715 495 543
5 641 University of Kwazulu Natal
za.png
986 1301 584 496

Hivyo ndiyo focus yangu ivyo vingine mnajua wenyewe mlienda kusoma au kukaa darasani
 
Sio kwa kucheka huku, ntarudi humu ndani
 
Sijui kumetokea nini! Hiki chuo kilikuwa miongoni mwa vyuo bora kabisa Afrika. Kama kumbukumbu zangu ni sahihi, kuna wakati kiliwahi kuwa cha tatu Afrika nyuma ya University of Capetown na kile cha Misri.

Sisi kila kitu tunakwenda kwa kurudi nyuma.

Kuna wakati tulikuwa juu katika demokrasia, viwanda, uwekezaji, n.k. Sasa ni hohe hahe. Kila kitu tunarudi nyuma.

Failure of the institution is failure of the management. Failure of a nation is failure of leadership.
Itakuwa ni rankings za 4iu.org hizo ambao ranking yao isn't based on academic performance.

Hivi sasa kuna ranking bodies kibao but what matters ni methodology inayotumika.

Ukitumia taasisi kubwa kubwa, mara nyingi vyuo vyetu vinakuwa havitokei kwenye orodha yao kwa sababu, wanachofanya wao sio ku-rank top 100 bali ku-rate ubora to a certain level ambayo tunakuwa hatufikii!!!

Taasisi inayotumia mfumo sawa na wao ambayo kwangu mimi ndo naiamini zaidi ni URAP.

Methodology ya URAP inaangalia ni nini hasa kinafanyika kwenye chuo husika in terms of academic stuffs na sio kama hawa 4iu or even Webometrics ambao wanaangalia sana online activity!!!

So, with URAP, UDSM wapo #59. Tunaweza tusipende lakini methodology yao ni mzuri kupima misuli ya kitaalamu ya chuo husika!

URAP Indicators...
URAP.png
 
Kumbe muk aka makerere wako vizuri, tulikuwa tunaambiwa tulisoma Uganda elimu yao ati ni ndogo, sikuwa hata naelewa maana yake nini, sasa ndio nimejua
 
INAWEZEKANA NI KWELI KABISA, CHUO CHETU KIWE CHA 32 KATI YA VYUO 33!, TUKAWA, TUNAJITEKENYESHA NA KUJICHEKESHA WENYEWE!
Hiyo ranking ni ya ubora wa website mleta mada mjinga Fulani hivi.Halafu hao waangalia website ni wahuni tu wa mitandaoni hawatambuliwi popote kwenye tasnia ya wasomi.wamiliki wa hiyo website hawajulikani
 
Kwa kweli UDSM hakuna cha kujisifia, kimebaki jina tu... In terms of learning environment, quality research output etc bado sana. Hata kwa East Africa ukilinganisha na vyuo vya the same size eg University of Nairobi, Makerere University etc, still hakiwezi kika-compete nao.

Nakumbuka a few years back kilishindwa na MUHAS, interms of science research output. MUHAS ndo kikawa kinaongoza kwa Tz. Yaani chuo ambacho wamekizaa wao wenyewe kimewashinda. Kwa hiyo wajipange...
Usiku kwenye Bar, club wamejazana wanafunzi wa chuo kikuu wanalewa na wengine kufanya ufuska, kipindi cha mitihani wananunua majawabu, vyeti na kusoma kijanja janja kwa kuiba mitihani, Rushwa zango, kwa kweli 80% ya wasomi wa DSM university ni feki kwa sasa huenda ni chuo kikuu cha mwisho Duniani pengine hawakutaka kusema Ukweli.
 
Hiyo ranking ni ya ubora wa website mleta mada mjinga Fulani hivi.Halafu hao waangalia website ni wahuni tu wa mitandaoni hawatambuliwi popote kwenye tasnia ya wasomi.wamiliki wa hiyo website hawajulikani
Lisemwalo lipo kama halipo linakuja, kwa kweli wasomi wengi kwa sasa husoma kijanja janja kwa kuiba mitihani, kununua majawabu, kusoma kwa kukariri ili wafaulu mitihani lakini kichwani hawana Taaluma yeyote zaidi ya kujifunza kingereza tu ili kuwahadaa watu wanaodhani anayeongea kingereza ni msomi, Mfumo wa Elimu wa Tanzania unahitaji kukarabatiwa kwa kiwango kikubwa tena haraka kwani kadri siku zinavyokwenda ndivyo wasomi feki wanazidi kuongezeka.
 
Hiyo ranking ni ya ubora wa website mleta mada mjinga Fulani hivi.Halafu hao waangalia website ni wahuni tu wa mitandaoni hawatambuliwi popote kwenye tasnia ya wasomi.wamiliki wa hiyo website hawajulikani
ccm ....... Oyeee.....ee
 
Sijui kumetokea nini! Hiki chuo kilikuwa miongoni mwa vyuo bora kabisa Afrika. Kama kumbukumbu zangu ni sahihi, kuna wakati kiliwahi kuwa cha tatu Afrika nyuma ya University of Capetown na kile cha Misri.

Sisi kila kitu tunakwenda kwa kurudi nyuma.

Kuna wakati tulikuwa juu katika demokrasia, viwanda, uwekezaji, n.k. Sasa ni hohe hahe. Kila kitu tunarudi nyuma.

Failure of the institution is failure of the management. Failure of a nation is failure of leadership.
Mkuu hakijawahi kuwa cha tatu ila kumi na tatu!!!
 
Mnashangaa nini wakati wasomi watu ndio wanaotoa matamko ya hovyo kila kukicha utadhani walienda kutembea mjini...haiwezekani Eng huyo huyo anaidhinisha ujenzi baada ya miaka mitatu yeye mwenyewe anasimamia kubomoa kuna Elimu hapo mifano ya Elimu mbovu ni mingi tuachie hapo
 
Itakuwa ni rankings za 4iu.org hizo ambao ranking yao isn't based on academic performance.

Hivi sasa kuna ranking bodies kibao but what matters ni methodology inayotumika.

Ukitumia taasisi kubwa kubwa, mara nyingi vyuo vyetu vinakuwa havitokei kwenye orodha yao kwa sababu, wanachofanya wao sio ku-rank top 100 bali ku-rate ubora to a certain level ambayo tunakuwa hatufikii!!!

Taasisi inayotumia mfumo sawa na wao ambayo kwangu mimi ndo naiamini zaidi ni URAP.

Methodology ya URAP inaangalia ni nini hasa kinafanyika kwenye chuo husika in terms of academic stuffs na sio kama hawa 4iu or even Webometrics ambao wanaangalia sana online activity!!!

So, with URAP, UDSM wapo #59. Tunaweza tusipende lakini methodology yao ni mzuri kupima misuli ya kitaalamu ya chuo husika!

URAP Indicators...
View attachment 691967
Mkuu umeandika ukweli mtupu elimu yetu ya juu ipo hoi kitambooooo na hali ni mbaya
kuliko tunavyodhani!! mtu anasema kiliwahi kuwa cha 3 africa si kweli nakumbuka kilikuwa cha 13 na taasisi ilosema hivyo walikuwa hawa webometrics infact tukubali au tukatae kuna uwekezaji mkubwa mnooo unatakiwa kwenye elimu sasa sisi hilo tunajifanya hatulioni!!!!!!
 
Ukiweka siasa kazin lazima kazi iharibike tu. Waje bas waseme ni nayo ni maendeleo kuwepo kwenye top 100. I hate politics
 
Back
Top Bottom