VETA maana walau wanatungenezea fenicha, mafeni, magar n.kKama hamna ya kujadili mkalale.... Mnaoiponda udsm inaonekana mlikuwa mnaitamani sana ila hamkuweza kupata nafasi....... Taja chuo bora apa tz ukiacha UDSM
Mkulu sasa anavyopenda kuwateua utafikiri vyuo vingine sio wasomi.Hapo sasahivi Amna kitu walibahatika wakina Jaji Warioba et al.Usiku kwenye Bar, club wamejazana wanafunzi wa chuo kikuu wanalewa na wengine kufanya ufuska, kipindi cha mitihani wananunua majawabu, vyeti na kusoma kijanja janja kwa kuiba mitihani, Rushwa zango, kwa kweli 80% ya wasomi wa DSM university ni feki kwa sasa huenda ni chuo kikuu cha mwisho Duniani pengine hawakutaka kusema Ukweli.
Wewe umesomea wapi?Halafu kuna watu wanajigamba kusomea hapo.2021.
Wewe wa amazon training collage vp?Wasomi wa hiki chuo wana kelele sana..
Wewe wa amazon training collage vp?
mbona unaropoka tu mkuu????Kama majengo tuu yana nyufa whats next
Mkuu we umetumia vigezo gani kujua kama hivyo vyuo havistahili kuwepo katika hizo nafasi?Sikubaliani nao kwani haingii akilini / upeoni Vyuo Vikuu vya Dodoma na Huria viko juu ya one of the best University kwa sasa nchini Tanzania cha Mzumbe. Waliopangilia hizi ' rankings ' nadhani wanahitaji kufanyiwa formating IQ's zao kwani zimedoda / zimetokoka.
Mkuu we umetumia vigezo gani kujua kama hivyo vyuo havistahili kuwepo katika hizo nafasi?
Kama Udsm ni 2021, unafikiri Sua kitakuwa cha ngapi? Use common sense.Duh!..Je SUA?
From uniranking n 35 bro,s 32 kwa takwimu zilizotoka janaView attachment 691917
===========
View attachment 692113
Fuatilia zaidi hapa: =>Africa | Ranking Web of Universities
SUA cha 67,UDOM 65 UDSM 36,mzumbe na muhimbili mia na kitu hukoDuh!..Je SUA?