UDSM cha 32 kwa ubora Afrika na cha 2021 duniani

Mnashangaa nini wakati wasomi watu ndio wanaotoa matamko ya hovyo kila kukicha utadhani walienda kutembea mjini...haiwezekani Eng huyo huyo anaidhinisha ujenzi baada ya miaka mitatu yeye mwenyewe anasimamia kubomoa kuna Elimu hapo mifano ya Elimu mbovu ni mingi tuachie hapo
Unachanganya maamuzi ya KITAALUMA (e.g Uhandisi etc) na maamuzi ya KISIASA..... Ref: expansion joints

Mhandisi anapokuwa anatoa ushauri, halafu mtoa maamuzi akaukataa, NANI WA KUMLAUMU?
 
Hata ukiangalia quality na character ya wale wanaoitwa maprofesa wanaotoka hapo ni kielelezo tosha cha status ya hicho chuo.

Kwa kuwa sisi tuliishaamua ku-politicize kila kitu basi hiyo taarifa wala sio ya kushangaza ni stahiki yetu.

Tutaendelea hivyo hadi pale tutakapojitambua na kuwa na viongozi wenye vision na focus wasiopenda kicks.
Embu tutajie hao viongozi ambao unaona wana vision ndugu
 
Kupanga ni kuchagua, ukiwekeza zaidi kwenye siasa lazima elimu ididimie
 
Hata ukiangalia quality na character ya wale wanaoitwa maprofesa wanaotoka hapo ni kielelezo tosha cha status ya hicho chuo.

Kwa kuwa sisi tuliishaamua ku-politicize kila kitu basi hiyo taarifa wala sio ya kushangaza ni stahiki yetu.

Tutaendelea hivyo hadi pale tutakapojitambua na kuwa na viongozi wenye vision na focus wasiopenda kicks.
Ni wagoni kichizi..
 
Katika chuo kikuu hovyo Tanzania na Afrika ni hiki UDSM. Ukitaka kujua hilo angalia waliosoma hapo mfano Magu, Madelu, Kabudi, Ndalichako, Chakubanga, Mpango yaani ni watu wahovyo hovyo tuu.

Mi Nilihamaga hapo nikiwa mwaka wa pili muhula wa kwanza maana niliona sioni mwanga na future yangu iliyotukuka.
 
Unachanganya maamuzi ya KITAALUMA (e.g Uhandisi etc) na maamuzi ya KISIASA..... Ref: expansion joints

Mhandisi anapokuwa anatoa ushauri, halafu mtoa maamuzi akaukataa, NANI WA KUMLAUMU?
Ukiwa na Elimu yako ipo vizuri hata mwanasiasa akiamu ufanye kitu huwezi kukubali kudharirisha taaluma yako kwa uelewa wako Naendelea kukamilisha kuwa Elimu ipo chini sana...
 
Katika chuo kikuu hovyo Tanzania na Afrika ni hiki UDSM. Ukitaka kujua hilo angalia waliosoma hapo mfano Magu, Madelu, Kabudi, Ndalichako, Chakubanga, Mpango yaani ni watu wahovyo hovyo tuu.

Mi Nilihamaga hapo nikiwa mwaka wa pili muhula wa kwanza maana niliona sioni mwanga na future yangu iliyotukuka.
Hao uliowataja Mbona wanafuture nzuri.
Let's talk about... He is purely academician...ndiyo maana Mara nyingi pamoja na uwaziri wake utamkuta law collection udsm main library...kuletwa kwake wizarani ni mbinu ya kuwa contain aliwowafundisha wanao ichachafya Gvt eg Lissu. Too bad alipata majanga. When he comes tegemea an interesting law battle
 
Haibadilishi ukweli, bado ndio chuo bora Tz. Kama ni cha hiyo namba maana yake vingine viko nyuma zaidi.
Kama ulisoma hivi vyuo vingine hapa bongo alafu unakiponda UDSM kwa kuwa namba hiyo basi kuna tatizo kubwa sana.
 
Hao uliowataja Mbona wanafuture nzuri.
Let's talk about... He is purely academician...ndiyo maana Mara nyingi pamoja na uwaziri wake utamkuta law collection udsm main library...kuletwa kwake wizarani ni mbinu ya kuwa contain aliwowafundisha wanao ichachafya Gvt eg Lissu. Too bad alipata majanga. When he comes tegemea an interesting law battle
Kweli nakubaliana na wewe ila mkuu. Ila mi naamini udSM ni mtambo wa kuzalisha vilaza na mafisadi.

Kwanini vilaza. Wakati nipo bank kubwa sana hapo Tanzania, kuna vijana kadhaa walikuja kufanya usaili pale offisini lakini mkuu huwezi amini, ni weupe peee. Kila swali walijibu OP mkuu niliumia sana.

Tatizo elimu yetu imebakwa na wanasiasa

Musiba ni Msiba!
 
Hahahahahahaha wanaJf bhana, kwahiyo UDSM products zake ni zero kabisa kwa taifa hili?
 
Kama hamna ya kujadili mkalale.... Mnaoiponda udsm inaonekana mlikuwa mnaitamani sana ila hamkuweza kupata nafasi....... Taja chuo bora apa tz ukiacha UDSM
 
Back
Top Bottom