hahahah vijana hongereni mnanikumbusha mbalii saana...nakumbuka sana mazingira yale ya yombo,,kugombania shuttle kwenda bibo,,foleni ya ubungo,,yale mapindi hadi usiku kule theatre 1&2,,ulee msosi kiduchuu wa cafeteria,,ule usingizi mzito mle mjengoni (library) lilee joto kali la bibo...vile vyoo vichafu vya campus duuh na.mengine mengii kama cozwek,,ue,,kutoa copy madesa....kuushiwaa helaa kabla bum lingne halijatoka...yale makeleelee ya njaaaaaaaa hall2 na 5,,block c,,d,,na e
all in all najivunia kupita na kufaulu katika chuo kikuu cha dar es salaam na mungu akijalia nitarudi kwa ajili ya masters
karibuni kitaa sasa kwenye real life!!acha yale mliokua mnaigiza enzi za boom!!
Huku ni akili kumkichwaa!!utavuna ulichopanda...
Jengeni fikra katika kujiajiri zaidi na sio kuajiriwa...
Wale wa sept conf mjipange angalau muungane na wenzenu kuvaa majoho pale mlimani city huku mkipiga vipicha picha na kuweka mitandaoni daah
kuvaa yake joho asikwambie mtu...kuna raha yake hasa ukikumbuka zile changamoto za kozwek,,ue,,na ma lecturer wasio na huruma
binafsi sitoisahau kozi moja inaitwa remote sensing chini ya jamaa mmoja mtata sana anaitwa dokta willium phd ..ilkua ni balaa enzi zilee...
Karibuni saana kitaaa....