Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,791
Kalewa viroba huyo.
Nyie hamjamsoma jamaa anammcopy lowassa
Kalewa viroba huyo.
Ni kweli kabisa maisha ya Ud ni changamotoo yan ukitka pale na 2nd upper we mtabee, but all in all tushakaribia kitaaaHahahah vijana Hongereni Mnanikumbusha mbalii saana...Nakumbuka sana Mazingira yale ya Yombo,,kugombania shuttle kwenda bibo,,foleni ya ubungo,,Yale mapindi hadi usiku kule Theatre 1&2,,ulee msosi kiduchuu wa cafeteria,,ule usingizi mzito mle mjengoni (library) lilee joto kali la Bibo...vile vyoo vichafu vya Campus duuh na.mengine mengii kama Cozwek,,Ue,,kutoa copy madesa....kuushiwaa helaa kabla bum lingne halijatoka...yale makeleelee ya NJAAAAAAAA hall2 na 5,,block c,,d,,na e
All in all najivunia kupita na kufaulu Katika chuo kikuu cha dar es salaam na Mungu akijalia nitarudi kwa ajili ya Masters
karibuni Kitaa sasa kwenye Real life!!Acha yale mliokua mnaigiza enzi za boom!!
Huku ni akili kumkichwaa!!utavuna ulichopanda...
Jengeni fikra katika Kujiajiri zaidi na sio kuajiriwa...
Wale wa Sept conf mjipange angalau muungane na wenzenu kuvaa Majoho pale Mlimani city huku mkipiga vipicha picha na kuweka mitandaoni daah
KUVAA YAKE JOHO ASIKWAMBIE MTU...KUNA RAHA YAKE HASA UKIKUMBUKA ZILE CHANGAMOTO ZA KOZWEK,,UE,,NA MA LECTURER WASIO NA HURUMA
Binafsi sitoisahau kozi moja inaitwa REMOTE SENSING chini ya JAMAA MMOJA MTATA SANA ANAITWA DOKTA WILLIUM PHD ..ilkua ni balaa enzi zilee...
karibuni saana kitaaa....
ARIS niliyoiona leo sio ARIS ile iliyonilea na kunikuza katika GPA nzuri nimeshuudia ubakaji wa elimu.... ARIS ARIS sio mama yangu wala baba yangu..... Usipopata mabadiliko ndan ya ARIS tuyatafute UDOM....... Nimeitikia wito wa UDOM wa kujiunga nayo ili kuikomesha ARIS........ 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂watu Wana maneno
Hahahah vijana Hongereni Mnanikumbusha mbalii saana...Nakumbuka sana Mazingira yale ya Yombo,,kugombania shuttle kwenda bibo,,foleni ya ubungo,,Yale mapindi hadi usiku kule Theatre 1&2,,ulee msosi kiduchuu wa cafeteria,,ule usingizi mzito mle mjengoni (library) lilee joto kali la Bibo...vile vyoo vichafu vya Campus duuh na.mengine mengii kama Cozwek,,Ue,,kutoa copy madesa....kuushiwaa helaa kabla bum lingne halijatoka...yale makeleelee ya NJAAAAAAAA hall2 na 5,,block c,,d,,na e
All in all najivunia kupita na kufaulu Katika chuo kikuu cha dar es salaam na Mungu akijalia nitarudi kwa ajili ya Masters
karibuni Kitaa sasa kwenye Real life!!Acha yale mliokua mnaigiza enzi za boom!!
Huku ni akili kumkichwaa!!utavuna ulichopanda...
Jengeni fikra katika Kujiajiri zaidi na sio kuajiriwa...
Wale wa Sept conf mjipange angalau muungane na wenzenu kuvaa Majoho pale Mlimani city huku mkipiga vipicha picha na kuweka mitandaoni daah
KUVAA YAKE JOHO ASIKWAMBIE MTU...KUNA RAHA YAKE HASA UKIKUMBUKA ZILE CHANGAMOTO ZA KOZWEK,,UE,,NA MA LECTURER WASIO NA HURUMA
Binafsi sitoisahau kozi moja inaitwa REMOTE SENSING chini ya JAMAA MMOJA MTATA SANA ANAITWA DOKTA WILLIUM PHD ..ilkua ni balaa enzi zilee...
karibuni saana kitaaa....
mkuu unataja remote sensing nisipate ucngiz leo au ustaarabu basi ngoja nile msosi maana!!!!
Ni kweli kabisa maisha ya Ud ni changamotoo yan ukitka pale na 2nd upper we mtabee, but all in all tushakaribia kitaaa
Ahahahahah kaka ile kitu...hapana chezeaa weka mbali na watoto ...
mambo kama
Electeomagnetic spectrum
Fussion and fission
stefan boltzman graph
IFOV
Quanta
Daah ile misemo ya Dokta wilium sasa You guys ur not serious dont rely on.these skeletons I display here...
Read more books daah...hahahaha

kwa wale wa Udsm kitu kimetema, kwa wale wa september comference mpeane updates za tarehe za vikao mapema...
Jamani Cohu watoee,niangalie possibility za kuvaa johoo , maana n sheeeda
Mm nitulie course yangu hata iweje lazima nirud September... labda ni kuuliza nina ngap ...???
Ivi mtu unadisco hadi udom?we utakua kilaza wa first degree order.