UDSM: ARIS imetema

UDSM: ARIS imetema

Teh teh teh....GPA ya boom ipo! Dance,dance! Shake't shake't!
 
SAMAHANi KIDOGO JAMANI,
HIVI KUPATA SAPU 4 NA MAKARAI MAWILI ARIS HAKUNA MKONO WA MTU HAPA JAMANI??

TUPEANE MBINU M'BADALA KABIISA KAMA ZIPO!

Seneta mtwiz sauti ya wanaaaaaaa.....hahahahaha niaje wanaaaaa.....
TALL MNYAMA
 
Hahahah vijana Hongereni Mnanikumbusha mbalii saana...Nakumbuka sana Mazingira yale ya Yombo,,kugombania shuttle kwenda bibo,,foleni ya ubungo,,Yale mapindi hadi usiku kule Theatre 1&2,,ulee msosi kiduchuu wa cafeteria,,ule usingizi mzito mle mjengoni (library) lilee joto kali la Bibo...vile vyoo vichafu vya Campus duuh na.mengine mengii kama Cozwek,,Ue,,kutoa copy madesa....kuushiwaa helaa kabla bum lingne halijatoka...yale makeleelee ya NJAAAAAAAA hall2 na 5,,block c,,d,,na e
All in all najivunia kupita na kufaulu Katika chuo kikuu cha dar es salaam na Mungu akijalia nitarudi kwa ajili ya Masters

karibuni Kitaa sasa kwenye Real life!!Acha yale mliokua mnaigiza enzi za boom!!
Huku ni akili kumkichwaa!!utavuna ulichopanda...
Jengeni fikra katika Kujiajiri zaidi na sio kuajiriwa...
Wale wa Sept conf mjipange angalau muungane na wenzenu kuvaa Majoho pale Mlimani city huku mkipiga vipicha picha na kuweka mitandaoni daah
KUVAA YAKE JOHO ASIKWAMBIE MTU...KUNA RAHA YAKE HASA UKIKUMBUKA ZILE CHANGAMOTO ZA KOZWEK,,UE,,NA MA LECTURER WASIO NA HURUMA

Binafsi sitoisahau kozi moja inaitwa REMOTE SENSING chini ya JAMAA MMOJA MTATA SANA ANAITWA DOKTA WILLIUM PHD ..ilkua ni balaa enzi zilee...

karibuni saana kitaaa....

Ha haaa mkuu alikukamata nin? ? Maana jamaa alidaka weng sana wale wa mwaka 2014
 
SAMAHANi KIDOGO JAMANI,
HIVI KUPATA SAPU 4 NA MAKARAI MAWILI ARIS HAKUNA MKONO WA MTU HAPA JAMANI??

TUPEANE MBINU M'BADALA KABIISA KAMA ZIPO!


hivi kwel ulikua chuo unasoma au unacheza.......sapu 4 na makalai mawili duhhhhhhhh
 
Teh teh teh....GPA ya boom ipo! Dance,dance! Shake't shake't!

G. P. A ya boom ni ipi iyo 2.0 au? Na ukipata g. P. A kubwa kuanzia 4+ vp boom linaongezeka?
 
Back
Top Bottom