herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 2,305
- 3,996
🤣🤣🤣n kitambo sana yani nakumezea mate,Tunajifanyisha tu mkuu sisi wa kiume
Potelea mbali naomba unithibitishie mebado cjakubali
🤣🤣🤣n kitambo sana yani nakumezea mate,Tunajifanyisha tu mkuu sisi wa kiume
Na mie nakupenda ww🌝🌝BULL SHIIIT !!!
Fu*k ......
MWAMBIE KUWA UNAMPENDA !!!
ova !!
Asee🤣🤣🤣🤣Mod wakat wakutongoza mademu zao...
Wanawambiaga ivi..
Anatumia kwanza ID nyingine..alafu inakua ivi.
Mambooo vipi...blah blaaa blahaaa
Then hatua ya pili.... Ivi unajua Mimi ni mod ??.
Demu ,uongoo..
Mod.... Chagua nani nmpe BAN saizi
Kweli mwanangu...
Kademu kanachaguaa, Nakweli unapigwa BAN
Au anaweza kuamua kufuta nyuzi weee
Mpaka dem akakubali[emoji23]
Basi Mademu walivyo "anajisikiaa rahaaaaaa " kua namtu ambaye,akitaka amwambie, futa uzi fulan, anafuta[emoji23]
MODS msinipige BAN wakuu, nyie kuleni ,kila mbuzi hula sawasasa na urefu wa kamba yake. Kuleni wakuuu.
Maisha yenyewe ndo haya!...
Hata sisi Huku ,,, haturuhusiw lkn unafanyaje sasa , TOTO hiloo jeupeee ,paja pajaa, unoo unoo,kalio kalioo, sura suraaa. Umehudumia,, limerudi kukushukuru
Ndugu, tukiweka unafiki pemben..hata kama niwewe, UTAKULA.
I feel you hommieHehehehehh winners never quit
If you know what i mean [emoji846]
Nikimkamata mmoja anafanya huo ufukunyuku nitarara naye mbereeSifahamu aisee.
Yaan kila sehemu tabu tu hakuna kuhemaeh mbona sasa mmeweka avatar za kike si mtawachaganya watu😂😂😂😂😂
Kuna demu nlimtumia ujumbe dm ukafutwa 10 sec later!! Nkajarb tena nkakuta sms zimepotlea hewani [emoji3] mod kafa kaoza humo
Mdada hiyo kwiyooosi ni mdada huyu au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwamba tena?
Kuna wake za watu humu, hakuna alie singo. Endelea kumpigia mgast tu kuiridhisha nafsi huyo unayeamini ni mdada.Habari wana MMU je ni fanyaje kuna mdada humu ananivutia sema naogopa kumwambia naombeni ushauri wenu
StukaKumbe mods wanaweza kusoma hata messages zetu miaka yote hii hata sijuagi daah!
Niupdate n mm bhasii.. Nawavizia mliman paleMtag nikupe technique za kinyamwezi, amini kwamba hatochomoa.
😂😂😂😂😂😂mbona kuna mabinti humu sio wote wa mamaKuna wake za watu humu, hakuna alie singo. Endelea kumpigia mgast tu kuiridhisha nafsi huyo unayeamini ni mdada.
poa mkuu na ku pm huyo mdadaAina ya tongozo inategemea na Mwanamke mwenyewe.
Sasa natakiwa nimjue kwanza ni yupi?
kumbe ni mwamba😂😂😂😂😂😂😂🙌Mdada hiyo kwiyooo
msiweke avatar za kike basi😂😂😂😂😂😂😂😂Yaan kila sehemu tabu tu hakuna kuhema
ngoja ni mwambie sema uzi huu bado ajasoma😁😁😁😁BULL SHIIIT !!!
Fu*k ......
MWAMBIE KUWA UNAMPENDA !!!
ova !!
sawa mkuu ngoja nifunguke lengo ni litaka aone uzi huu😁😁😁Kutongoza ni haki yako ,usiwaze kuwa utajibiwa nini ,wewe sema ukikubaliwa unashukuru,ukikataliwa unashukuru pia
sawa sawa😊😊😊😊😊Na mie nakupenda ww🌝🌝
sawa nipe mbinu afu nasikia wew ni me 😁😁😁😁😁 kuna ukweliHebu tumalize hili la udomo zege kwanza