Digging deeper
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 787
- 512
Habari wana MMU je ni fanyaje kuna mdada humu ananivutia sema naogopa kumwambia naombeni ushauri wenu
Una uhakika ni mdada?
Manake humu JF kuna mdada mmoja tu
anaonekana kwa comment zake tu ni mdada fulani hivi mchangamfuUna uhakika ni mdada?
Manake humu JF kuna mdada mmoja tu
Nae ni mim tu 😂😂😂😂Una uhakika ni mdada?
Manake humu JF kuna mdada mmoja tu
😂😂😂😂Una uhakika ni mdada?
Manake humu JF kuna mdada mmoja tu
😂😂😂😂😂😂😂 Mungu anakuona ujue!!!
Kila la herianaonekana kwa comment zake tu ni mdada fulani hivi mchangamfu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una uhakika ni mdada?
Manake humu JF kuna mdada mmoja tu
HapanaNae ni mim tu 😂😂😂😂
Kuna demu nlimtumia ujumbe dm ukafutwa 10 sec later!! Nkajarb tena nkakuta sms zimepotlea hewani [emoji3] mod kafa kaoza humoUkute mdada unayemtaka ni demu wa mod..jaribu kumtag alafu ndy utajua hujui
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂 kabisaHapana
Wewe tulishakubaliana ni kidume 🤣
Yule tuliyekubaliana ni mdada pekee humu sio member wa kawaida,ni mod 😁😂😂😂😂 kabisa
🤣🤣Unatafuta ban ya mileleKuna demu nlimtumia ujumbe dm ukafutwa 10 sec later!! Nkajarb tena nkakuta sms zimepotlea hewani [emoji3] mod kafa kaoza humo
Kwahiyo Joanah ni msela sio [emoji23][emoji23][emoji23]Nae ni mim tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengine tuna ndevu nyingiYule tuliyekubaliana ni mdada pekee humu sio member wa kawaida,ni mod 😁