Udomo zege unanisumbua

Udomo zege unanisumbua

Ukiona hivyo huyo mwanamke hujampenda sana, ukimpenda vilivyo mbona nafsi itakusukuma ukatoe ya moyoni!!

Pamoja na ukimya wangu na asili ya kuongea kwa shida, linapofikia suala la kutongoza mwanamke niliyevutika naye huniambii kitu, nitajitahidi nimwambie hata kwa kutumia uninja.
 
Asa we njoo PM halafu utume na ya kutolea utajua hujui [emoji23]
Hivi unajua , masela tunadata na profile picture kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa dah , umeshaharibu mental picture [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni DM jina lake then nitakwambia nini cha kufanya šŸ˜Ž
 
Huu uzi ungeandikwa na mdada ningeona kawaida maana sisi tunakufaga na maumivu moyoni hatusemagi
 
Mod wakat wakutongoza mademu zao...


Wanawambiaga ivi..

Anatumia kwanza ID nyingine..alafu inakua ivi.



Mambooo vipi...blah blaaa blahaaa


Then hatua ya pili.... Ivi unajua Mimi ni mod ??.


Demu ,uongoo..


Mod.... Chagua nani nmpe BAN saizi


Kweli mwanangu...

Kademu kanachaguaa, Nakweli unapigwa BAN


Au anaweza kuamua kufuta nyuzi weee

Mpaka dem akakubali[emoji23]


Basi Mademu walivyo "anajisikiaa rahaaaaaa " kua namtu ambaye,akitaka amwambie, futa uzi fulan, anafuta[emoji23]




MODS msinipige BAN wakuu, nyie kuleni ,kila mbuzi hula sawasasa na urefu wa kamba yake. Kuleni wakuuu.


Maisha yenyewe ndo haya!...

Hata sisi Huku ,,, haturuhusiw lkn unafanyaje sasa , TOTO hiloo jeupeee ,paja pajaa, unoo unoo,kalio kalioo, sura suraaa. Umehudumia,, limerudi kukushukuru



Ndugu, tukiweka unafiki pemben..hata kama niwewe, UTAKULA.
hahahahahahahahh kumbe ndo yanayowakuta baadhi ya mabaharia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom