Udomo zege unanisumbua

Udomo zege unanisumbua

Habari wana MMU je ni fanyaje kuna mdada humu ananivutia sema naogopa kumwambia naombeni ushauri wenu
Ni udomo zege au uandishi zege.

Unataka kuniambia kuwa utaongea naye au utamwandikia ujumbe


Jipu chapu kabla sijalala
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Pole sana, unaogopa hata vivuli vya wadada, technologia imerahisisha mambo cku hz kazi kupata mawasiliano tu, sasa kama ww unaogopa hata mtu ambaye hakuoni utasaidiwa vp kaka
mkuu shida ni pm kufunga ataki kujibu sio kama na ogopa lengo la uzi ni kwamba ajue mkuu
 
Unaitaje sasa domo zege

Badirisha sasa Uzi wako usisomeke domo zege

Ni uandishi zege

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mkuu😂😂😂😂😂😂haita leta maana hivyo nazani itakuwa simple kueleweka nikiandika domo zege
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom