asante mkuu😊😊😊Kila la kheri...
Shauri yako, hakuna mwanamke alie singo huku narudia tena na tena.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona kuna mabinti humu sio wote wa mama
kweli mkuu ngoja nifungukeKichwa cha chin hiki kikiwa kinataka jambo lake huo udomo zege utatoweka wenyew
Sawa mkuu😂😂😂😂😂Shauri yako, hakuna mwanamke alie singo huku narudia tena na tena.