Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

Status
Not open for further replies.
Muislam ni yupi sasa maana syria wauaji, iran, irak, libya afganistan ni damu tu, we hapo ni hao hao
Ile vita ya kidini au siasa !? Huoni wafadhili wa hivyo vita ni makafiri (urusi na marekali) !? .....sasa unauliza nini ?
Its all about gas, oil and political power.
 
Hajui alisemalo, au anataka tu kufurahisha genge
Qur'an si moja duniani na zinatofautiana katika contents. Kuna aina 20 za Qur'an zenye maandishi yanayopingana.

MFANO: wa kwanza wa contradiction ya uislam ni katika uumbaji, upo mstari unaosema allah aliumba mbingu na ardhi kwa siku 6 tu na nyingine inasema alimaliza uumbaji wa mbingu na ardhi ndani ya siku 8, na ukitaka nikuwekee hizo sura nakuwekea hapa.

Ukitaka kujua tofauti ya Qur'an zinazotumika katika nchi mbalimbali, mfano ya Egypt na Central Africa basi soma katika mjadala ufuatao, ambao ni wa wanazuoni kabisa wa kiislam na kikristo.

Answering Islam, A Christian-Muslim Dialog and Apologetic

Version ya biblia inayopendwa sana ni KJV kwakuwa ina kingereza chepesi, Biblia zingine zina kiingereza kigumu lakini ni ile ile. Najaribu kukuelewa.
Sasa mbona wakatoliki wana Biblia ya Vitabu 73 (biblia ni mkusanyiko wa vitabu yaani library) wakati wengine wana vitabu 66, hali wengine agano la kale wametoa (vitabu vya mitume) na wakabaki na barua za Paulo tu na maandishi ya wanafunzi wake. Umoja wa biblia hapo upo wapi ?
Mwisho, naomba unipe tofauti ya Qur'an ya Senegal na ile ya London, ili tuthibitishe kuwa Qur'an si moja ! Azarel
 
Dunia waislam wasingekuwepo kusingalikuwa na umwagaji damu
Kati ya wayahudi na manaswara (wazungu) nani anamshinda mwenziwe !? Unajua vita ya kwanza na pili ya Dunia (wazungu) Makafiri walisababisha mauaji ya watu wa ngapi !? Ugomvi wa kugombea utajiri wa dunia. Mussolin na Stalin waliua watu wangapi ?!.....wauzaji wakubwa wa silaha na war mongers wote si waislaam !
 
Qur'an si moja duniani na zinatofautiana katika contents. Kuna aina 20 za Qur'an zenye maandishi yanayopingana.

MFANO: wa kwanza wa contradiction ya uislam ni katika uumbaji, upo mstari unaosema allah aliumba mbingu na ardhi kwa siku 6 tu na nyingine inasema alimaliza uumbaji wa mbingu na ardhi ndani ya siku 8, na ukitaka nikuwekee hizo sura nakuwekea hapa.

Ukitaka kujua tofauti ya Qur'an zinazotumika katika nchi mbalimbali, mfano ya Egypt na Central Africa basi soma katika mjadala ufuatao, ambao ni wa wanazuoni kabisa wa kiislam na kikristo.

Answering-islam.org

Weka ayat ! Ya kiarabu original writings na tafsiri yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii siredi ni upuuzi mtupu..! Ulisikia wapi mtu aliyepata kazi amewaita watu wa dini yake kula nao mshahara wake..?! Hakuna..! Unajua kwanini..?! Kwa sababu kila mtu anajali tumbo lake..! Hizo issue za udini zinaletwa na watu muflis kabisa..! Hasa wale wasio na kazi wanaokaa vijiweni na kupenda kulalamika shida zao kwa watu hata wasiohusika..!!

Kila mtu apambane na hali yake..! Kama huna kazi beba hata takataka, ila acha upuuzi wa kulalamika kwa ujinga wako mwenyewe..!

Kuna watu wajinga hupenda kubeba mambo juujuu bila ya kuchambua, hao ndo mwisho wa siku wanasambaza huu upuuzi..! Ambao unaweza kuleta madhara ya mpaka watu kuuana..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata interviews za TEUZI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapo wachache

May Allah bless Me and You
Ndiyo maana nikakuambia baada ya pale kwenye uchache katika interviews, urudi nyuma kidogo. Hapo utapata hata jibu la teuzi! Hata hivyo, kwa nini usubiri kuteuliwa? Kwa nini usijivunie ulicho nacho kitakachokufanya upambanishwe na wengine?
 
Weka ayat ! Ya kiarabu original writings na tafsiri yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uvivu wewe...ingia uone intellectuals wa kiislam wakikubali tofauti hizo...

Si mara moja nimeshaweka hapa mara nyingi hizo Sura...kwanini usijiongezw kuprove kabisa na sio kukataa tu?
 
Acha uvivu wewe...ingia uone intellectuals wa kiislam wakikubali tofauti hizo...

Si mara moja nimeshaweka hapa mara nyingi hizo Sura...kwanini usijiongezw kuprove kabisa na sio kukataa tu?
Huna na umekwama kwa uzushi !
 
Huna na umekwama kwa uzushi !
Nyie tunawajua huwa ni wabishi hata kwa msilolijua na wengi hampendi kutumia logic.

Qur'an katika hizi:

Sura 7:54, 10:3, 11:7 na 25:59 zinathibitisha kuwa allah aliumba Mbingu na Ardhi kwa muda wa siku 8.

LAKINI PIA,

(Qaaf 50:38) Qur'an inabainisha kuwa Mbingu na ardhi ziliumbwa kwa siku 6.

Inasema hivii

"And indeed we created the heaven and earth and all between them in six days and nothing of fatique touched us"

Sasa unachobisha ni nini wakati hiyo ni contradiction ya wazi?

Unataka nikuwekee contradictions zingine?

kama umekimbia umande unalialia nin???

Nilishwahi kuwaambia ndugu zangu waislamu, madrasa haitakupeleka popote si duniani na wala sio huko walipoaminishwa.

Life will end here and new life will be formed.

Kuja hapa duniani ni bahati tu kama mchezo wa kurusha dice.

Ulishajiuliza out of millions of sperms ila kamoja tu ndio kamekuleta wewe duniani au na pacha wako(identical twins).

Unapowaambia watu kwamba mtoto mdogo akifa basi ana tiketi ya moja kwa moja ya kwenda peponi hamuoni kwamba ni sawa na kuwaambia watu kwamba they will do favour to their kids if they kill them.

Dini ni ujinga tu unaotufanya tulimit how we think.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chuki haijifichi hata ujifanye una busara vp?zama hizo za waislamu wa madrasa zilishakwisha.sasa hv wako ktk shule nyingi na vyuoni na wengine ni graduates.badili mtazamo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi no kwa nn waislam wakiteulia hats WA 5 tu kwenye tasisi za kiserkali alafu yule mkuu WA ile tasisi awe muislam. Malalamiko huwa in mdini sana

Kabisa nchi hii kama tunataka usawa kabisa mbona waislam wapo nyuma sana kiajira ?

Tukianzia kwenye office za wizara. Tasisi Kubwa Kubwa za srekali utaona waislam in wachache sana. Lakini huezi on a waislam wanalalamika sana kama Hawa ndugu zetu wacristo
Hali mbaya sana kwa waislamu. Hii toka enzi hizo

Tuendako sipo
 
Nyie tunawajua huwa ni wabishi hata kwa msilolijua na wengi hampendi kutumia logic.

Qur'an katika hizi:

Sura 7:54, 10:3, 11:7 na 25:59 zinathibitisha kuwa allah aliumba Mbingu na Ardhi kwa muda wa siku 8.

LAKINI PIA,

(Qaaf 50:38) Qur'an inabainisha kuwa Mbingu na ardhi ziliumbwa kwa siku 6.

Inasema hivii

"And indeed we created the heaven and earth and all between them in six days anf nothing of fatique touched us"

Sasa unachobisha ni nini wakati hiyo ni contradiction ya wazi?

Unataka nikuwekee contradictions zingine?

ayat zote ulizotoa ni siku sita, tena zipo wazi kabisa ! Huna kiti.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom