Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,557
Qur'an 25:59 .....imemalizwa kwa Mwenyezi Mungu kuagizwa muulize mambo kwa wanaojua !ayat zote ulizotoa ni siku sita, tena zipo wazi kabisa ! Huna kiti.
Qur'an 25:59 .....imemalizwa kwa Mwenyezi Mungu kuagizwa muulize mambo kwa wanaojua !ayat zote ulizotoa ni siku sita, tena zipo wazi kabisa ! Huna kiti.
Sio kweli, soma vizuri utaona kuwa ni siku 8ayat zote ulizotoa ni siku sita, tena zipo wazi kabisa ! Huna kiti.
Hakuna kabisa katika aya zote ulizotoa 100% ! Aya ulizotoa zote zimeandika neno sita ! Prove me wrong, only write which ever written 8 !Sio kweli, soma vizuri utaona kuwa ni siku 8
Ngoja nitakuchambulia katika hizo siku 8 kuwa aliumba milima na tambarare kwa siku ngapi, maji siku ipi na miti na viumbe vingine ni siku ngapi.
Ni 4+2+2 kimantiki kabisa ni siku 8.
Usisome tu Qur'an yako kimazoea.
Nisamehe mkuu, samahani kwa kukuingilia kwenye swali lako al akhyKuna member nimemuuliza specifically, sasa wewe kihere here cha nini !?
Mkuu naomba niwekee verses number. Hiyo mijadala sijui ya masheikh na mapadri achana nayo maana hao ni watu, maana inawezekana hata mimi nikawa sheikh na wewe ukawa padri. Niletee verses hapa nkachimbe mkuu tena hususan hiyo inayohusu hizo contradiction za uumbaji.Qur'an si moja duniani na zinatofautiana katika contents. Kuna aina 20 za Qur'an zenye maandishi yanayopingana.
MFANO: wa kwanza wa contradiction ya uislam ni katika uumbaji, upo mstari unaosema allah aliumba mbingu na ardhi kwa siku 6 tu na nyingine inasema alimaliza uumbaji wa mbingu na ardhi ndani ya siku 8, na ukitaka nikuwekee hizo sura nakuwekea hapa.
Ukitaka kujua tofauti ya Qur'an zinazotumika katika nchi mbalimbali, mfano ya Egypt na Central Africa basi soma katika mjadala ufuatao, ambao ni wa wanazuoni kabisa wa kiislam na kikristo.
Answering Islam, A Christian-Muslim Dialog and Apologetic
Mzinifu akiziniwa huwa hapatoshiHivi no kwa nn waislam wakiteulia hats WA 5 tu kwenye tasisi za kiserkali alafu yule mkuu WA ile tasisi awe muislam. Malalamiko huwa in mdini sana
Kabisa nchi hii kama tunataka usawa kabisa mbona waislam wapo nyuma sana kiajira ?
Tukianzia kwenye office za wizara. Tasisi Kubwa Kubwa za srekali utaona waislam in wachache sana. Lakini huezi on a waislam wanalalamika sana kama Hawa ndugu zetu wacristo
Mkuu hujanipa source nakataa, umeandika tu ukitakacho mbaba. Nipe verses kutoka kwenye Qur an sio maneno.Hahaha...sio nafurahisha genge, nimekupa source ya ushahidi wa hayo niliyoyasema.
Unataka ushahidi zaidi?
Acha mawazo ya kijinga, nazan ni vyema kuangalia utendaji kazi na CV ya mtu kuliko hizo fikra potofuMh. Rais Magufuli namuomba atembelee Mamlaka ya Usimamizi wa shughuli za Bima kwa kiingereza Tanzania Insurance Regulatory Authority aone mkurugenzi mkuu aliyemteua anavyofanza teuzi ndani ya ofisi kwa misingi ya kidini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hili uliloandika hapa linahusiana vipi na mada husika? au una mengi kifuani kwako mkuu unatamani uteme maji nayo yatoke?Fikra finyu ni kuamini kwamba utakutana na nyoka kwenye kaburi lako,
Kwamba ukitembea unaswing kwenye dunia basi utaenda kuulizwa siku ya hukumu,
Fikra finyu ni kuamini kwamba mchawi au shetani ndio anakufanya usifanikiwe kwenye kazi, masomo yako na n.k.
Fikra finyu ni kuamini kwamba kumua binadamu mwenzako eti kwa sababu anamkufuru Mungu basi ni pasipoti ya kwenda peponi.
Fikra finyu ni kuamin kwamba utapewa nguvu za kiume za kuweza kuwatosheleza wanawake 100 lakini utapewa wanawake 72 tu ila wanawake hawajiulizi je wao watapewa wanaume wangapi ndio huyo mmoja au wataumbwa wanawake wengine.
Labda uniambie ni wapi nimeonyesha fikra finyu...? Ili tujadili.
Nakukaribisha kwa mjadala..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupa link ifuatilie uisome, Acha Uvivu....sawa?Mkuu hujanipa source nakataa, umeandika tu ukitakacho mbaba. Nipe verses kutoka kwenye Qur an sio maneno.
uwe unaongea kwa fact mkuu sio opinion za vijiweni tuni kwasababu ninyi ndugu yenu wa kwanza huwa ni muislam mwenzio kuliko mtu yeyote yule na jambo hilo huwa mnalifanyia kazi kivitendo. dini yenu pia inafundisha hivyo. dini zingine huwa zinafundisha mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe, lakini ninyi ni mpende muislam kwanza wengine baadaye.
sasa utasemaje umeelimika kama hata kutawadha hujui?east afrocan [emoji117] East African
Wewe hata kuandika vizuri hujui eti mlikuwa na position at EAC?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata Mudy alishakiri kuwa hajui kusoma wala kuandika ila akaomba aaminiwe tu kama mtume wa allah.
Nyie waislam Elimu sio priority kwenu...labda elimu ya kutawadha.
Vitabu n sii fact?!!!!! Acha ukichaaRejea kitabu: The world without islam.
Nenda youtube utakipata in video/audio format. Kisha rejea hapa ni hyo hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo poyoyo maana nilisema aliajiri zaid ya waislam 700 na total number ya staff ni 1194 less 700 utapata jibu ng, ombe wee[emoji23][emoji23][emoji23] mjinga kweli wewe unabishana kwa vitu usivyovijua
Yaani kwa akili yako hata kutawadha kunahitaji elimu?sasa utasemaje umeelimika kama hata kutawadha hujui?
Kafiri wa kwanza duniani ni Muhammad (S.A.W)Makafiri waambieni watu wenu wapige marufuku uislam na muitangaze Tanzania ni nchi ya kikafiri roho zenu zitulie
kwa hiyo maarifa sio elimu? mkuu kama elimu ndio iko hivyo sidhani kama una elimuYaani kwa akili yako hata kutawadha kunahitaji elimu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Suala la kutawadha ni la usafi wako binafsi na hata watoto hawahitaji kuwa na elimu ili kujua kutawadha...ni maarifa ya kawaida tu.
Azarel mkuu, naomba nikuwekee hizo verses ulizozitaja hapo kama zilivyo kutoka kwenye Qur an. Na pia kwa kutumia verse hizo naomba nikuite MUONGO kaka japo samahani kwa kukuita hivyo maana ulichojaribu kukiandika kwenye hiyo post niliyoi-quote ni uongo mtupu kaka.Nyie tunawajua huwa ni wabishi hata kwa msilolijua na wengi hampendi kutumia logic.
Qur'an katika hizi:
Sura 7:54, 10:3, 11:7 na 25:59 zinathibitisha kuwa allah aliumba Mbingu na Ardhi kwa muda wa siku 8.
LAKINI PIA,
(Qaaf 50:38) Qur'an inabainisha kuwa Mbingu na ardhi ziliumbwa kwa siku 6.
Inasema hivii
"And indeed we created the heaven and earth and all between them in six days and nothing of fatique touched us"
Sasa unachobisha ni nini wakati hiyo ni contradiction ya wazi?
Unataka nikuwekee contradictions zingine?
Mkuu tuendelee na mjadala tusipanick. Hili neno kafiri lisikutishe, halikufanyi ukawa na mapembe mkuu. ni neno tu kama maneno mengineKafiri wa kwanza duniani ni Muhammad (S.A.W)
Unahitaji kujua ukafiri wake?