Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

Status
Not open for further replies.
Wakristo lazima walalamike kwa sababu kila shule uendako ukiacha za kiislamu, waliotawala ni wakristo. Utasubiri sana ukibisha hilo. Huwa wakati mwingine natamani tutangaze na elimu za wahusika kwa kila ngazi utashangaa kila ngazi wengi wa waislamu ni wale ambao hawakuwa kupata hata namba ya 10 darasani.
Sio siri kuwa wakati wa a Kikwete mlibebwa sana kuzidi mpaka.
Aina hii ya ukristo upo Tanzania tu, huku ulikotoka ukristo mtazamo huo hakuna. Rudi kwenu mkuu Tanzania haikufai.
 
kama umekimbia umande unalialia nin???

Nilishwahi kuwaambia ndugu zangu waislamu, madrasa haitakupeleka popote si duniani na wala sio huko walipoaminishwa.

Life will end here and new life will be formed.

Kuja hapa duniani ni bahati tu kama mchezo wa kurusha dice.

Ulishajiuliza out of millions of sperms ila kamoja tu ndio kamekuleta wewe duniani au na pacha wako(identical twins).

Unapowaambia watu kwamba mtoto mdogo akifa basi ana tiketi ya moja kwa moja ya kwenda peponi hamuoni kwamba ni sawa na kuwaambia watu kwamba they will do favour to their kids if they kill them.

Dini ni ujinga tu unaotufanya tulimit how we think.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mtazamo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Tukianzia kwenye office za wizara. Tasisi Kubwa Kubwa za srekali utaona waislam in wachache sana. Lakini huezi on a waislam wanalalamika sana kama Hawa ndugu zetu wacristo
Kwa sababu ni wachache pia kwenye interviews! Labda ungeanzia hapo, halafu urudi nyuma kidogo kidogo
 
Mh. Rais Magufuli namuomba atembelee Mamlaka ya Usimamizi wa shughuli za Bima kwa kiingereza Tanzania Insurance Regulatory Authority aone mkurugenzi mkuu aliyemteua anavyofanza teuzi ndani ya ofisi kwa misingi ya kidini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Mkurugenzi was huko ni was imani gani tuone inavyokwenda.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nahisi watakuwa ni Waislam,wanataka kujazana kama ilivyokuwa NSSF wakati ule pasipo kuzingatia uwezo, uzoefu wa kazi na weledi.

Nawewe mtoa mada huwezi kunyoosha maelezo unajing'atang'ata nini hueleweki chalii.

Hivi no kwa nn waislam wakiteulia hats WA 5 tu kwenye tasisi za kiserkali alafu yule mkuu WA ile tasisi awe muislam. Malalamiko huwa in mdini sana

Kabisa nchi hii kama tunataka usawa kabisa mbona waislam wapo nyuma sana kiajira ?

Tukianzia kwenye office za wizara. Tasisi Kubwa Kubwa za srekali utaona waislam in wachache sana. Lakini huezi on a waislam wanalalamika sana kama Hawa ndugu zetu wacristo
kabla sijaanza chuo nilikuwa nasikia tu udom chuo cha kiisilamu na blah blah nyengine, nikachaguliwa huko udom, bahati nzuri wale viongozi wa waisilamu pale wana tabia ya kufanya sensa kila baada ya muda fulani, nikapata bahati ya kuziona zile data, kati ya wanafunzi around 10,000 wa social science kwa kipindi hicho waisilamu walikuwa kama 1500 tu,

same kwa NSSF nako nikasikia ni shirika la kidini kikwete amejaza waisilamu, sina data za shirika zima, ila top management na wafanyakazi wenye vyeo vikubwa ipo website ya NSSF nako hali ilikuwa tofauti,

mpaka nikawa najiuliza ni defence mechanism au ni nini? unapata faida gani kusambaza rumors kama hizi?
 
Nahisi watakuwa ni Waislam,wanataka kujazana kama ilivyokuwa NSSF wakati ule pasipo kuzingatia uwezo, uzoefu wa kazi na weledi.

Nawewe mtoa mada huwezi kunyoosha maelezo unajing'atang'ata nini hueleweki chalii.

Ni kweli. Inasimamia sekta ya Bima na inaitwa TIRA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakristo lazima walalamike kwa sababu kila shule uendako ukiacha za kiislamu, waliotawala ni wakristo. Utasubiri sana ukibisha hilo. Huwa wakati mwingine natamani tutangaze na elimu za wahusika kwa kila ngazi utashangaa kila ngazi wengi wa waislamu ni wale ambao hawakuwa kupata hata namba ya 10 darasani.
Sio siri kuwa wakati wa a Kikwete mlibebwa sana kuzidi mpaka.
hivi unafikiri ukienda shule yoyote ya mkoa wa pwani ya kata utakuta wakristo wengi?

shule zote za day nchi hiii zinakuwa na idadi ya wanafunzi kutegemea na wakazi wa eneo husika, wakiwa waisilamu shule itakuwa na waisilamu wengi wakiwa wakristi shule itakuwa na wakristo wengi.
 
Hahahahaaa bro, i salute you, hao majitu mawili yaliteka akili ndogo za dhaifu na kujifanyia walivyotaka, sasa yameanza kuwakuta, nasikia huko nssf kimenuka, baada ya kutimuliwa dau na matessa sasa ndg zao nao wameanza kuondolewa kwa kukosa sifa, jamaa waliajiri darasa la saba ilimradi ni wa dini yake au binamu, sasa kiama, duuuuu
Ndiyo wanachofanya TIRA sasa hivi. Mtu hana sifa lakini anapewa cheo ambacho hana vigezo navyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama umekimbia umande unalialia nin???

Nilishwahi kuwaambia ndugu zangu waislamu, madrasa haitakupeleka popote si duniani na wala sio huko walipoaminishwa.

Life will end here and new life will be formed.

Kuja hapa duniani ni bahati tu kama mchezo wa kurusha dice.

Ulishajiuliza out of millions of sperms ila kamoja tu ndio kamekuleta wewe duniani au na pacha wako(identical twins).

Unapowaambia watu kwamba mtoto mdogo akifa basi ana tiketi ya moja kwa moja ya kwenda peponi hamuoni kwamba ni sawa na kuwaambia watu kwamba they will do favour to their kids if they kill them.

Dini ni ujinga tu unaotufanya tulimit how we think.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu mjazane huko serekalini kwa mfumo wa vigango na jumuiya mmefanya nini? Hakuna jipya zaidi ya kudidimiza uchumi.
Mmeuwa viwanda na mmehamishia mali ya umma kwa familia zenu na matumbo yenu.

Miaka yote hii Tanzania ilipotawaliwa na mfumo kristo hakuna walichokifanya zaidi ya ufisadi.
Hiyo elimu mnayojidai nayo mlisomea na kufaulu ubaguzi,wizi na ufisadi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kabla sijaanza chuo nilikuwa nasikia tu udom chuo cha kiisilamu na blah blah nyengine, nikachaguliwa huko udom, bahati nzuri wale viongozi wa waisilamu pale wana tabia ya kufanya sensa kila baada ya muda fulani, nikapata bahati ya kuziona zile data, kati ya wanafunzi around 10,000 wa social science kwa kipindi hicho waisilamu walikuwa kama 1500 tu,

same kwa NSSF nako nikasikia ni shirika la kidini kikwete amejaza waisilamu, sina data za shirika zima, ila top management na wafanyakazi wenye vyeo vikubwa ipo website ya NSSF nako hali ilikuwa tofauti,

mpaka nikawa najiuliza ni defence mechanism au ni nini? unapata faida gani kusambaza rumors kama hizi?

nssf top management unaijua? Dau aliondoa wengi akaleta wapya na pia aliajiri waislam zaidi ya 700 hadi kukawa na over employment na kufikia kushindwa kulipana mshahara
 
Hili ni janga la kihistoria ktk nchi hii
Kwani dini ya serikali ya kikoloni ilikuwa ni ya kikristo hivyo waislamu walianza kubaguliwa tangu huko
Mtawala wa kwanza wa nchi hii alirithi hilo na aliahidi kulifuta ila ilikuwa ni siasa tu.
Na ilitengenezwa propaganda kuwa waislamu hawana elimu na si wachapakazi
Soma historia ya Prof Kigoma A.Malima ndio utajua jamaa wanavyolalamika sana waislamu wakipewa nafasi
Someni historia ya hii nchi ndipo mtapata kuaona MADUDU HAYA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba wao ndio wanaajiri au Sekretarieti ya ajira?
Mh. Rais Magufuli namuomba atembelee Mamlaka ya Usimamizi wa shughuli za Bima kwa kiingereza Tanzania Insurance Regulatory Authority aone mkurugenzi mkuu aliyemteua anavyofanza teuzi ndani ya ofisi kwa misingi ya kidini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha ujinga wewe mwehu, nssf top management unaijua? Dau aliondoa wengi akaleta wapya na pia aliajiri waislam zaidi ya 700 hadi kukawa na over employment na kufikia kushindwa kulipana mshahara
nashkuru kwa kunitukana

hii nimeitoa kwenye annual report ya mwaka 2011 muhula wa pili wa kikwete, according to you NSSF ni waisilamu ila top management nikiiangalia waisilamu hata asilimia 50 hawafiki.

ooOdf7p.png

O7tuiAG.png

OQ9fnsh.png

7gQGxyT.png

haya niambie mkuu huo udini upo wapi hapo? au hata hizo asilimia 30 au 40 hamtaki waisilamu wazipate? mnataka kila ofisi kuwe na waisilamu asilimia 10 au 5?

tuwe na huruma jamani na tuache kusingizia mambo ambayo hayapo, sababu hayatupeleki popote.

na kama una data yoyote inayoonyesha otherwise naomba uniekee hapa ili niamini na mimi unachoongea kama ni kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom