Ghulaam
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 1,862
- 1,472
Kama sheikh Adolph HitlerDunia waislam wasingekuwepo kusingalikuwa na umwagaji damu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sheikh Adolph HitlerDunia waislam wasingekuwepo kusingalikuwa na umwagaji damu
Kuna Shahada, ambayo ndiyo declaration faith ya Uislam, shahada hiyo ni kutamka maneno yafuatayo:-
Unaweza pia kusema 'La illaha ill' Allah, Issah (Yesu) rasul'llah !Kuna Shahada, ambayo ndiyo declaration faith ya Uislam, shahada hiyo ni kutamka maneno yafuatayo:-
"La illaha ill allah...Muhammadur rasuul lah"
Hapo tayari ni kukiri kumtambua allah na Muhammad
Wanakaririshwa na wanaojifanya wameisoma quran tabu inakujaHakuna kabisa katika aya zote ulizotoa 100% ! Aya ulizotoa zote zimeandika neno sita ! Prove me wrong, only write which ever written 8 !
Ikowapi screen short, maana namwita kabisa muhusika hapa AzarelWanakaririshwa na wanaojifanya wameisoma quran tabu inakuja
Kukariri tofauti na kuisoma kwa dhamira ya kuelewa nimeamua kuscreen shot zote alizoandika hakuna hata moja imeandikwa Siku nane
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo maana hiyo ni neno uislam au neno shahadaKuna Shahada, ambayo ndiyo declaration faith ya Uislam, shahada hiyo ni kutamka maneno yafuatayo:-
"La illaha ill allah...Muhammadur rasuul lah"
Hapo tayari ni kukiri kumtambua allah na Muhammad
Una uhakika nimekaririshwa na sijasoma mwenyewe qur'an ya kiswahili?Wanakaririshwa na wanaojifanya wameisoma quran tabu inakuja
Kukariri tofauti na kuisoma kwa dhamira ya kuelewa nimeamua kuscreen shot zote alizoandika hakuna hata moja imeandikwa Siku nane
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikowapi screen short, maana namwita kabisa muhusika hapa Azarel
Inawezekana kwa Mtu kuwa Muislam bila kukiri hiyo Shahada?Kwa hiyo maana hiyo ni neno uislam au neno shahada
Uislam una maana yake na shahada Ina maana yake
Je unalifahamu hili?
Unafahamu katika uislam kulla mmoja anayezaliwa ni muislam ndai ya uislam labda aamue mwenyewe kuritadi???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa namna ulivyodanganya utagundua nani amekurupukaUna uhakika nimekaririshwa na sijasoma mwenyewe qur'an ya kiswahili?
Au umekurupuka kuongea usicho na uhakika nacho?
Ulitoa maana ya neno shahada au maana ya neno uislam??Inawezekana kwa Mtu kuwa Muislam bila kukiri hiyo Shahada?
Yaani kukiri kumwamini Allah na Muhammad (S.A.W) ?
Jus a simple qn as that.
Shukran jazirah, Azarel aya zako ndo hizo na siku nane (8) hamna !![]()
![]()
![]()
Hii katika tafsir ya sheikh Muhsin Al barwan ambayo ni moja ya tafsri ya quran yenye kutumikwa Afrika mashariki ikiwemo ya sheikh farsy
Sent using Jamii Forums mobile app
Waan'anta kadhaalika AkhiyShukran jazirah, Azarel aya zako ndo hizo na siku nane (8) hamna !
Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
Acha ubishi ndugu, .....hiki ni Kitabu (Qur'an) kisicho na shaka ndani yake na ni mwongozo kwa wachamungu.Una uhakika nimekaririshwa na sijasoma mwenyewe qur'an ya kiswahili?
Au umekurupuka kuongea usicho na uhakika nacho?
This is a dialogue...Jibu swali ndipo uulize swali.
Kwani ulishajibu kuhusu maana ya kile ulichokiandikaThis is a dialogue...Jibu swali ndipo uulize swali.
Thats the principle if dialogue
Mtu anaweza kuwa muislam pasipo kumkiri Allah na Mtume wake?
Nimemuuliza huyo Muumi'nin mwenzio...!Acha ubishi ndugu, .....hiki ni Kitabu (Qur'an) kisicho na shaka ndani yake na ni mwongozo kwa wachamungu.
Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
Sasa ungeelewesha hivi kungekuwa na tatizo gani?Kwani ulishajibu kuhusu maana ya kile ulichokiandika
Pale juuu kuzaliwa ktk uislam tayari umuislam labda uritadi baada ya baleghe hapa utahesabiwa si muislam
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka aya zako tuzione tofauti na hizo screen shortNimemuuliza huyo Muumi'nin mwenzio...!
Ana uhakika nimekaririshwa na si nimesoma mwenyewe hayo niliyoyaandika?
Nimeshasema nitaziweka zote hasa zinazopingana katika case ya uumbaji, nimezicopy kwa kalamu somewhere...I promise kuwatag kesho hapa.Weka aya zako tuzione tofauti na hizo screen short