Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

Status
Not open for further replies.
NINASEMA TENA KUWA:

Qur'an sio Moja duniani

Nimeshalieleza sana hilo pamoja na kutoa ushahidi hapahapa.

Biblia ndio MOJA PEKEE ambayo imetafsiriwa katika lugha mbalimbali ili iweze kueleweka kote ulimwenguni.

Biblia inayotumiwa na watu wengi zaidi duniani ni Version ya "King James" kwakuwa ina kiingereza chepesi.

Biblia haina utofauti wa contents kama ilivyo Qur'an.

Qur'an inayotumika Spain si sawa na ile ya Senegal

Qur'an inayotumika Egypt si sawa na ya Central Africa

Qur'an ya Waislam wa London si sawa na ile ya waislam wa Sudan.

Halafu hivi unajua ni nani aliyeprint Quran ya kwanza iliyotafsiriwa?

Unataka Ushahidi zaidi kuwa QUR'AN sio moja na zinatofautiana kwa contents (yaliyomo)
Version ya biblia inayopendwa sana ni KJV kwakuwa ina kingereza chepesi, Biblia zingine zina kiingereza kigumu lakini ni ile ile. Najaribu kukuelewa.
Sasa mbona wakatoliki wana Biblia ya Vitabu 73 (biblia ni mkusanyiko wa vitabu yaani library) wakati wengine wana vitabu 66, hali wengine agano la kale wametoa (vitabu vya mitume) na wakabaki na barua za Paulo tu na maandishi ya wanafunzi wake. Umoja wa biblia hapo upo wapi ?
Mwisho, naomba unipe tofauti ya Qur'an ya Senegal na ile ya London, ili tuthibitishe kuwa Qur'an si moja ! Azarel
 
kama umekimbia umande unalialia nin???

Nilishwahi kuwaambia ndugu zangu waislamu, madrasa haitakupeleka popote si duniani na wala sio huko walipoaminishwa.

Life will end here and new life will be formed.

Kuja hapa duniani ni bahati tu kama mchezo wa kurusha dice.

Ulishajiuliza out of millions of sperms ila kamoja tu ndio kamekuleta wewe duniani au na pacha wako(identical twins).

Unapowaambia watu kwamba mtoto mdogo akifa basi ana tiketi ya moja kwa moja ya kwenda peponi hamuoni kwamba ni sawa na kuwaambia watu kwamba they will do favour to their kids if they kill them.

Dini ni ujinga tu unaotufanya tulimit how we think.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni mtazamo wako, uzuri ni kwamba kila mmoja ameruhusiwa kuwa na mtazamo wake, uwe wa kipumbavu au werevu.
 
Version ya biblia inayopendwa sana ni KJV kwakuwa ina kingereza chepesi, Biblia zingine zina kiingereza kigumu lakini ni ile ile. Najaribu kukuelewa.
Sasa mbona wakatoliki wana Biblia ya Vitabu 73 (biblia ni mkusanyiko wa vitabu yaani library) wakati wengine wana vitabu 66, hali wengine agano la kale wametoa (vitabu vya mitume) na wakabaki na barua za Paulo tu na maandishi ya wanafunzi wake. Umoja wa biblia hapo upo wapi ?
Mwisho, naomba unipe tofauti ya Qur'an ya Senegal na ile ya London, ili tuthibitishe kuwa Qur'an si moja ! Azarel
Hajui alisemalo, au anataka tu kufurahisha genge
 
same kwa NSSF nako nikasikia ni shirika la kidini kikwete amejaza waisilamu, sina data za shirika zima, ila top management na wafanyakazi wenye vyeo vikubwa ipo website ya NSSF nako hali ilikuwa tofauti

Zile top management za NSSF Ramadhan Dau alikuwa akiziweka vile kwa makusudi-Ili kuficha udini wake
 
Unajua Bandiwe wewe huo uislam wako unashangaza sana.

Unajua maana ya UISLAM?

Kuslim ni kukiri kwamba yupo Mungu mmoja aliyeumba mbingu na nchi ambaye hakuzaliwa wala hakuzaa

Pia kumkiri mtume Muhammad (S.A.W) kuwa mtume pekee wa mwisho wa Allah katika dunia.

Ukisema Adam alikuwa Muislam, Je yeye alikiri vipi kuwa Mtume Muhammad ndiye mtume pekee wa mwisho aliyetumwa ilihal Muhammad wala Qur'an hazikuwepo wakati huo wa Adam?

Yaani vitu vidooogo sana vinakukamata weye.

Wabillah Tawfiq,
Na hakuwa Muhammad ila ni Mtume tu. Na wamepita kabla yake Mitume wengi.
Qur'an: 3:144.

Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyoteremshiwa (Qur'an) na yale yaliyoteremshwa kwa Ibrahim, Ismail, Is'haq, Yaquub na kizazi chake, na aliyopewa Musa na Yesu na pia yale waliyopewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao. Hatutofautishi baina yao yeyote katika hao. Na sisi (Waislaam) tumenyenyekea kwake (Mwenyezi Mungu)
Qur'an: 2:136.
 
Wakristo lazima walalamike kwa sababu kila shule uendako ukiacha za kiislamu, waliotawala ni wakristo. Utasubiri sana ukibisha hilo. Huwa wakati mwingine natamani tutangaze na elimu za wahusika kwa kila ngazi utashangaa kila ngazi wengi wa waislamu ni wale ambao hawakuwa kupata hata namba ya 10 darasani.
Sio siri kuwa wakati wa a Kikwete mlibebwa sana kuzidi mpaka.

Kwaiyo watu wote waloajiriwa enzi za kikwete waislam walikua hawakwenda shule walipewa to nafasi?!!!
 
Version ya biblia inayopendwa sana ni KJV kwakuwa ina kingereza chepesi, Biblia zingine zina kiingereza kigumu lakini ni ile ile. Najaribu kukuelewa.
Sasa mbona wakatoliki wana Biblia ya Vitabu 73 (biblia ni mkusanyiko wa vitabu yaani library) wakati wengine wana vitabu 66, hali wengine agano la kale wametoa (vitabu vya mitume) na wakabaki na barua za Paulo tu na maandishi ya wanafunzi wake. Umoja wa biblia hapo upo wapi ?
Mwisho, naomba unipe tofauti ya Qur'an ya Senegal na ile ya London, ili tuthibitishe kuwa Qur'an si moja ! Azarel
Hili swali lako la mwisho likijibiwa naomba uni-tag, I need to know hiyo tofauti ya Qur an ya senegal na ya london
 
Ohoooo, my god, kumbe waislam wanatakiwa wawekwe kundi maalum ktk ajira kwa kuwa wako nyuma!!!!!!!! Kumbe ndo maana waliajiri std seven, ona madhara yake sasa wote waloajiriwa 2004 todate amri imetoka waondolewe na wengi kati yao niwaislam, du du patamu hapo chachaaaa

Hao std7 uliona hata majina yao [emoji23][emoji23][emoji23] asilimia 70 ni kina John usikurupuke
 
Soma historia ya Prof Kigoma A.Malima ndio utajua jamaa wanavyolalamika sana waislamu wakipewa nafasi

Kigoma Malima alikuwa mdini ndio, na ukiwa mdini lazima unyoshewe kidole
Pamoja na yote yale Mola amuweke mahali pema
 
haya niambie mkuu huo udini upo wapi hapo? au hata hizo asilimia 30 au 40 hamtaki waisilamu wazipate? mnataka kila ofisi kuwe na waisilamu asilimia 10 au 5?

Muzipate kwa haki na si kwa kubebwa
 
Fikra finyu ni kuamini kwamba utakutana na nyoka kwenye kaburi lako,
Kwamba ukitembea unaswing kwenye dunia basi utaenda kuulizwa siku ya hukumu,
Fikra finyu ni kuamini kwamba mchawi au shetani ndio anakufanya usifanikiwe kwenye kazi, masomo yako na n.k.
Fikra finyu ni kuamini kwamba kumua binadamu mwenzako eti kwa sababu anamkufuru Mungu basi ni pasipoti ya kwenda peponi.
Labda uniambie ni wapi nimeonyasha fikra finyu...? Ili tujadili.

Nakukaribisha kwa mjadala..

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hata hayo unayomuuliza ni mtu mwenye fikra finyu tu ndio anaweza kuuliza hivyo kwasababu ya ufinyu wake wa akili, kama mwalimu wako ungemsikiliza vizur tu basi usingehitaji kujua maana ya nyoka kwenye kaburi na hayo mengine uliyoyauliza.
 
So waislam 700 ni asilimia ngapi ya nssf?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I'm sure haizidi 20 so roho imekuuma asilima 20 waislam kuajiriwa na wakristo kua asilimia 80?!!!!
Staff 1100-700=400
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom