Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

Status
Not open for further replies.
Mh. Rais Magufuli namuomba atembelee Mamlaka ya Usimamizi wa shughuli za Bima kwa kiingereza Tanzania Insurance Regulatory Authority aone mkurugenzi mkuu aliyemteua anavyofanza teuzi ndani ya ofisi kwa misingi ya kidini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Swali tu. Kwanini JF ina cheap minds kiasi hiki. Sio wewe tu. Ni wengi. Lazima Walete majungu fulani Hivi na ndo hupata wengi. Are we that cheap.
 
Waislaam wote, pamoja na Adam AS wanasilimu na kunyenyekea kwa Allah SWT.
Unajua Bandiwe wewe huo uislam wako unashangaza sana.

Unajua maana ya UISLAM?

Kuslim ni kukiri kwamba yupo Mungu mmoja aliyeumba mbingu na nchi ambaye hakuzaliwa wala hakuzaa

Pia kumkiri mtume Muhammad (S.A.W) kuwa mtume pekee wa mwisho wa Allah katika dunia.

Ukisema Adam alikuwa Muislam, Je yeye alikiri vipi kuwa Mtume Muhammad ndiye mtume pekee wa mwisho aliyetumwa ilihal Muhammad wala Qur'an hazikuwepo wakati huo wa Adam?

Yaani vitu vidooogo sana vinakukamata weye.

Wabillah Tawfiq,
 
Adam A.S !
Ndio maana sikutaka kubishana wewe unatumia Imani kujibu, Ila kiuhalisia unajua kabla ya ujio wa Waarabu hakukua na kitu kinachoitwa Uislamu na ushahidi mdogo ni kuenea kwa Dini hii ukanda wa pwani ya EA na baadhi ya sehemu za bara walizopita na hivyo hivyo kwa Wamisionari na Ukristo
 
Swali tu. Kwanini JF ina cheap minds kiasi hiki. Sio wewe tu. Ni wengi. Lazima Walete majungu fulani Hivi na ndo hupata wengi. Are we that cheap.
Hayo ni maoni yako, yanaheshimiwa kama yalivyo maoni ya watu wengine. Ushauri wa bure ni kwamba jitoe kwenye JF iwapo unaona ina watu wenye cheap mind. Itashangaza upo kwenye media moja na watu wenye cheap mind na unatoa mawazo yako kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana sikutaka kubishana wewe unatumia Imani kujibu, Ila kiuhalisia unajua kabla ya ujio wa Waarabu hakukua na kitu kinachoitwa Uislamu na ushahidi mdogo ni kuenea kwa Dini hii ukanda wa pwani ya EA na baadhi ya sehemu za bara walizopita na hivyo hivyo kwa Wamisionari na Ukristo
Kuenezwa na kuletwa ni mambo mawili tofauti !.....Uislaam haukuletwa na mwarabu.
 
Wakristo lazima walalamike kwa sababu kila shule uendako ukiacha za kiislamu, waliotawala ni wakristo. Utasubiri sana ukibisha hilo. Huwa wakati mwingine natamani tutangaze na elimu za wahusika kwa kila ngazi utashangaa kila ngazi wengi wa waislamu ni wale ambao hawakuwa kupata hata namba ya 10 darasani.
Sio siri kuwa wakati wa a Kikwete mlibebwa sana kuzidi mpaka.
Hapa kwetu manispaa mock F4 vijana wa kiislam ndio vjigooo huo utafiti umeufanya lini?mm niliwaburuza makafiri o level hadi basi,acha ungo kimsingi watoto wetu wote wanakaa mtaa 1 hali sawa wanashinda pamoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiarabu cha Qur'an ni lugha isiyo na upogo, haikukopa lugha kutoka sehemu yeyote. Kukariri kumesaidia kuwa na Qur'an moja tu, hamna matoleo kama Biblia.
NINASEMA TENA KUWA:

Qur'an sio Moja duniani

Nimeshalieleza sana hilo pamoja na kutoa ushahidi hapahapa.

Biblia ndio MOJA PEKEE ambayo imetafsiriwa katika lugha mbalimbali ili iweze kueleweka kote ulimwenguni.

Biblia inayotumiwa na watu wengi zaidi duniani ni Version ya "King James" kwakuwa ina kiingereza chepesi.

Biblia haina utofauti wa contents kama ilivyo Qur'an.

Qur'an inayotumika Spain si sawa na ile ya Senegal

Qur'an inayotumika Egypt si sawa na ya Central Africa

Qur'an ya Waislam wa London si sawa na ile ya waislam wa Sudan.

Halafu hivi unajua ni nani aliyeprint Quran ya kwanza iliyotafsiriwa?

Unataka Ushahidi zaidi kuwa QUR'AN sio moja na zinatofautiana kwa contents (yaliyomo)
 
kama umekimbia umande unalialia nin???

Nilishwahi kuwaambia ndugu zangu waislamu, madrasa haitakupeleka popote si duniani na wala sio huko walipoaminishwa.

Life will end here and new life will be formed.

Kuja hapa duniani ni bahati tu kama mchezo wa kurusha dice.

Ulishajiuliza out of millions of sperms ila kamoja tu ndio kamekuleta wewe duniani au na pacha wako(identical twins).

Unapowaambia watu kwamba mtoto mdogo akifa basi ana tiketi ya moja kwa moja ya kwenda peponi hamuoni kwamba ni sawa na kuwaambia watu kwamba they will do favour to their kids if they kill them.

Dini ni ujinga tu unaotufanya tulimit how we think.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wakati mwingne mtu anaweza kufikuria jambo kumbe ni la Kijinga pia!

Sent using Jamii Forums mobile app

NINASEMA TENA KUWA:

Qur'an sio Moja duniani

Nimeshalieleza sana hilo pamoja na kutoa ushahidi hapahapa.

Biblia ndio MOJA PEKEE ambayo imetafsiriwa katika lugha mbalimbali ili iweze kueleweka kote ulimwenguni.

Biblia inayotumiwa na watu wengi zaidi duniani ni Version ya "King James" kwakuwa ina kiingereza chepesi.

Biblia haina utofauti wa contents kama ilivyo Qur'an.

Qur'an inayotumika Spain si sawa na ile ya Senegal

Qur'an inayotumika Egypt si sawa na ya Central Africa

Qur'an ya Waislam wa London si sawa na ile ya waislam wa Sudan.

Halafu hivi unajua ni nani aliyeprint Quran ya kwanza iliyotafsiriwa?

Unataka Ushahidi zaidi kuwa QUR'AN sio moja na zinatofautiana kwa contents (yaliyomo)
Kumbe hujaelewa!Qur'an ni ile iliyoandikwa kwa kiarabu tu,wote duniani wataisoma kama ilivyo ila tafsiri imeandikwa kwa lugha nyingi Duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi mnasema waislam wengi UDOM.
Ila comments kadhaa nyuma wenzio wamesema WAISLAM WAMEBASE NA ELIM YA MADRASA HAWASOMI.
Sasa KIPI CHA KUSHIKA?
Waislam ni kwamba hawasomi ndo maana hawapat kazi au WAISLAM NI WENGI WANASOMA?

May Allah bless Me and You
Ukijibiwa ni-tag

Lexus Mayai
 
cha msingi awe na vigezo tu vya hio nafasi na awe ni mtanzania...aletwe kwa undugu/dini vyote havinihusu kwa sababu kwa namna yoyote ile someone has to stay kwenye hio nafasi...mtoa mada ni mbaguzi na naomba usipate nafasi yoyote kaa ulilie hivo hivo
Kuwa tu muislam ni kukosa kigezo cha kuajiriwa

Ceteris paribus

Lexus Mayai
 
Kiarabu cha Qur'an ni lugha isiyo na upogo, haikukopa lugha kutoka sehemu yeyote. Kukariri kumesaidia kuwa na Qur'an moja tu, hamna matoleo kama Biblia.

Hivi Italy na Roma watu wanapochimbana vinyesi ni waislamu?? Sheria ya kiislamu ipo wazi shoga hukumu yake ni kuuwawa mwenyekufanya na kufanyiwa hebu niambie sheria yenu inasemaje kuhusu huo uchafu halafu urudi tena na kauli uliyoitoa
 
Dhulma haidumu wala si jambo la kujisifia, m'mebakia kunya na kuchamba na karatasi, kuiba rushwa na ufisadi. Mpaka makanisa yanaingizwa kwenye ufisadi.
Nyie mizulumati mnadhulumu hata mahujaji mna laana, watu wanataka kwenda kuhiji mnawadhulumu halafu mnajifanya waswahilina punguani kabisa
 
Hivi Italy na Roma watu wanapochimbana vinyesi ni waislamu?? Sheria ya kiislamu ipo wazi shoga hukumu yake ni kuuwawa mwenyekufanya na kufanyiwa hebu niambie sheria yenu inasemaje kuhusu huo uchafu halafu urudi tena na kauli uliyoitoa
Nathani hukunikusudia mimi hili swali
 
Nyie mizulumati mnadhulumu hata mahujaji mna laana, watu wanataka kwenda kuhiji mnawadhulumu halafu mnajifanya waswahilina punguani kabisa
....wale si malaika ni watu na wameiga tabia za kikafiri ! Muislaam hadhulumu wala hakubali kudhulumiwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom