Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

Udini kwenye baadhi ya taasisi za serikali

Status
Not open for further replies.
kama umekimbia umande unalialia nin???

Nilishwahi kuwaambia ndugu zangu waislamu, madrasa haitakupeleka popote si duniani na wala sio huko walipoaminishwa.

Life will end here and new life will be formed.

Kuja hapa duniani ni bahati tu kama mchezo wa kurusha dice.

Ulishajiuliza out of millions of sperms ila kamoja tu ndio kamekuleta wewe duniani au na pacha wako(identical twins).

Unapowaambia watu kwamba mtoto mdogo akifa basi ana tiketi ya moja kwa moja ya kwenda peponi hamuoni kwamba ni sawa na kuwaambia watu kwamba they will do favour to their kids if they kill them.

Dini ni ujinga tu unaotufanya tulimit how we think.

Sent using Jamii Forums mobile app
una fikra finyu sana mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
una fikra finyu sana mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Fikra finyu ni kuamini kwamba utakutana na nyoka kwenye kaburi lako,
Kwamba ukitembea unaswing kwenye dunia basi utaenda kuulizwa siku ya hukumu,
Fikra finyu ni kuamini kwamba mchawi au shetani ndio anakufanya usifanikiwe kwenye kazi, masomo yako na n.k.
Fikra finyu ni kuamini kwamba kumua binadamu mwenzako eti kwa sababu anamkufuru Mungu basi ni pasipoti ya kwenda peponi.
Fikra finyu ni kuamin kwamba utapewa nguvu za kiume za kuweza kuwatosheleza wanawake 100 lakini utapewa wanawake 72 tu ila wanawake hawajiulizi je wao watapewa wanaume wangapi ndio huyo mmoja au wataumbwa wanawake wengine.
Labda uniambie ni wapi nimeonyesha fikra finyu...? Ili tujadili.

Nakukaribisha kwa mjadala..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nashkuru kwa kunitukana

hii nimeitoa kwenye annual report ya mwaka 2011 muhula wa pili wa kikwete, according to you NSSF ni waisilamu ila top management nikiiangalia waisilamu hata asilimia 50 hawafiki.

ooOdf7p.png

O7tuiAG.png

OQ9fnsh.png

7gQGxyT.png

haya niambie mkuu huo udini upo wapi hapo? au hata hizo asilimia 30 au 40 hamtaki waisilamu wazipate? mnataka kila ofisi kuwe na waisilamu asilimia 10 au 5?

tuwe na huruma jamani na tuache kusingizia mambo ambayo hayapo, sababu hayatupeleki popote.

na kama una data yoyote inayoonyesha otherwise naomba uniekee hapa ili niamini na mimi unachoongea kama ni kweli.
Kama nilivyosema, hao wakristo unaowaona hapo walikuwepo hata kabla ya dau, management syo staff wote ila alipoingia ndipo aliajiri waislam zaid ya 700 bila kujali sifa na ndo maana sasa wanafukuzwa, weka list ya wislam na wakristo wote ndo utajua dau& matessa walikuwa wadini
 
Kwa sasa hivi kwenye taasisi za umma ratio ni 100:3 kwa hiyo inabidi uzoee tu hamna namna!
Wakati wa JK,ilikuwaje vile?tukumbushane jamani,Hivi hata hao anaowateua hawapo sawa,mu kristo wa kagera,Kilimanjaro,au mbeya,hayuko sawa na mkristo wa mtwara au Lindi,sina ugomvi hata kama mawaziri wote wakiwa was Islam,lamsingi watimize majukumu yao tu,hata hao wasukuma wenzie anaowateua,wanafikiri wakijazana serikarini,ndio maendeleo yatakuja kwao,kuanzia msalala,kahama,kakora,au geita,mnafikiri Kilimanjaro,Arusha,moshi ilijengwa kwa wenyeji wa sehemu hizo kujaa serikarini,watu walifanya kazi,Kama ndugu zangu wa shinyanga,Mwanza,simiyu,wanaamini kwamba hii miaka 10,ndio zamu yao ya kula nchi,ili kanda ya ziwa iwe kama,Arusha,moshi,Kilimanjaro,basi watakuwa na akili ndogo sana,hawastahili hata kuongoza kijiji,jiulizeni hivi,buzwagi,bulyanhulu,GGM,ingekuwa Arusha,hari ingekuwaje?fanyeni kazi!mfano mdogo,jimbo moja LA msalala,kwa Ezekiel maige,ndani ya jimbo hili kuna mgodi wa Bulyanhulu,kutoka kahama,kwenda mji wa kakora,mgodini,ni vumbi tupu,kwenda msalala,mpaka Wilaya ya Nyangwale ni vumbi tupu,Alichokifanya Mh mbunge,ni kuwajengea nyumba wazazi wake,kijijini kwao,tu,na kutafuna hela as mgodi tu,hamna lolote,sweet mangis wanaendeleza kwao,mpaka mnaona wivu mnaenda kuharibu scheme za umwagiriaji,fanyeni kazi,
 
Naomba orodha ya TEUZI zoooote tangu 2015[emoji654]2017

May Allah bless Me and You
 
Wakristo lazima walalamike kwa sababu kila shule uendako ukiacha za kiislamu, waliotawala ni wakristo. Utasubiri sana ukibisha hilo. Huwa wakati mwingine natamani tutangaze na elimu za wahusika kwa kila ngazi utashangaa kila ngazi wengi wa waislamu ni wale ambao hawakuwa kupata hata namba ya 10 darasani.
Sio siri kuwa wakati wa a Kikwete mlibebwa sana kuzidi mpaka.
Kikwete aliwabeba waislam gani jamani?Mbona nae aliwajaza sana wana MISALABA.
Sema BWANA YULE ameshindwa kubalansi na AMEDHIHIRISHA KABISA

May Allah bless Me and You
 
kama umekimbia umande unalialia nin???

Nilishwahi kuwaambia ndugu zangu waislamu, madrasa haitakupeleka popote si duniani na wala sio huko walipoaminishwa.

Life will end here and new life will be formed.

Kuja hapa duniani ni bahati tu kama mchezo wa kurusha dice.

Ulishajiuliza out of millions of sperms ila kamoja tu ndio kamekuleta wewe duniani au na pacha wako(identical twins).

Unapowaambia watu kwamba mtoto mdogo akifa basi ana tiketi ya moja kwa moja ya kwenda peponi hamuoni kwamba ni sawa na kuwaambia watu kwamba they will do favour to their kids if they kill them.

Dini ni ujinga tu unaotufanya tulimit how we think.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So waislam hawajasoma ila madrasa ndi zinawarudisha nyuma?

May Allah bless Me and You
 
Kwa sababu ni wachache pia kwenye interviews! Labda ungeanzia hapo, halafu urudi nyuma kidogo kidogo
Hata interviews za TEUZI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapo wachache

May Allah bless Me and You
 
kabla sijaanza chuo nilikuwa nasikia tu udom chuo cha kiisilamu na blah blah nyengine, nikachaguliwa huko udom, bahati nzuri wale viongozi wa waisilamu pale wana tabia ya kufanya sensa kila baada ya muda fulani, nikapata bahati ya kuziona zile data, kati ya wanafunzi around 10,000 wa social science kwa kipindi hicho waisilamu walikuwa kama 1500 tu,

same kwa NSSF nako nikasikia ni shirika la kidini kikwete amejaza waisilamu, sina data za shirika zima, ila top management na wafanyakazi wenye vyeo vikubwa ipo website ya NSSF nako hali ilikuwa tofauti,

mpaka nikawa najiuliza ni defence mechanism au ni nini? unapata faida gani kusambaza rumors kama hizi?
Sasa hivi mnasema waislam wengi UDOM.
Ila comments kadhaa nyuma wenzio wamesema WAISLAM WAMEBASE NA ELIM YA MADRASA HAWASOMI.
Sasa KIPI CHA KUSHIKA?
Waislam ni kwamba hawasomi ndo maana hawapat kazi au WAISLAM NI WENGI WANASOMA?

May Allah bless Me and You
 
kabla sijaanza chuo nilikuwa nasikia tu udom chuo cha kiisilamu na blah blah nyengine, nikachaguliwa huko udom, bahati nzuri wale viongozi wa waisilamu pale wana tabia ya kufanya sensa kila baada ya muda fulani, nikapata bahati ya kuziona zile data, kati ya wanafunzi around 10,000 wa social science kwa kipindi hicho waisilamu walikuwa kama 1500 tu,

same kwa NSSF nako nikasikia ni shirika la kidini kikwete amejaza waisilamu, sina data za shirika zima, ila top management na wafanyakazi wenye vyeo vikubwa ipo website ya NSSF nako hali ilikuwa tofauti,

mpaka nikawa najiuliza ni defence mechanism au ni nini? unapata faida gani kusambaza rumors kama hizi?
So weka basi data za NSSF taja wale wakurugenzi waliosimamishwa na dini zao pia weka data za NHIF,LAPF,UDSM na TRA

May Allah bless Me and You
 
Kama nilivyosema, hao wakristo unaowaona hapo walikuwepo hata kabla ya dau, management syo staff wote ila alipoingia ndipo aliajiri waislam zaid ya 700 bila kujali sifa na ndo maana sasa wanafukuzwa, weka list ya wislam na wakristo wote ndo utajua dau& matessa walikuwa wadini
mkuu si watu wote tunapiga story vijiweni, mi nimekupa ushahidi wangu kadri nilivyoweza kwa top management, na wewe nipe wako huwa sipendi maneno matupu matupu.

na pia kama ofisi ina waisilamu 100 na wakristo 800, serikali inaweza kuajiri waisilamu 300 kubalance, kama wapo ambao wana sifa hizo, ukumbuke serikali ni ya watu wote, makundi ambayo yapo nyuma kijamii inabidi yaboostiwe, serikali ina jukumu la kuhakikisha makundi yote katika jamii yanathaminika,

ndio maana unaona hata bungeni kuna viti maalum wanawake tu, au walemavu, lile ni kundi/makundi yanayohitaji msaada.
 
So weka basi data za NSSF taja wale wakurugenzi waliosimamishwa na dini zao pia weka data za NHIF,LAPF,UDSM na TRA

May Allah bless Me and You
mimi sio mfatiliaji siasa na wala siwajui hao ambao wametimuliwa,

data za NSSF nilizoweka nimetoa kwenye vyanzo mbali mbali internet sababu kuna mdau amesema NSSF wamejaa waisilamu, kitu ambacho sio kweli,

TRA tunafahamu ni shirika la wachaga, wengi si waisilamu, sifahamu kuhusu UDSM na LAPF na HAO NHIF, nipe muda nipekue pekue online nikuletee angalau hizo top management ujiridhishe.
 
Ukisikia malalamiko ya hivi itakua wanaoteuliwa ni wa dini ambayo haujazoea kuiona inateuliwa, kawaida umefanya sheria! Acha na wao wale matunda ya nchi!
....ameaona mitandio, hijabu na sigda zipo zipo !
 
....ameaona mitandio, hijabu na sigda zipo zipo !
Kama ameona Ofisi moja analalamika ina maana hizo asizolalamika zina watu wa dini anayotaka yeye! Kweli waarabu na wazungu wametutawala vichwa vyetu hadi unamchukia ndugu yako kwa sababu ya Imani zao walizoleta
 
cha msingi awe na vigezo tu vya hio nafasi na awe ni mtanzania...aletwe kwa undugu/dini vyote havinihusu kwa sababu kwa namna yoyote ile someone has to stay kwenye hio nafasi...mtoa mada ni mbaguzi na naomba usipate nafasi yoyote kaa ulilie hivo hivo
 
Hivi no kwa nn waislam wakiteulia hats WA 5 tu kwenye tasisi za kiserkali alafu yule mkuu WA ile tasisi awe muislam. Malalamiko huwa in mdini sana

Kabisa nchi hii kama tunataka usawa kabisa mbona waislam wapo nyuma sana kiajira ?

Tukianzia kwenye office za wizara. Tasisi Kubwa Kubwa za srekali utaona waislam in wachache sana. Lakini huezi on a waislam wanalalamika sana kama Hawa ndugu zetu wacristo
Kwenye kampuni yetu jumla tupo 65, waislaam wa 3 tu ! Bado tunatizamwa vibaya !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh. Rais Magufuli namuomba atembelee Mamlaka ya Usimamizi wa shughuli za Bima kwa kiingereza Tanzania Insurance Regulatory Authority aone mkurugenzi mkuu aliyemteua anavyofanza teuzi ndani ya ofisi kwa misingi ya kidini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii taasisi, imeasisiwa na kuongozwa na jamaa mkristo wa Bukoba !
Watu wa kanda ya ziwa wanajulikana.....ameondolewa baada ya kudumu muda mrefu sasa kuna mtu mwingine anarekebisha, umeona ulete majungu JF.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom