Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
Kivipi? Kitu gani ambacho dini inapigania ambacho kina-contradict na kile ambacho siasa inapigania. Kama kuna ujinga ambao tumelishwa miaka mingi katika siasa za Tanzania ni hili la kusema dini na siasa hazichanganyika.These are both ways of life; they are complementary rather than contradictory! Amkeni, mmelishwa upupu vya kutosha!

Kitila kitila nakuheshimu mwalimu wangu mwl si zaidi ya mwanafunzi lakini mwanafunzi akiongeza darasa anamzidi mwalimu wa darasa la chini.

Ndugu kama complementary why do you want one to substitute the other? From which science is this derived from? Can a key become a lock or otherwise can an enzyme substitute substrate; can negative be positive and can light be dark etc etc such science is new on earth and if its a new hypothesis validation is very important. The law of creation states "every matter was created from non matter", that is out of nothing something was made being so carnal things can never be superior to spiritual things. For the physical object to be manifested the idea must be conceived first you can not have a building before having its structure or at least in our vernicular raman sasa vipi tuweze kuchanganya principle za mungu na principle za wanadamu? Yupi ni perfect kuliko mwingine kama huamini Mungu yupo basi hakuna dini kuna serikali kama unaamini Mungu yupo ijiunge na dini na serikali uiache iendelee na utaratibu wake kama unamini vyote basi kila moja ifanye kazi yake huku wakikamilishana pale mwingine anapomhitaji mwenzake bila kulazimisha principle ya mojawapo ndo pekee ifuatwe na mwingine apuuzwe kama itafika hapo basi maanake ni mwenye nguvu ndo adominate na hapo sijui nani ana physical power kati ya serikali na kanisa. "Tena wanabahati raisi ni muungwana ingekuwa mimi hao top wote keko japo kwa siku mbili tu uone kama kuna hata mmoja atanyanyua mdomo kuhusu elimu ya raia" Tena najua pale unapo fight kama Mungu hajaruhusu we lazima ushindwe tu mbona wana waisrael walipojidai wananguvu kwa kuangalia majeshi yao wafilisti waliwafundisha adabu? Weh! Bora waelewe tangu sasa mimi ni rais mtarajiwa na kama wanaweza wasinipigie kura wote ila ole wao nichukue nchi kama udikteta hawajawahi kuuonja then wataujua. Yaani hapa nimetoa kilicho moyoni mwangu a true colour of who I am (Green in colour).
 
Last edited:
Kitila kitila nakuheshimu mwalimu wangu mwl si zaidi ya mwanafunzi lakini mwanafunzi akiongeza darasa anamzidi mwalimu wa darasa la chini.

Ndugu kama complementary why do you want one to substitute the other? From which science is this derived from? Can a key become a lock or otherwise can an enzyme substitute substrate; can negative be positive and can light be dark etc etc such science is new on earth and if its a new hypothesis validation is very important. The law of creation states "every matter was created from non matter", that is out of nothing something was made being so carnal things can never be superior to spiritual things. For the physical object to be manifested the idea must be conceived first you can not have a building before having its structure or at least in our vernicular raman sasa vipi tuweze kuchanganya principle za mungu na principle za wanadamu? Yupi ni perfect kuliko mwingine kama huamini Mungu yupo basi hakuna dini kuna serikali kama unaamini Mungu yupo ijiunge na dini na serikali uiache iendelee na utaratibu wake kama unamini vyote basi kila moja ifanye kazi yake huku wakikamilishana pale mwingine anapomhitaji mwenzake bila kulazimisha principle ya mojawapo ndo pekee ifuatwe na mwingine apuuzwe kama itafika hapo basi maanake ni mwenye nguvu ndo adominate na hapo sijui nani ana physical power kati ya serikali na kanisa. "Tena wanabahati raisi ni muungwana ingekuwa mimi hao top wote keko japo kwa siku mbili tu uone kama kuna hata mmoja atanyanyua mdomo kuhusu elimu ya raia" Tena najua pale unapo fight kama Mungu hajaruhusu we lazima ushindwe tu mbona wana waisrael walipojidai wananguvu kwa kuangalia majeshi yao wafilisti waliwafundisha adabu? Weh! Bora waelewe tangu sasa mimi ni rais mtarajiwa na kama wanaweza wasinipigie kura wote ila ole wao nichukue nchi kama udikteta hawajawahi kuuonja then wataujua. Yaani hapa nimetoa kilicho moyoni mwangu a true colour of whom I am (Green in colour).

Dini is function of siasa let Y = dini na X ni siasa hivyo uhusiano wao uko hivi. Y = f(x).
 
Uongozi wa kuchaguliwa na watu huwa siuamini sana, lolote linaweza kutokea. Anaweza akawekwa mtu mbovu ili mradi tu anajua kuongea, au sometimes kutokana na ujinga wa wapiga kura. Huwa nauamini uongozi uliotokana na qualifications za taaluma. Mara nyingi uongozi wa siasa huwa naufananisha na wa vilabu vya soka. Unakuta jamaa aliishia std Seven au Form IV lakini anapiga domo na watu wanamshangilia. Ndio maana kwenye siasa na michezo huwa si lazima uwe umesomea related field, ni uzoefu tu. Mfano, wengine wanathubutu hata kukuambia uukitaka kuwa kiongozi level fulani (maybe ngazi ya taifa) eti lazima uanzie kijijini, au kuwa katibu wa klabu ya soka, eti uwe mtu wa michezo (eg. mchezaji wa zamani etc), sasa kwa mtindo huo tunapata viongozi randomly, na bila hata kupanga inaweza ikatokea viongozi wa namna hiyo wametoka katika dini au kabila moja, then baadaye ndo kama hivi watu wanaanza kuhoji, ooh chama cha dini fulani, mara cha kabila fulani, etc.
 
Last edited:
mmhh! Jamani sasa hao wakristo kama hawagombei uongozi ndani ya CCM au hawakuwa kwenye mtandao wa Kikwete wakati wa uchaguzi watapataje huo uongozi?

Washauri basi wagombee mwaka 2012!!!
 
Besides all the discussion, the fact remains that one's character is influenced by many factors, religion inclusive.
 
Dini is function of siasa let Y = dini na X ni siasa hivyo uhusiano wao uko hivi. Y = f(x).

Shhhh...... MkapaP taratibu wasikusikie. Prevailing assertion ni kuwa nchi ya Tanzania haina dini (hivyo basi hata serikali na vyama vya siasa vyote havina dini).
 
mmhh! Jamani sasa hao wakristo kama hawagombei uongozi ndani ya CCM au hawakuwa kwenye mtandao wa Kikwete wakati wa uchaguzi watapataje huo uongozi?

Washauri basi wagombee mwaka 2012!!!

Kuna haja kweli ya kugombea kama wakristo? Kuna wimbo niliuimba miaka ile nikiwa chekechea kuwa CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi. Mzee Kawawa na Kingunge wakikusikia utakwishney.
 
But are not 75% of Tanzanian? If not when did Church conducted censor to dispute the figure.
By the way, wenye Data, Sensa ya Mwisho ilio rekodi Dini, uwiano ulikuwaje?
 
But are not 75% of Tanzanian? If not when did Church conducted censor to dispute the figure.
By the way, wenye Data, Sensa ya Mwisho ilio rekodi Dini, uwiano ulikuwaje?

Mkuu, hapo did na ...ed visingetumika pamoja (just in case hukujua)
 
Mkuu hao viongozi 75% wa kiislamu CCM ni katika ngazi gani? CCM nzima au uongozi wa juu wa chama tu? Na je umepataje hesabu ya 75%?
 
amini usiamini udini unatisha nchi hii hasa baada ya kuingia huyu bwana kikwete................
 
Dini is function of siasa let Y = dini na X ni siasa hivyo uhusiano wao uko hivi. Y = f(x).

on the contrary nadhani Siasa is a subset ye Dini, this is true wheter we like or wrong. It is religion that define and shape Politics.
 
humu ndo mnachochea udini jamani kwani muislam anapiga hadhana vikaoni?au mkristo kuimba mapambio vikaoni?kama wanafaa let them bwana!!ukimchambua sana mtu hata mkeo/mumeo unamwacha leo hii hii!!
 
Mimi sioni shida katika hili kama hao wanadini tajwa wanauwezo wa kufanya kazi wanazopaswa kuzifanya kwa ajili ya taifa, lakini kama kuwepo kwao katika nafasi hizo ni fadhila, basi hawafai kabisa.
 
Kuna mtu aliwahi kusema hapa kuwa kuna makubaliano ndani ya ccm kuwa na uwakilishi sawa wa dini kubwa nchini za uislam na ukristo. Matokeo ya uchaguzi dodoma yanaonyesha kuwa waislam sasa wana-nafasi asilimia 75 ya uongozi wa ccm.

Ilivyokuwa CUF na viongozi wengi waislam watu waliita cuf, chama cha waislam. Sijui kama ccm itaitwa the same name? Viongozi wakuu wanne, Kikwete, Karume, Msekwa, na Makamba; ratio inaonekana tayari. Kwa kamati kuu (cc), ratio ipo wazi, cha ajabu hata NEC, ni the same trend.

Haya ni makubaliano ndani ya ccm au ni mabadiliko ya yale makubaliano ya awali? Naomba kuwasilisha


Nafikiri ndugu yangu unahitaji msaada sana katika mambo ya muungano.

Awali napenda niweke wazi. Kwa upande wa Zanzibar viongozi wote ni waisilamu kuanzia kuanzia baraza la wawakilishi, wawakilishi wanaochaguliwa na wananchi, viongozi wa dini n.k. Hilo halina mjadala.

Ukija kwenye CCM, viongozi wote wanaotoka Znz ni waislam. sasa utaona wajumbe wa NEC toka Znz ni waislam na wale wa CC wote ni waislam.

Sasa unapotaka ijadili Viongozi wa CCM, basi jua CCM ni chama cha kitaifa. sasa useme labda viongozi wa CCM bara ni waislam wengi.

hebu fanya analysis kidogo. Wenyeviti wa CCM mikoa na makatibu wa mikoa waislam wangapi na wakristo wangapi.

Tuje kwenye uongozi wa juu kuanzia Mwenyekiti, makamu bara,katibu, naibu katibu bara, mwekahazina,naibu mwekahazina n.k
then lete data zako ku justify.

Vile vile hata wakati wa mkapa ambao kulikuwa na wakatoliki wengi ndani ya CCM lakini ndani ya CC ambako kuna wajumbe 20 toka bara na 20 toka Zanzibar na wawili wanaoingia ambao ni Mzee Kawawa na Mzee Malecela.
Utaona lazima waislamu wawe wengi.

Wakatoliki hacheni kulalama mbona hamkusema wakati wa mkapa ambapo kulikuwa na Mkapa, malecela, mangula,msome, n.k
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom