Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
Fisadi Mkapa was a Catholic, lakini kwa ufisadi wake amefanya wakatoliki waka-suffer na kufa. Wabaya hawana dini, tupigane na mabaya! Hata hivyo udini usitumiwe kama ngazi kupata maslahi..effciency matters.
 
Sio ajabu waislam kuwa 75% kwasababu wao ndio majority hapa nchini (CIA Data), kinachoshangaza ni kwanini waislam ni minority sehemu nyingine za kazi? elhali wao ndio wengi nchini?

Sipendi udini, tukitaka uwiyano nilazima waislam wajaziwe sehemu ambazo wao niwachahce.

Asanteni.
Nenda zako nani kakudanganya majority your foot
 
Dini ya nini katika siasa huyu jamaa anataka nini?
Tusiingize udini katika siasa
Je TRA ina waslam % ngapi na wakristu % ngapi?
Hatufiki kokote.
Udini na Ukabira haufai kabisa
 
Huo ni UBAZAZI wa mtu kufikilia CCM imejaza nafasi za Juu waislamu. Kumbe Mkuki kwa Nguruwe kwa Binadamu Mchungu eti? HEBU KUMBUKA HII.

M/kti Taifa - Ben Mkapa
Katibu Mkuu - Mangula
K/Mwenezi Taifa - Mchome,
K/ wa fedha na Uchumi - Salome Mbatia,
K/ Idara ya Uhamasishaji na Itikadi - George Kipwengo,

Hapa hapakuwa na UKRISTO ETI? ila leo ndo kuna Uislam?

Acheni kufikiria KIBAZANI
 
Mbona sikuelewi una maanisha nini? Hao wajumbe wanateuliwa au wanachaguliwa? haya mambo ya kuangalia dini yameanza lini?
Jee wakati wa Mwalimu kulikuwa na ratio gani?[hata cabinet ministers]
Jee vipindi vya wenyeviti wengine nao ilikuwaje/

Mimi nadhani ili kuwa more objective ungefanya analysis nzuri ili ituelimishe sisi wengine ambao kazi yetu ni kulala mchana tu.
 
Huo ni UBAZAZI wa mtu kufikilia CCM imejaza nafasi za Juu waislamu. Kumbe Mkuki kwa Nguruwe kwa Binadamu Mchungu eti? HEBU KUMBUKA HII.

M/kti Taifa - Ben Mkapa
Katibu Mkuu - Mangula
K/Mwenezi Taifa - Mchome,
K/ wa fedha na Uchumi - Salome Mbatia,
K/ Idara ya Uhamasishaji na Itikadi - George Kipwengo,

Hapa hapakuwa na UKRISTO ETI? ila leo ndo kuna Uislam?

Acheni kufikiria KIBAZANI
Tatizo hawa walio sasa competency zero! na ndio maana chama kinayumba kuna Waislam ambao wana uwezo na sio hawa wa sasa!
 
Tatizo hawa walio sasa competency zero! na ndio maana chama kinayumba kuna Waislam ambao wana uwezo na sio hawa wa sasa!
Kumbe issue ni uwezo si dini siyo..sasa mshauri huyu mdini aliyeanzisha thread hii aache upuuzi

Kama unachukizwa na ccm si uende kwenye chama chako cha wakatoliki (Chadema) maana katibu aliwahi kuwa TEC..go ahead kawaunge mkono achana na ccm..na uwezo wao..

Makristo bana, mnapenda kupendelewa,kula rushwa, utafikiri nguruwe hamshibi?
 
Ninapata mashaka sana ninaposikia DINI, KABILA au RANGI zetu zikitajwa mbele ya maslahi ya umma. Ninashindwa kuamini kama sisi bado ni 'WATUMWA". Dini ni kitu gani? ukabila wetu ni nini? rangi zetu zina mchango gani katika ujenzi wa madarasa, barabara, zahanati na mabwawa yatakayoiwezesha jamii yetu kuepukana na kutegemea kilimo cha mvua zisizoaminika? Hivi, tunarithi nini hiki, kitusaidie nini, tunategemea kumrithisha nani uozo huu? Tuwe na mijadala yenye dira ya kutusaidia kulisogeza taifa letu mbele, kuwapunguzia mwendo mama na dada zetu kuvifikia vituo vya uzazi salama na namna ya kupunguza viwango vya ujinga. Tukishikilia dhana ya Utumwa tutabaki kunyosheana vidole na hakuna tukalolifanya kama familia moja, jamii moja wala Taifa moja.
waambie hao mods waitoe hii thread, maana si tumesema tumechoka. Labda mpaka usalama wa taifa uwaambie.
 
kuna mtu aliwahi kusema hapa kuwa kuna makubaliano ndani ya ccm kuwa na uwakilishi sawa wa dini kubwa nchini za uislam na ukristo. Matokeo ya uchaguzi dodoma yanaonyesha kuwa waislam sasa wana-nafasi asilimia 75 ya uongozi wa ccm.

Ilivyokuwa cuf na viongozi wengi waislam watu waliita cuf, chama cha waislam. Sijui kama ccm itaitwa the same name? Viongozi wakuu wanne, kikwete, karume, msekwa, na makamba; ratio inaonekana tayari. Kwa kamati kuu (cc), ratio ipo wazi, cha ajabu hata nec, ni the same trend.

Haya ni makubaliano ndani ya ccm au ni mabadiliko ya yale makubaliano ya awali? Naomba kuwasilisha

ndugu naomba mfahamu kwamba kuna tofauti kubwa kati ya muislam halisi na yule anajiita muislam na mkristo halisi na yule anaejiiita mkristo sijui kusudio lenu na kundi gani kati ya hayoniliotaja..?

Pia katika maswala ya kuongoza nchi mimi mtazamo wangu ni kwamba kama nchi (tanzania) itaongozwa na wakristo na kwahaki ikawa na maendeleo kama japani basi wakristo na waislam na wapagani wote watakuwa ni wamoja na pia ikiongozwa na waislam au wapagani kwa misingi niliotaja basi wote tutakuwa wamoja.

Tatizo lililopo ni ufisadi umetawala katika pande zote sasa matokeo ni hayo....

Ni mtazamo wangu...
 
Hivi hao watu walipachikwa ama wamegombea?

Kama hawakupachikwa hivi waliowapigia kura watu hao ni watu wa dini gani?.

Hivi makamba angepata kura za waislamu pekee angeshinda NEC?
Au kepteni John Komba angepata kura za Wakristo pekee angeingia NEC?.

Na hao Wakristu kina Lowassa walikaa tu wakiona wakristu wenzao wanapokonywa ushindi na waislamu?.

Gentlemen what are you trying to say?

Bana, Mi huwa najiuliza hawa watu wanapata muda wapi hadi wanaanza ku-study safu ya uongozi ili kujua dini na asili yao!!!mbona hatujawahi kusikia malalamiko toka popote kama angalau vile ilivyo CUF(na uislamu) na CHADEMA (na uchaga)?! tuache mambo ya udini kwa hoja zisizo na msingi ambazo hazitaweza kujenga hata chumba kimoja cha darasa la chekechea ya uswahilini.
 
Dini ya nini katika siasa huyu jamaa anataka nini?
Tusiingize udini katika siasa
Je TRA ina waslam % ngapi na wakristu % ngapi?
Hatufiki kokote.
Udini na Ukabira haufai kabisa
haufai lakini upo...............
 
Kuna mtu aliwahi kusema hapa kuwa kuna makubaliano ndani ya CCM kuwa na uwakilishi sawa wa dini kubwa nchini za uislam na ukristo. Matokeo ya uchaguzi Dodoma yanaonyesha kuwa waislam sasa wana-nafasi asilimia 75 ya uongozi wa CCM.

Ilivyokuwa CUF na viongozi wengi waislam watu waliita cuf, chama cha waislam. Sijui kama CCM itaitwa the same name? Viongozi wakuu wanne, Kikwete, Karume, Msekwa, na Makamba; ratio inaonekana tayari. Kwa kamati kuu (CC), ratio ipo wazi, cha ajabu hata NEC, ni the same trend.

Haya ni makubaliano ndani ya ccm au ni mabadiliko ya yale makubaliano ya awali? Naomba kuwasilisha

Hivi hakuna mambo mengine ya kuandika mpaka tunakuja kuzungumza mambo kama haya? Mimi ni mkristu lakini nachukia sana hii tabia ya kuzungumzia mambo ya udini kila kukicha. Hivi hata wakiwa wote waislamu hiyo CCM itaendeshwa kwa mujibu wa sheria za Kiislamu au kwa kufuata katiba ya chama na ilani ya uchaguzi. Chondechonde wale wenye hii tabia naomba muiache kabisa. Wakristu na Waislamu wote ni wana wqa Ibrahim.
 
Jamani eeeh!

Wakati wa Mkapa tulikuwa na viongozi wakuu 4 wa CCM hawa: Mkapa, Maelecela, Mangula na Karume.

Ratio hapa ikoje? Au ndiyo yale yale: kunya anye kuku akinya bata kaharisha?

Need I say more?
 
Ndugu zangu!
Majina sio dini! Dini ya Uislamu sio waIslamu ni maandiko sio matendo ya wenye majina ya Uislamu au Ukristo! Chambua orodha ya "Mafisadi na Walioweka na Kutayarisha mikataba" Je, kuna Uislamu au Ukristo hapo ndugu? Bila kupotosha "Uislamu" ni uadilifu na kufuata "Njia Iliyonyooka". Sio Osama au Siasa Kali! Je, wewe ni Mkristo au Mwislamu kweli kweli au unafuata upepo? Turejee katika maamrisho ya "Mungu" na sio ya "Miungu watU!
 
udini si ishu jamani,ishu ni maendeleo ya kweli,hebu tuache unyonge jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ndugu zangu!
Majina sio dini! Dini ya Uislamu sio waIslamu ni maandiko sio matendo ya wenye majina ya Uislamu au Ukristo! Chambua orodha ya "Mafisadi na Walioweka na Kutayarisha mikataba" Je, kuna Uislamu au Ukristo hapo ndugu? Bila kupotosha "Uislamu" ni uadilifu na kufuata "Njia Iliyonyooka". Sio Osama au Siasa Kali! Je, wewe ni Mkristo au Mwislamu kweli kweli au unafuata upepo? Turejee katika maamrisho ya "Mungu" na sio ya "Miungu watU!

Naona umeamua kwa makusudi kuto sema ukweli. Uislam kamwe si uadilifu na wala haujanyooka kama unavyo dai wewe Jogoo mstaafu.

Uislam umeonyesha chuki na unyama kwa hali ya juu sana kwa maisha ya binadamu. Koran inakiri hilo, Allah wenu anakiri hilo, na hata Marehemu Muham-mad msaidizi wa Allah wenu alihakikisha kuwa ana-execute amri hizo ambazo zipo kiuwazi kabisa katika Koran kitabu cha msaidizi wa Allah aitwaye Jibril.

Miungu watu naona wapo kwenye Koran ya Allah kiumbe. Mungu anasema wapende adui zako na wasamehe saba mara sabini kwa siku, je, ni wapi kwenye Koran panapo sema msamehe na muombee heri adui yako wa Kiyahudi na Kikristo?

Mwisho nataka uelewe kwamba, CCM imejaa udini wa Kiislamu. Rais ni Muislamu, Makamu wake ni Muislamu, Rais wa Zanzibar ni Muislamu, na makamu wake vilevile ni muislamu. IGP ni Muislamu, Viongozi karibia wote wa juu ni Waislamu. Hilo tunalijuwa na si siri. zaidi ya hapo fahamu kwamba, Wakristo si kama nyie Waislamu mnao penda kulalama kwa kila kitu wakati mkijuwa kuwa malalamiko yenu hayana msingi wala mwelekeo na yamesababishwa na mad-rasa ya allah kiumbe.
 
Chama hiki kilianzishwa na waislam, wakati huo nyie wakristo mnawasujudia wakoloni, kwahiyo usishangae wakiwa majority na pia kumbuka Tanzania majority ni waislam(cia reports) wanayosababu yakuwa wengi kila sehemu

Chakushangaza kwanini wako wachache sehemu nyinginezo? huko ndio kuna udini.

Wewe ujui chichote kuhusu uislam, kuna aya na hadithi nyingi zinazo zungumzia amani, upendo, uadilifu nk, wewe unaendeshwa na chuki binafsi jazba na kiburi ndo maana uoni mazuri ya uislam na wiislam
 
Pole sana Bull.

Hivi unaelewa ulicho andika? Kwahiyo unanimbia kuwa CCM ilianzishwa na Waislam na ni haki yao kuwa chama cha kidini kama kilivyo hivi sasa!!?? Kwa usemi mwingine ni-kuwa, unakiri kuwa CCM ni chama cha Uislamu, ndio maana viongozi wote wa juu ni Waislam.

Ndio maana nilisema Uislam ni dini ya chuki na wewe Bull teyari umesha anza kuonyesha chuki na udini ulio kithiri ndani ya CCM.

Narudia tena, hakuna hata ayat moja kwenye Koran yako ya Jibril inayosema kuwa Mpende Myahudi na Mkristo adui zako tofauti na jinsi BIBLIA Neno la Mungu inavyo sema kuwa wasameheni maadui zenu saba mara sabini na waombeeni mazuri.

Waislamu mpo wachahe kwenye Sekta nyingi kwasababu mmeicha Formal Education na kung'ang'ania Mad-rasa ambayo inawaharibu akili. Ushaidi zaidi, angalia Shule zenu mlizo anzisha, Zooote zinaongoza kwa kuwapa vijana SIFURIII wafikapo Form Four, na hivyo kulazimika kurudi kwenye ile ilmu yenu ya Allah Kiumbe, mad-rasa.

Sasa, CCM mmeamua kumtumia Shehe Yahaya Whosain ili kuendeleza UDINI ulio kithiri ndani ya chama kwa kutishia kifo kwa yeyote yule atakaye mpinga Rais Kikwete. Huu ni UDINI ambao sijawahi kuusikia kwenye nchi yeyote ile zaidi ya Tanzania. lol.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom