Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,350
Gamba La Nyoka nakupata.
Wengi, kama sio wote, wanaodai Kikwete mdini naona kama hawako coherent fulani hivi, kama wamechanganya madawa hivi, sijui kama umegundua.
Mmoja kasema Kikwete anapendelea Waislam, halafu hapo hapo akamchana Kikwete kwa ku replace cheo cha Nazir Mustafa Karamagi na William Ngeleje. Katoka Muislam kaingiza Mkristo! Huyo ndo mleta hoja huyo. Dopey! Halafu, listen to this, kwenye kichwa cha thread mawazo yake kwamba Kikwete ni mdini anayaita "tetesi"!
Kaja fuzzy act mwingine anasema kuna mtoto wa mkubwa alikuwa na matatizo ya ndoa Mama yake akaenda kumlilia Kikwete, Kikwete katika kutatua tatizo la kijana la ndoa akampa mtoto Ukuu wa Wilaya Kigoma! Imagine that! Halafu huyu act anasema inawezekana Kikwete anarekebisha kutowiana kwa nafasi za uongozi baina ya waislam na wakristo kulikojengeka miaka ya nyuma "ila sasa wapo wengi wanaoqualify." Kwa hiyo ina maana Kikwete anateua Waislam ambao wana qualify, sio? Yani incoherence tupu.
Kaja mwingine anasema "naacha yale yakwazayo... na kuamini kwamba JK ni mdini na mpenda urafiki." Sasa, topic nzima ya mleta mada ni dopey, haja substantiate hoja yake, yote yanakwaza, halafu mtu anakuja kusema anaacha yale yakwazayo ila anakubaliana na "ujumbe wake kwetu." Boloney.
Blowhard mmoja kadai kwamba ushahidi kuwa Kikwete ni mdini ni kwamba David Mattaka bado anapewa mashirika japo ni mbovu (I am assuming huyu David Mattaka ni mwislam). Lakini vipi kama Kikwete anavumilia wakurugenzi wabovu wote? Kwa maneno mengine, ni mpaka utakapoonyesha kwamba kuna mkurugenzi mbovu Mkristo ambaye Kikwete kam fire akamwacha Mattaka Muislam hii pointi inabaki kuwa ni bangi bangi tu.
Na huyu jaji Jundu, akaongeza huyu blowhard, ni ushahidi wa udini wa Kikwete. Lakini ukimuuliza jaji Jundu ana uzoefu wa muda gani hajui! Ukimuuliza ni kwa nini Kikwete amewapita majaji wengine wa Kiislam wenye uzoefu kupita Jundu, akamchagua Jundu hajui! Just blowhard blabber.
Yeah, kuhani nadhani umemaliza mjadala huu.
Mod tafadhali peleka hii thread kule inapotakiwa