Kuhani, kanda2,
..nadhani ndugu zetu Waislamu wanadanganywa kwamba tatizo hili la imbalance linashughulikiwa wakati si kweli. mwananchi yeyote yule mwenye nia njema na taifa hili lazima aseme.
..appointment ya Jaji Muislamu mwenye umri wa miaka 59[60 years is the official retirement age] inasaidia vipi kuondoa imbalance kati ya Waislamu na Wakristo?
..au Raisi anapowapatia majengo ya serikali yawe Chuo Kikuu cha Kiislamu!! tunawa-encourage kufungua chuo kikuu wakati shule za sekondari za Jumuiya za Kiislamu, haswa Bakwata, zinafanya vibaya. sasa hiki chuo kikuu cha kiislamu kitatoa wapi wanafunzi?
..au tunapomchangia Sheikh Mkuu Simba mamilioni ya fedha kufungua shule ya kukuza vipaji vya michezo?!! hivi kweli hizi ni zama za kufundisha wacheza mpira?
..kwa mtizamo wangu hii imbalance inatakiwa kushughulikiwa kwa kutumia bottom-up approach. tuishinikize serikali iboreshe elimu haswa ktk maeneo yaliyoachwa nyuma. jumuiya za Kiislamu nazo zinapaswa kuchakarika zaidi kuinua elimu ktk targeted areas ambazo zina waumini wengi wa Kiislamu.