Hii ni kawaida na itakuwa kawaida.Katika jamii pofu, iliyojaa ujinga , jamii isiyoelimika, jamii inayowaza uchawi na kuwa watapata utajiri kichawi, SI SWALA LA KUANGALIA UPANDE MMOJA TU, serikali wanayopart ya kuplay.
Katika karne hii ya 21 wakati watu hawaruwazi hata kusikia uchawi na uuaji wa namna hii, Tanzania unapatikana, serikali inapaswa kuwaondoa watu gizani, pamoja na nguvu kama hizi , lakini bado watawaacha maalbino wataamia wenye upara..,vitambi..
Jamii imekata tamaa,inaamini utajiri utapatikana kwa uchawi, yes maana maana amemuona jirani katajirika kwa ufisadi pengine, na wanawaona wako mitaani wakitutambia kwa maprado yao.Wanaona solution ni hiyo.
Siwatetei ila tuangalie kwa mapana na marefu.
Sidhani kuwa polisi wameshindwa kazi yao, mpaka muungwana atoe hukumu hiyo..maana kama ni hivyo wanagpi wanakufa hospitali kwa ufisadi, wangapi wanakufa kwa kukosa malazi, madawa, barabara..kisa fedha zimepote kifisadi.
waberoya