Mgagagigikoko
JF-Expert Member
- Jul 1, 2007
- 474
- 0
Ukikuta wajinga wawili wanafanya ujinga na wewe ukamuona mmoja tu na kumuita mjinga, basi unachofanya ni kuthibitisha ujinga wako. Hivyo wajinga wawili wakifanya wote ujinga, wote wawili wanaitwa wajinga, hiyo ndiyo inaitwa hekima.
Kwa maneno yako Chadema wajinga kwani ndio kwao imethibitika wakabila kwa makamu mwenyekiti kutoa kauli hiyo. CCM hakuna ushahidi wala tetesi za udini zaidi ya jungu lako wewe lilikosa ushahidi.
tuambie wabunge wa CCM wengi waislam au wakrsitu? nenda kwa spika Sitta na wasaidizi wake hadi namba ya wabunge waislam na hasa viti maalum wote wakristu.
Lakini chadema wachagga watupu.